Mbunge wa Kionondoni, Abbas Tarimba anajua uchungu wa kupoteza watoto, na sio mtoto tu, bali watoto wasomi wanaochangia katika ujenzi wa taifa
Nimemsikiliza kwa umakini akisimulia mwaka 2019 alivyopoteza watoto wake wawili wa kiume ndani ya miezi minne tu. Chanzo cha vifo vyote ni homa ya...
Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida.
Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
Yees, baada ya wabongo wenzetu kuingiza tamaa na kutunyoosha kwa bidhaa kutokea china wakiuza na kupata faida zaidi ya mara 4, na endapo ukijichanganya kwa hawa madogo wanaojiita winga wa kariakoo utanunua kwa bei mara 10 zaidi.
Mfano blender ya 3000 watakuuzia 120,000/=...
Ukijichanganya...
BOT wamejibu tuhuma kwamba shilingi ya Tanzania imekuwa ikiporomoka kwa kasi ambayo inaifanya mbaya kuliko nchi zote duniani. Sasa BOT wamekuja na majbu kama vile yameandaliwa kutoka makao makuu ya chama tawala na sio wachumi wanaojisifia kuwa na degree za first class za Economics.
Jibu la BOT...
Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati
Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
Kuna kazi nimepata moja ya majukumu yangu ni kutuma sms ya shukrani kwa wateja wote kila siku waliokuja kupata huduma kwenye kampuni yetu, je app gani itanisaidia wakuu? Thanks in advance.
Aslaam,
Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo mbalimbali ya kimaisha hasa kwenye Nyanja za maendeleo.
Imekuwa kawaida yetu mtu anapowaza kujiajiri...
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia.
Kwa mfano:
1. La kwendea kazini!
2. La kwendea sokoni!
3. La kuwapelekea watoto shule!
4. La safari za mbali!
5. N.k.
Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema, ninatafuta rice cooker inayoweza kupika angalau kilo 4 za mchele Kwa wakati Mmoja. Naihitaji Kwa matumizi ya hotelini!. Hii itaniepusha na matumizi ya mkaa na hasara ya ukoko mwingi! Huwa napika kati ya kilo 15 na 20 Kwa siku!
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Baada ya kufuatilia kwa makini vile vinavyozungumziwa na makamu mwenyekiti wa Chadema mhe Tundu Lisu, nimegundua kwamba jamaa amejipanga kujaribu kuuwa ndege wawili kwa wakati mmoja ili aweze kufanikiwa lengo lake la muda mrefu, japo inaonekana wazi kuwa kwa aina ya...
Habari mwanajukwaa la michezo,
Leo katika tafakuri zangu nimewaza kitu ambacho kwa asilimia kubwa ukikifatilia kinaongelewa sana kama sio sasa basi hata hapo nyuma kilikua kinasemwa sana.
Kwa saiv No ubishi Yanga ana enjoy sana yupo kwatika Level ya peke ake kabisa, ambayo wamekua wakiitamani...
Wakuu salaam
Kama tunavyojua, kwenye Nchi yetu bado kuna Mvutano wa Wakurugenzi kusimamia Uchaguzi baada ya kubainika kwamba Wakurugenzi ni Makada wa chama cha Mapinduzi.
Hivyo Vyama vya upinzani vinaona havitendewi haki uchaguzi uchaguzi kusimamiwa na chama shindani.
Lakini pamoja na yote...
INAKUWAJE MWANAHISTORIA ANAPOKUTANA NJIANI NA KIZAZI CHA CHIEF MAREALLE NA CHIEF MARUMA WOTE KWA WAKATI MMOJA?
Kuna mengi yasiyofahamika katika historia ya uhusiano waliokuwanao machifu wa Tanganyika na raia wa kawaida.
Halikadhalika na viongozi waliokuwa katika harakati za TANU za kupigania...
Ile siku ambapo watu wengi watapotea kwa wakati mmoja duniani kote imekaribia sana. Inaelezwa kwamba taifa fulani lilipochipuka na kukua basi ni ishara. Pia tukio hilo litatokea ndani ya miaka 100 ya taifa hilo, ambayo ni kizazi kimoja.
Aidha, wengi pia watakufa siku hiyo kwasababu baadhi ya...
Huyu dada Marilyn Monroe alikuwa na nguvu isiyo ya kawaida. John F. Kennedy akiwa Rais wa Marekani huku mdogo wake Robert F. Kennedy akiwa mwanasheria mkuu wa serikali walijikuta wote wakiangukia katika penzi la dada huyo aidha kwa kujua au bila kujua.
Marilyn Monroe alikuwa na kipi hasa cha...
Huyu si mwingine ni mchawi mweusi Bakari shime ambaye anafundisha timu za mpira za
Timu ya wanawake Tanzania
Timu ya Under 21 wanawake Tazania
Timu ya under 17 wanawake Tanzania
Timu ya wanawake Tanzania bara
Kuna kila dalili Yanga anapeleka Yutong zaidi ya 200 Rwanda.
Wasiwasi wangu ni je Rwanda wamejipanga kwa huu ugeni wakuu?
Kuna tetesi kuwa Kagame atakuwepo Rusumo kuwapokea wadau.
Yanga hana kazi ndogo hata kidogo.
Salaam Wakuu,
Leo mtandaoni nimeona dokezo likidai Cleopa Msuya katika historia ya Utawala wa Nchi yetu amewahi kushikilia vyeo vya Waziri Mkuu na Makamu wa Rais kwa wakati mmoja.
Kuna ukweli hapa?
Picha: Cleopa Msuya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.