wajawazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Dozi kamili ya Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' kwa wajawazito

    Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20. Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16, Dozi ya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Usithubutu ukiwa Hospitalini ukapita jirani na foleni za Wamama Wajawazito, utazikoma kauli zao

    1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba. 2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu. 3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa. 4. Sizai tena labda anibake. 5. Yaani huyu Bwege ndiyo ananifanya Mimi nilambe Mkaa kila mara? 6. Safari ijayo nagawana nae Mimba ili ajue Mateso...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate ameandaa mbio za Wajawazito Korogwe

    Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo ameandaa mbio za Mama Wajawazito wilayani Korogwe zilizopewa jina “#MAMATHON’. Mbio hizo zinazotarajiwa kufanyika Jumapili ya Mei 28 mwaka huu lengo ni kutoa elimu na kuhamasisha wajawazito kufuatilia afya na lishe bora kwa mama na mtoto. Wanawake...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mwaka 2022/23 Wajawazito 943 walifariki dunia wakati na baada ya Kujifungua

    Akiwasilisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya Bungeni, Waziri Ummy Mwalimu amesema kwa mwaka 2022/23 jumla ya Wanawake 2,028,151 (98%) walihudhuria Kliniki kwa mara ya kwanza kulinganisha na Wajawazito Milioni 1.5 wa mwaka 2022. Pia, amesema kwa upande wa Huduma za Wakati na Baada ya...
  6. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie hili la Zahanati ya Kongowe Kibaha kuwadai wajawazito Sh 20,000 kwa lazima

    Kuna Zahanati ya Serikali ipo Kibaha Kongowe inaitwa Zahanati ya Kongowe ipo karibu na Shule ya Msingi Kongowe, mama mjamzito akienda kuanza kliniki anaombwa Shilingi 20,000 kwa lazima, kiasi ambacho hakipo kwenye mahesabu yoyote ya huduma. Ikitokea aliyeombwa hana au amekataa kutoa...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Serikali imeondoa gharama za vipimo kwa wajawazito

    Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na kusikiliza mapigo ya moyo ya mtotozitatolewa bure Lengo la Serikali ya Rais Samia Suluhu ni kupunguza...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yafanikisha Wajawazito kupimwa vipimo vya awali bure

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan inazidi kuboresha huduma za afya kwa wananchi na kuanzia sasa akina mama wajawazito wanaofika kwenye kliniki za uzazi na zile za mama na mtoto kupimwa vipimo vya uwingi wa damu, mkojo, kuangalia uwingi wa protini, shinikizo la damu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ipi ni Hospital nzuri sana kwa wajawazito kujifungua?

    Wakuu habari mimi naomba kufahamu hospitali ipi kwa sasa ni nzuri na ya kisasa kwa mama mjamzito kipindi cha kujifingua kati ya hizi; Aghakhan hospital Premiercare clinic Sali international hospital Note: Kama kuna nyingine zaidi ya hizi nazozifahamu kishua niambie
  10. Debby the FEMINIST

    JamiiForums Tanzania Lindi: Wajawazito wajifungulia kwa tochi umeme ukikatika kituo cha afya rutamba

    Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba. Wamelalamikia hayo baada ya wafanyakazi wanawake kutoka Mashujaa FM kufika kituoni hapo...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti UNICEF: Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana Milioni 6.6 wanakabiliwa na Utapiamlo Mkali

    Utafiti mpya uliofanywa na Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) umeonesha dunia inakabiliwa na ongezeko kubwa la Wanawake Wajawazito, Wanaonyonyesha na Wasichana waliothiriwa na Uhaba wa Chakula na #LisheDuni. Watoto Milioni 51 wenye chini ya miaka 2 wanakabiliwa na Udumavu kutokana na...
  12. Tengeneza Njia

    JamiiForums Tanzania Hii back to school kwa Wanawafunzi Wajawazito imekaaje?

    Nimeona kuna shule huko Mtwara mwanafunzi ameripoti na mtoto wake mchanga shuleni baada ya kujifungua, nawaza: 1. Muda wa masomo mambo yanakuwaje? Kuna mtu anakaa na mtoto nje na binti anaendelea kusoma? 2. Binti anapata nafasi ya kutoka toka nje/ au humo humo darasani kumnyonyesha kichanga...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wajawazito 309, Watoto wachanga 1,200 wamefariki kwa Mwaka 2022

    Takwimu zinaonyesha kuwa kanda ya Mashariki Jumla ya akina mama wajawazito 309 na watoto wachanga 1,200 wamepoteza maisha katika kipindi cha mwaka 2022 Kanda ya Mashariki. Hayo yamebainishwa Januari 16, 2023 na Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Zuwena Jiri wakati akifungua kikao kazi cha tathimini...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nusu Kaputi imechangia vifo 268 vya waliojifungua kwa upasuaji 2018/21

    Wizara ya Afya imetaja sababu nyingine iliyochangia idadi ya vifo vya Wanawake wanaojifungua kwa njia ya upasuaji ni pamoja na Kupoteza Damu wakati au baada ya Upasuaji, Damu Kuganda na Maambukizi ya Bakteria baada ya Upasuaji Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema Wizara ya Afya...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wataalamu waonya upasuaji usio wa lazima kwa wajawazito

    Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu. Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
  16. Gidamarirda

    JamiiForums Tanzania Umewahi Kufanya Ultrasound Katika Kipindi cha Ujauzito?

    Na Je unafahamu Umuhimu wa Kufanya Kipimo Cha Ultrasound katika Kipindi cha mimba? Niko hapa kujibu maswali uliyonayo kuhusu kipimo cha Ultrasound!
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Walalamika wajawazito kujifungua kwenye majaruba ya mpunga

    Wananchi wa Kijiji cha Mwashagi Kata ya Lyabukande Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya barabara na ukosefu wa Zahanati unaopelekea wajawazito kujifungulia kwenye majaruba ya mpunga." Wamedai kuwa tatizo hilo limekuwa likiwakabili hasa kwenye kipindi cha...
  18. abelkiharo

    JamiiForums Tanzania SoC02 Unyanyasaji kwa Wajawazito ni janga kwa Taifa!

    Huenda likawa jambo gumu kwako kuamini, lakini ukweli ni kwamba; kiwango cha unyanyasaji kwa wajawaito katika maeneo ya kutolea huduma za afya ni kikubwa sana. Ni jambo linalosikitisha, kuona wale watu ambao jamii imewaamini kwa ajili ya kunusuru maisha ya wengine, ndio hao ambao wanaendelea...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Zahanati yahifadhi vitanda stoo, wajawazito wakijifungulia sakafuni

    Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Paul Chacha ameupa siku tatu uongozi wa halmashauri ya wilaya hiyo kupitia idara ya afya kuhakikisha inafunga vitanda vya akinamama wajawazito kwenye Zahanati ya Kijiji cha Usangi ambayo wajawazito wamekuwa wakilazwa sakafuni kabla na baada ya kujifungua. Akiwa...
Back
Top Bottom