Niliwahi kuingia kwenye mtandao wa reddit, kuna hawa wazungu ambao wana magundu, madomo zenge, n.k yani huko kwao wanapata wakati mgumu sana kupata wapenzi.
Hii si kwa wanaume tu hata wanawake hata wanaokaribia kuwa mabibi wakija huku ni kuokota tu.
Hawa jamaa huwa wanaenda nchi za asia na...
Namkubali sana Ibrahim Rahabi akianza kuchambua sibanduki kwenye tv mpaka nachelewa kazini,,,Dogo Joseph Kenedy nae anatisha yuko full magazine,,Je,Wewe unaonaje!?
Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
Miaka mitatu nyuma nilishuhudia Mfuga Wanyama Mmoja maeneo ya Pwani akiuwawa (akipoteza) Maisha kwa Kuuliwa na Simba aliyekuwa akimfuga na waliyezoeana na Kushibana kabisa.
Hivyo hivyo zaidi ya mara Nne nimewahi Kusikia Watu Wanne tena Wataalam kabisa wa Kufuga Nyoka (Mijoka) na ambao...
Nimeandika huu uzi baada ya kuwakumbuka waalimu wangu hasa wale wakuu wa miaka ya 90 mwishoni na 2000 mwanzoni waliokuwa wakali sana wasiotaka masikhara kiasi cha kuweza kujulikana hadi mkoa mzima na kanda. Wafuatao walivuma sana kanda ya kaskazini;
1. Mwalimu Kibatala - Shule ya sekondari...
Tutafute pesa Kwa maarifa yetu.
👇👇👇
Badala ya kujificha na kulalamika kuhusu ajira fungueni centers/madarasa/ ofisi Mikoani, Wilayani na hasa mikoa yenye taasisi za elimu ya juu ama vyuo vikuu, kuna fursa kubwa sana sana.
Tuokoe taifa.
Ni hayo tu.
Jina lake ni Miikka Kari, Hapo kwenye Kari alibadili iwe kwa kiswahili na tafsiri yake ni Mwamba, hivyo aliamua kujiita Miikka Mwamba ila wengi tukaizoea Mika Mwamba
Ngoma za huyu mwamba zilikuwa na vinanda vyenye ma-vibe ya kufa mtu:
Tamara + ni wewe - Hard Mad
Eno maiki - Ziggy Dee...
Komredi Kinana amewataka Wabunge wa CCM kuwa Wakali kwa Serikali I'll matarajio ya Wananchi yafikiwe
Kinana amesema yeye ni muumini wa siasa za kukosoa na kukemea lakini ni lazima Wabunge hao wawe Wakali Kwenye mambo ya msingi na siyo kufanya mbwembwe tu
Kinana amesema Wabunge wasimwachie...
Wakuu nimetafakari kwa makini na kujiuliza maswali mengi sana ila binafsi nimeona ni hujuma tu hakuna sababu nyingine. Haiwezekani timu iliyokuwa na wakali wote waliokuwa wanavuma kwenye timu zao za Ulaya ishindwe kufanya la maana kwenye world cup au mashindano mengine makubwa.
Hii Ivory Coast...
Kuna baadhi ya bar mameneja wanajua kuchagua bana.
Na hapa nshakula wawili. Hawajijui. Nimekula watoto wa jikoni Hadi cashier. Kondomu ndio silaha namba Moja.
Acheni bana Kuna Watoto wazuri hapa Duniani. Bia Tamu bila mtoto mkali anakuletea bia na unajua mbususu yake. Hapo Raha inazidi...
Yes mmetuma barua ya maombi tarehe 8 /08 waje simba day lakini haihitaji kuwa rocket scientist with PhD kujua kwamba hilo haliwezekani kwani majamaa wana super cup vs Berkane kama sikosei ni tarehe 11/08
Ligi ya Misri ndiyo inaelekea kuisha sidhani kama kuna team itapatikana huko maana lazima...
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you.
Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.
So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.
But...
Simba Sports Club tumepigwa mweleka mkubwa kuanzia Ngao hadi FA sasa siwakati wakucheza na Yanga pigeni vichwa kwakutafuta wachezaji wazuri na vijana ili Msimu ujao muwe na nafasi nzuri ya kuchukua ubingwa vinginevyo mtakuwa mnawachosha funs wenu kwani wao wanategemea matokeo mazuri na sivinginevyo.
Mi naona kama nina gundu. Sijui kwa nini, sipendwi na mademu wakali. Najaribu sana kutengeneza mazingira ya mimi pia kupendwa lakini wapiiiiiiiiiii nakutana na mademu tu wa kawaida kabisa. Kuna wenzangu unakuta wanapata sana zali la mentali, mimi najiuliza nakosea wapi?
Shida nini? Naumia sana...
Wasoma mita wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Shinyanga (SHUWASA) wamelalamikia kitendo cha baadhi ya watu kuwanyanyasa kwa kuwafungulia mbwa na kuwafukuza wakati wakitekeleza majukumu yao ya kuandaa ankara za maji.
Chanzo: ITV Tanzania
Na nimeshanunua Mbwa wengine jana.
Heshima kwenu wakuu...?
Naomba msaada wa kujua huu Wimbo niliuskia kama miaka mitatu nyuma wakuu.
Huu Wimbo ni Wimbo wa South Africa kama skosei, upo kimajonzi flani hivi, natumai kuna wadau ambao ni music addicted wanaweza kutupa jina la Wimbo au walioimba Wimbo huu.
Natanguliza shukran...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.