wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
  2. econonist

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuondokana na John Mrema hapa CHADEMA

    Naomba nitoe ushauri Kwa chama changu Cha CHADEMA, kwamba imefika wakati tuondokane na Business as usual. Kuna Afisa mmoja wa CHADEMA anaitwa John Mrema ambaye kwa ujumla anahusika na uenezi wa chama. Huyu jamaa kusema ukweli amepwaya Sana. Yani hiyo nafasi ni kama haimfai na ni kama...
  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba fans ni kichekesho kumponda Kocha Saed wa Yanga wakati Fadlu wenu aliishusha timu yake daraja Afrika Kusini

    Ni vichekesho kwa mbumbumbu eti wanaiponda cv ya kocha mpya wa yanga wakati ajawai kushusha timu daraja kama ilivyo kwa kocha wao fadlu ambae aliishusha Martizburg na akatimuliwa! Kama cv zinakufanya kazi basi Simba wasingemchukua fadlu kwakuwa cv yake ilikuwa ni ya ovyo! Unapochukua kocha...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maafa ya Kariakoo: Ni Wakati wa Wizara ya Ujenzi kuwajibika

    Leo, taifa letu limepigwa na pigo kubwa na tukio la kusikitisha la kuanguka kwa ghorofa katika eneo la Kariakoo, Dar es Salaam. Tukio hili baya limeacha alama ya majonzi na huzuni mioyoni mwetu sote, huku tukiombea kwa dhati afya njema na salama kwa wale waliojeruhiwa na pole za dhati kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama Dar Es Salaam, ningefanya haya kujiandaa na Majanga na wakati wa Majanga

    Ndugu zangu wana Jukwaa, poleni kwa sote kwa yale yanayoendelea. Tuendelee kuweka nguvu zetu kwa panoja ili hatimaye hatua za uokoaji ambao serikali imeshaingilia kati ziweze kulete manufaa kwa wahanga. Pamoja na hayo ni vema tukatumia wakati kama huu kabla watu jawajasahau( watanzania ni...
  7. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Baba yangu alipomuacha mama akatafuta mwanamke mwingine nilimchukia sana wakati ule,hivi Sasa ndiyo naelewa

    Nisamehe sana baba ,wakati ule nilikuwa bado mdogo sikujuwa jambo lolote! Wakati tunakuwa Mimi na ndugu zangu tulikuta mzee (baba) ameacha na mama,binafsi kwakuwa nilikuwa Nina shinda na mama yangu mara zote,alikuwa akiniambia mambo mengi ya ovyo kuhusu Baba yangu Baba yangu yeye hajawahi...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mpenzi anayeongea vs mpenzi asiyeongea wakati wa tendo la ndoa, yupi unampenda zaidi?

    Haya nimeulizwa huku Kuna wale wana wapenzi wao wakati wanafanya tendo la ndoa uwa wanapenda kuongea ongea mpaka mwisho inaitwa dirty talk Kuna wale wapenzi ambao kwenye tendo la ndoa wanakaa kimya mwanzo mwisho hata miguno hamna Yupi unampenda zaidi? Yupi unamkubali zaidi?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mguu wa gari kuvuma sana wakati wa mwendo

    wakuu gari yangu mguu mmoja wa kilia unavuma sana mpaka nakosa raha ya kusikiliza mziki tatizo itakuwa Nini nijue kabla ya kwenda Kwa fundi maiko
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
  11. Yohimbe bark

    JamiiForums Tanzania App gani naweza kuitumia kutuma sms nyingi kwa wakati mmoja?

    Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bashungwa: Nenda rudi ya Baraza la Ardhi Karagwe inarudisha nyuma maendeleo ya Wananchi

    Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda haki kwa wakati katika usuluhishi wa migogoro na kupunguza malalamiko ya Wananchi ili kukomesha...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni wapi au mtandao gani unaweza kunikopesha kwa wakati huu?

    Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi? Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
  14. The Boss

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa Manara ni wakati

    Haji Manara anaweza kudhani ana maadui wengi wanaomfanyia fitina, lakini ukweli ni kwamba adui wake mkuu kwa sasa ni wakati. Wakati unapobadilika dhidi yako, unaweza kushangazwa na mambo yanayotokea na kudhani watu wanakufanyia fitina. Kwa upande wa Ally Kamwe, wakati unamfaa sana. Kila...
  15. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania Kwanini polisi wanaingilia misuguano ya kisiasa kila wakati nini maana ya kuwa na vyama vingi?

    Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa. Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini? Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
  16. Aare Maduhu Kopano

    JamiiForums Tanzania Watu wanne unaotakiwa kuwa nao wakati wa kununua kiwanja dar or across the country

    A- Wakili. B- A surveyor. C-A land Valuer. D- Mlevi mmoja ama wawili wa hapo mtaani Watakao kuambia kweli(hidden truths) na historia ya hicho kiwanja.
  17. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati mke wangu ananikosea ila nikiangalia uzuri wake na watoto alonizalia, hasira zinaisha.

    Kuna raha bwana yakua na mke mzuri, kisha akakuzalia watoto wazuri. Kila muda ukimuangalia na ukiangalia watoto, moyo wako unasuuzika. Kuna wakati watu mtaani wanauliza imekuaje tukachaguana wote wakali, mke mzuri, mume handsome na watoto ndo ma cute hatari sana. Ukitaka kuoa, chagua mke...
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wamarekani ni wanafiki, waliinyima Uganda misaada kukataa ushoga wakati nao hawaupendi

    Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden aliyeonyesha ukigeugeu na unafiki juu ya haki za binadamu hasa wapalestina. Harris alijifanya...
  19. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Wakati sahihi makabila ya nyanda za juu kusini tunahitaji heshima yetu

    KINGABOY on the wheel.
  20. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una ndoto za kuanzisha biashara anza kwanza kutafuta wazo la biashara kabla ya mtaji au tafuta vyote kwa wakati mmoja

    Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo. Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Back
Top Bottom