Katiba yetu haina Tume huru ya uchaguzi lakini baada ya uchaguzi wa kiini macho 2020 kelele za wadanganyika zilikua nyingi mbo. Bi mdashi alikuja na 4Rs ambazo zilizaa Tume huru ya uchaguzi paso kurekebisha katiba.
Kumbe Tume huru ya uchaguzi inavyonza mtambo wa NIDA ili kuwadanganya...
Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko
Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani?
Jibu No,kura ziliibwa🥴
Wakuu wa Tech nakutana na hii changamoto karibu wiki sasa wakati Nina Mb 400 zinasoma
Madhara nayaona maana nikiingia Google Play huko hakusomeki.
Shida ni nini
salio la kifurushi
Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea.
Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka.
Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
CCM na watawala waovu wameendelea na uovu wao dhidi ya haki. Anachofanyiwa Lisu na polisi, magereza, na mahakimu, na majaji mchongo, ni mwendelezo wa uovu ule ule aliofanyiwa Ali Kibao, Mdude Nyagali, Soka na wengine wengi. Ni mwendelezo wa uovu ule aliofanyiwa Baba wa Kiroho na Katibu wa Baraza...
Nimeuliza swali hili baada ya kumuona waziri mkuu Majaliwa kwenye shughuli kadha wa kadha za serikali kama vile kukagua Mwendokasi na SGR huku akiambatana na Rais wa Burundi.
Wakati fulani ilikuwa inasemwa kuwa wakati wa uchaguzi nchi huwa inakuwa chini ya Jaji Mkuu lakini baadae kukawa na...
Wanajamvi salaam!
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza. Inasemekana kuwa katika maeneo nyeti ambayo huleta msisimko kwa wanaume zaidi ya asilimia 50 ni eneo la chuchu, hii ni kwa utafiti usio rasmi. Je katika tamaduni zetu hii imekaaje? Je ni sahihi kwa mke au mpenzi kumnyonya chuchu mwanaume...
Makanisa na misikiti kutolipa kodi ni RuSHWA kwa viongozi wao ili wasikemee maovu au ili waitetee serikali kwa uovu wake.
Kwa misingi hiyo makanisa na misikiti anze kitoa stakabadhi za malipo za EFD kwa kila pesa wanayopokea na kwa kila shughuli watakayoendesha.
Haiingiit akilini eti...
Hii biashara NI nzuri Sana ukiwa na million zako 100 unaweza kujenga go down zuri la medium size la kisasa unaweza ukarudisha hela yako ndani ya misimu miwili Tu ya kilimo.mfano huku kusini Lindi wakulima wanalima ufuta Kisha wanalima mbaazi halafu wanamalizia na korosho sasa kila kilo kutunza...
Wakuu mko salama?
Je Ushawahi kufanya mapenzi na mtu(ke) halafu kuna mda uke ukatoa mlio kama kujamba??? Kama ndio hiyo inaitwa Queefing (vaginal flatulence)
Nini maana ya Queefing??
ni hali ambapo hewa inatoka kwenye uke na kutoa mlio unaofanana kabisa ule kabisa wa kujamba.
Utajiuliza...
Kama kungekuwa na uoinzani hapo sawa kuchangisha hayo mabilioni.
Sasa hakuna upinzani. CCM ilishashinda uchaguzi hata bila ya kufanga Kampeni.
Hizi pesa zilipaswa kupelekwa kusaidia watu vijijini ili wapate maji, shule na huduma za afya.
Wakuu nisaaidieni Hilo jambo aisee natumia Airtel na Vodacom nikipigiwa simu anaenipigia anaambiwa natumika wakati simu ninayo mkononi na siongei na mtu na kibaya zaidi hata haiiti tatizo litakua nini wakuu mwenye kujua hii ishu wakuu maana watu wanasema nimewablacklist wakati sivyo
Kumekuwa na kilio kwa Wakandarasi kutolipwa kwa wakati huku wakimaliza kazi zao na kukaguliwa na mamlaka na kuthibitisha kuwa kazi zao ziko sahihi na wanatakiwa walipwe.
Ikumbukwe kuwa Bunge letu lilipitisha sheria ya kila anayeweka mafuta kwenye gari lake sharti aichangie Tanroads/Tarura...
Waafrika wanaangamia kwa kukosa wa kuwasimamia.
Yaani mtu anatoka huko kijijini, anafika mjini masikini, ghafla tu anaweza kutenda miujiza na kuongea na Mungu. Je, huko kijijini alishindwa nini?
Serikali zinawaangalia tu masikini wanaibiwa na kutapeliwa kuwa wanaponywa na kutajirishwa. Kwani...
Nikiangalia kwenye kioo,
Sura, Ngozi ilivyo, macho, kifua unaona kabisa you are real blessed.
Ukifika mbele za watu unakuta wanakupa attention tena kama wanaume ndio wanakua hawajiamini kabisa.
It is good feeling to look at yourself and say “ yah, am blessed”
Tuukubali ukweli kuwa nahodha ni mchanga sana. Sikiliza kutokuwepo coherence kwa hotuba zake. Angalia wasaidizi wake wa wakaribu angalia waandalizi wa kampeni.
Kimsingi tuna safari kubwa.
Tuiombee nchi yetu. Ni wazi hakuna maono ya kiuongozi tena. Ni vurugu tupu.
Andiko kuu: 2 Wafalme 13 : 14 - 19
Hubiri langu la kufafanua andiko kuu.
Chukua upinde, lenga mbali, usiogope mishale mingi. Mshale wa ushindi hausafiri pekee huongozwa na mkono wa utii. Ardhi ipigwe mpaka isiseme tena. Mara tatu ni kuanza; mara sita ni ushindi. Usitegemee nguvu ya mkono...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.