wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Wakati wako ukishapita umepita waiting for tommorow is the biggest mistake tunaojutia sisi mabraza wenu wa 35 going to 40

    Wadogo zangu kama una mpango wa kufanya jambo aiseee lifanye mapema ukianza kufika aged from 35 haki ya nani unaanza kujilaumu mwenyewe polepole Sisi ma braza wenu saivi wengi tumeanza kujuta tangu tumeanza kuingia 35 going to 40 Kale katabia kaa waiting for tommorow to do something ndo...
  2. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akimwaga maji wakati wa tendo hakikisha unamdai hela yako

    Mwanamke akilimwaga lile kojo wakati wa tendo kwanza anakuwaga zaifu zaifu ataona we ndo kila kitu kwake mana ni wachache wana ujuzi wa kumtolesha mkojo. Asa we kama ulimpa ela idai ela yako nakuhakikishia atakurudishia ela yako na anaweza akakuongeza vilevile kwa kumkuna mpaka akatoa kojo.
  3. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Ni karaha gani au kero gani unakutana nayo wakati wa tendo la mapenzi?

    Tuambizane ni kero gani unakutana nayo wakati wa kufanya mapenzi? Mi kero nayokutana nayo ni kukuta mwanamke haoneshi ushirikiano hata ukitaka kumgeuza dog hataki kero ya pili mwanamke ambaye uke wake unatoa harufu mbaya na pia kinywa chake kichafu unashindwa hata kumla denda.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nje ya Biblia, Wataalam Wasomi wa Wakati wa Yesu Walivyomwelezea Yesu Kristu:

    Wapo watu wasijua historia ya Ukristo, mara kadhaa wamepotosha, na wengine hata kuthibutu Kueleza Kuwa Yesu Hakusulibiwa Msalabani kam biblia inavyoeleza. Na wengine hata kusema kuwa huenda hakuwahi kuwepo. Watu wanaoyanena hayo ni kwa vile wamekosa maarifa. Leo nawawekea maelezo yanayotoka...
  5. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Mwanamke asiyetoa miguno wakati wa mapenzi ni mshamba na hajui kitu

    Raha ya mapenzi ni miguno na sauti laini kutoka kwa mwanamke , mwanamke asiyetoa miguno hajafundwa uyo na ni mshamba wa mapenzi. Uko telegram watu wananunua video za majamboz si kwamba ni nzuri sana bari zire sauti za kusisimua.
  6. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu

    1) Kulelewa na wazazi wakristo sio kuwa Mkristo. Kuwa Mkristo ni kukutana na Kristo kibinafsi. Ni kama ulikuwa unasikia story za mjomba kwa miaka, hatimaye akaja nyumbani. 2) Nilipoteza imani nikiwa form 3, tena kwasababu ya kusoma posts za humu JF! Ndomana mzungu alisema: Little knowledge is...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Makonda bhana! Kwa hiyo Gambo alikuwa CHADEMA wakati wewe ukiwa mkuu wa mkoa kutokea ACT?

    Unatuletea siasa uchwara Kanda ya Kasikazini utachinjwa mchana kweupe we endelea na magonjwa yako badala ufanye kazi unaanza siasa mfu heti Maendeleo yalichelewa kisa upinzani, kwani Hela ni Mali ya CCM? Mnaturudisha kwenye siasa za kishamba kwa manufaa ya nani? Umepewa bilioni mbili...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanakuwa wabishi wakati evidence ipo kwenye kitabu chao na hadithi zao kuhimiza fujo, udhalilishaji na ubaguzi

    Wafanye hawa mateka. Waue hawa. Wabague hawa. Wapige wake zenu Wafanye hawa watumwa
  10. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Aina 3 za wanawake kwenye ndoa wakati wa mapenzi..[unaejipanga usiseme sijakwambia].ukioa ukubaliane na haya

    ✍️Ameandika Chris Mauki ( Mtaalamu wa Saikolojia na Mahusiano) KUNA AINA TATU (3) ZA WANAWAKE KWENYE MUKTADHA WA HISIA ZA TENDO, KILA MWANAUME UNAPASWA KUFAHAMU HII ITAKUSAIDIA KUMUELEWA MWENZA WAKO YUPO KUNDI GANI 1️⃣AINA YA KWANZA ya Mwanamke ni Yule ambaye yeye ana hamu Muda wote ( Yaani...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Mbamba-Bay - Liuli/Kiagara kipande cha 2 km bado ni sehemu korofi wakati wa mvua

    Barabara ya mbamba-bay to Liuli/Kiagara(apo ni Lipingo) kipande cha km mbili na pointi ni miaka mingi sasa bado ni sehemu korofi sana wakati wa mvua
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wakati nyie mnamcheka Kabudi kujitambulisha ameaoma St Augustine. Mimi nasoma Cv ya kocha wa Yanga

    Mpira wanaouche Yanga unatisha
  13. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  14. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Kumbusho wakati wowote Iran anaweza shambuliwa na Marekani

    ⚠️ Ukumbusho Muhimu Kabla ya Kuongezeka kwa Uwezekano wa kipondo kwa Iran ⚠️ Makombora yanaporushwa kuelekea Israeli, kile tunachochapisha mtandaoni kinaweza kuokoa maisha, au kumsaidia adui. Hivi ndivyo kila mtu anapaswa kujua: 🔴 USICHAPISHE video za uzuiaji wa moja kwa moja au athari za moja...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Watoto Wakati wa Kujifungua Hospitali Zetu Kubwa

    Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa kujifungua... Biashara hii inahusisha hata baadhi ya watu wa usalama kulinda "wafanyabiashara" hao haramu wa...
  16. jamaikatz

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

    Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Bukombe tunasumbuliwa na simu za Taasisi za Mikopo wakati hatujawapa namba wala kuomba mikopo

    Mimi ni Mtumishi wa Serikali sina siku nyingi kazini lakini tangu siku nimeripoti nimekuwa nikisumbuliwa na hawa watu wa mikopo, wamekuwa wakipiga simu na kutuma ujumbe wakiomba nikakope kwenye taasisi yao na wakati huo sijawahi kwenda kwenye ofisi zao hata mara moja. Tunajua pengine biashara...
  18. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wakati tunachukuà mazoezi ya kikomandoo kuruka toka kwenye ndege mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka akafa

    Kozi ya paratruping Zimbabwe iligharimu maisha ya mwenzetu parachuti ilikataa kufunguka na ya emergency ilikuwa na hitilafu alidondoka umbali wa futi kama 500 akafa. Leo ni kumbukumbu. Miaka kadhaa nyuma.
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kulikuwa na haja gani kumfuata Muwekezaji na makamera maiki wakati kuna wataalamu waliopaswa kuhojiwa?

    Lack of sense. Yaani kukosa akili ya kuweza kug'amua mambo ya msingi kama mtu makini. Ni upumbavu na upuuzi. Wataalamu waliochini ya halmsahauri wote wanalipoti kwa baraza la madiwani. Msukuma na kamati yake walishindwa vipi kuwahoji hawa wataalamu kwanza? Kwa nini mwekezaji ajenge bila...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ni Muda muafaka kwa picha ya Rais Samia kuwekwa katika Fedha zetu hususani elfu kumi

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa kila jambo na wakati wake na majira kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Kwa hakika huu ni wakati na muda muafaka na majira sahihi kabisa kwa Benki Kuu Ya Tanzania kubadilisha Muonekano wa Fedha Zetu kwa kuweka Picha ya Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha...
Back
Top Bottom