wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Gael Bigirimana wakati yupo Newcastle, Simba ilikuwa na kikosi hiki...

    Haya pimeni wenyewe huyo babu wakati yupo kijana na wenzake vijana walikuwa hawa kikosini Simba...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Wakati Waingereza wakiwafurusha viongozi wabovu, sisi tunashinda na kuwatukuza wa kwetu

    Waingereza wameonyesha umakini wa kulinda na kuimarisha maendeleo na ustawi wa taifa lako. Hawako tayari kukaa na kiongozi mbovu bila kujali itikadi za vyama. Tanzania tumekuwa na utamaduni wa kuwasifia na kuwatukuza viongozi wetu hata wale ambao dhahiri ni wabovu. Sina haja ya kuwataja...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania trusted in God. Siku nchi ilipomuabudu Mungu wakati wa COVID-19

    TANZANIA TRUSTED IN GOD;SIKU TANZANIA ILIPOMUABUDU MUNGU WAKATI WA COVID 19. Leo 20:15hrs 06/07/2022 Mungu alimwambia Baba yetu Ibrahim,"Hata akiwepo mtu mmoja mcha Mungu katika nchi ya Sodoma na Gomola basi sitaichoma moto" Kwa mtu mmoja na neno lake,Tanzania ilipata neema na rehema mbele za...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Urusi yasema haitokubali kuadhibiwa kwa jinai za vitani wakati US anazo kibao, yaahidi vita ya nyuklia kwa nchi zitazojaribu kuiadhibu Urusi

    Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika. Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
  5. JamiiForums Tanzania Kero ya kusota vituo vya mwendokasi muda mrefu

    Wakuu Salaam. Sijui kama watu wengine wanakerwa na huu utaratibu. Kumekuwa na utaratibu abiria wanakaa sana vituo vya mwendokasi haswa Gerezani, Msimbazi B na Msimbazi A huku mabasi yamepaki Gerezani kule madereva wanapiga hadithi. Ni nini maana ya kuita Rapid Transfer ikiwa abiria anakaa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Wanaume gani watakubali kuingia na wanawake wao kwenye chumba cha kujifungulia?

    Nimemsikia raisi wetu SSH jana akiwa hospital ya CCBRT akisema kuna vyumba ambavyo vitatumika wakati wa mke akiwa kwenye kujifungua mume awe hapo akimtia moyo,akiona shughuli wanawake wanapitia😀😀 ili wapange uzazi,atoe mahitaji na vinavyofanana na hivyo. Mimi sipingi ni jambo zuri lakini tuwe...
  7. JamiiForums Tanzania wakati unatumia chombo hiki ulikuwa wapi?

    nakumbuka hii ndo ilikuwaga inanikera kuniamsha tu. wenzangu mlikuwa wapi au darasa la ngapi, ata kazini?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni upi wakati sahihi wa kuwasaidia wazazi wako?

    Wakati sahihi ni sasa maana ukisema unatafuta maisha mazuri kwanza ndo ukawasaidie vizuri ukumbuke time yao inakatika. Hivo utazipata lakini wao hawatafaidi maana watakuwa wameshakwenda kwa muumba hivo ni vema ukaanza sasa hivi hata kama ni kidogo. Wape hakuna wakati mwingine zaidi ya huu wa sasa.
  9. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa nchi za Magharibi na US kubadilika dunia inabadilika

    E bwana nachoamini hizi nchi za magharibi zisipobadilika kibiashara ,kitechnology,na uzalishaji kiukweli hapo mbeleni tutaanza kuona nchi za ASIA zinaibuka kuwa na nguvu sana. Wenzetu wa mangharibi wanauza vitu vyao ghali sana ,alafu utendaji ni ulele ,tena sometimes wanazidiwa kete...
  10. JamiiForums Tanzania Hofu hii inasababishwa na nini na kwanini haikuwapo wakati wa kupigania uhuru?

    HOFU HII INASABABISHWA NA NINI KWANINI HAIKUWAPO WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA? KUSUPA HAPENDEZEWI NA KUSEMA KUWA CHIEF MKWAWA ALIKUWA MUISLAM ANASEMA: ‘’MOHAMED SAID USICHEZE NA HISTORIA YA WAHEHE, WAPO WANAOIJUA VILIVYO! ETI MKWAWA AJIITE ABDALLAH? HIVI KWELI WEWE UNAMJUA...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tanesco Morogoro mnakera sana kwa kutowaunganishia wateja wenu umeme kwa wakati

    Mimi ni mteja wenu hapa morogoro. Nilianza kuanza process za kuomba kuunganishiwa umeme toka December mwaka Jana. Mwezi wa Tano nilifanikiwa kulipa huduma ya kupata umeme sehemu inaayohitaji nguzo Moja na nikapewa Muda wa mwezi mmoja Kuwa tayari nitakuwa nimeshafikiwa. Mwezi ukapita, nikaenda...
  12. JamiiForums Tanzania Je, walioibiwa na kuporwa Juzi wakati wa Maandamano ya Yanga SC wakashtaki kwa nani?

    Nimehudhuria mara nyingi 'Mapokezi' Makubwa ya Simba SC, ila sijawahi kusikia Watu wakiibiwa kama ya Yanga SC juzi.
  13. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaweka pingamizi dhidi ya akina Mdee kuendelea kuwa wabunge wakati kesi ya msingi ikiendelea

    Kesho mahakama inatarajiwa kusikiliza pingamizi lililowekwa na CHADEMA dhidi ya Halima Mdee na wenzake 18 kufuatia maombi ya amri ya muda ya mahakama kuzuia Tume ya Uchaguzi na Spika kuwavua ubunge. Wabunge hao wanaomba ridhaa ya kufungua shauri la kupinga kuvuliwa uanachama wao.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu amekutana na issue yoyote ya malipo huko UTT?

    Ndugu zangu nawasalimu kwa jina la serikali ya muungano Tanzania. Nipo kwenye mjadala mzito na mke wangu kuhusu hii mifuko ya UTT. Tumepata pesakiasi Fulani baada ya KULIPWA fidia na Sasa nimemshauri tuwekeze kwenye bond ya utt, tatizo anatishika kuwa huko ukiweka fedha siku ukizitaka kupata...
  15. JamiiForums Tanzania Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume, siyo wakati wote ni wa kuwalaumu wanawake, kuna wakati sasa ni wa kuutumia 'uanaume' wenu

    Hi guys, Ni imani yangu mmekuwa sawa watu wa Mungu..! Kuna hii issue huwa inatokea mara kwa mara, wanaume hulalamika kuwa baada ya Ndoa, Cheo, Elimu ama Uwezo wa kifedha (hasa kuwazidi waume zao) hushangaa asilimia kubwa sana ya wanawake hubadilika kitabia, huwa na dharau na 'qibri' flani hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Binaadamu ni yule yule, hakuna Binaadamu Mwema au Mbaya wakati wote.

    Miaka kadhaa nyuma nilihudhuria msiba wa aliyekuwa jirani yangu kabla, kwa bahati mbaya au nzuri walihamia nje ya mji. Kwa wakati huo kulikuwa bado ni shambani hivyo hata miundo mbinu ya barabara haikuwa rafiki ,Bajaji na Bodaboda hazikuwepo bado, ilikuwa mwanzoni wa 2000. Usiku saa mbili...
  18. JamiiForums Tanzania Wakati wote niliolala na wanawake,wakiwa Lodge Kwenye vyoo vya kukaa hujimwaga tuuuuu bila kujali magonjwa inafedhehesha sana

    Ninaamini wapo wanakanyaga kwenye toilet hizi za kukaa chooni. Somo lahusu maradhi ya ngozi, UTI nk. Wakina mama sijui wenzangu Me wawapo faraghani. Nimeshuhudia partner wangu 30 ama 45 wanafika niliOingia nao maeneo ya kuondoka stress na kupapasana. Kama hivi ndivyo walivyo wote naaapa Ile...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu Tanzania na Watanzania tutavuna tulichopanda kwa kukumbatia Katiba iliyopitwa na wakati

    Mjadala wa Katiba umekuwa ni suala la muda mrefu sana na watanzania walio wengi wanalichukulia ili suala kimasihara masihara lakini ukweli ni kwamba tukiendelea na hii Katiba muda si mrefu itatupatia dikteta wetu. Katiba hii imempa rais madalaka makubwa mno , rais anauwezo hata wa kulivunja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…