wajawazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Prof Ibrahim Lipumba: Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto

    Sera ya serikali katika huduma ya Afya ni kuwa wanawake wajawazito watatibiwa bure ni kama danganya toto. Mfano wa kusikitisha ni wa marehemu Husna Saidi Abdallah aliyejifungua katika Hospitali ya Kivinje, Kilwa. Afya yake ilianza kudhoofika Kwa tatizo la upungufu wa damu na kuvimba miguu...
  2. LoneJr

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu kwanini wanawake wajawazito hujamba ama kujisikia haja mara kwa mara

    Habari za muda huu wakubwa... Ni jambo la kawaida kabisa kwa wanawake wajawazito kujisikia haja ya kujisaidia choo mara kwa mara. Hii ni kutokana na mabadiliko kadhaa yanayotokea mwilini wakati wa ujauzito: * Homoni: Mabadiliko ya homoni husababisha misuli ya utumbo kufanya kazi kwa kasi...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi

    Matumizi ya Dawa za kuongeza uchungu Kanda ya Ziwa ni janga kwa Wajawazito wengi Baada ya kusikia hizi stori kwa muda, nikaamua kuingia mitaani kufuatilia kinachoendelea hasa maeneo mbalimbali ya Kanda ya Ziwa (vijijini hasa pembezoni mwa miji na visiwani). Mtaani kuna stori kuwa kuna madhara...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la utoaji wa mate kupindukia linalowakumba wajawazito

    Wanawake wengi hupata kichefuchefu na kutapika katika trimesta ya kwanza (miezi 3) ya ujauzito ambayo mara nyingi huitwa kigegezi cha asubuhi. Hutokea sana asubuhi mwanamke anapotoka kitandani. Utoaji mate kupindukia ni tatizo lisilotokea sana bali linalokera mno na linalohusiana na hali...
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mjamzito afariki kwa kukosa pesa ya mafuta gari la wagonjwa, wakati Mama ananunua magoli

    Wakati anaupiga mwingi, kwa kununua magoli ya Yanga na Simba kuna watu wana safa sana kwa huduma za afya. Kule Kilosa Mama kafariki kwa kukosa pesa za mafuta ya Gari ya kubebea wagonjwa. Mkuu wa Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka ametoa siku tatu vyombo vya usalama kuchunguza...
  6. Denis1729

    JamiiForums Tanzania Wajawazito kulipia matibabu

    Kuna baadhi ya vituo vya afya hapa nchini wanatoza malipo ya dawa kwa wajawazito waliojifungua hasa wale waliofanyiwa upasuaji. Swali langu; Je ni haki mama aliyefanyiwa upasuaji kulipia gharama za dawa alizopewa ?
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nilidhani Afya ya Wakinamama wajawazito ingekua kipaumbele Kwa sasa

    Inasikitisha sana kuona Mama zetu wanadhalilika hospitali za Umma. Yaan huduma mbovu na hakuna anayejali kwa sasa. Wakati ni sasa kuwapa utu na huduma stahiki Mama zetu hawa. NB: Ama hamna pesa ya kuwahudumia Mama Wajawazito au wahudumu wa afya maslahi duni huku Viongozi wao wakila mema ya...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto, makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini

    Kliniki mwendo (mobile clinic): Suluhisho ya vifo vya mama wajawazito, watoto,makundi maalum sehemu za pembeni na vijijini nchini Utangulizi WAKATI nchi nyingi duniani zikiendelea na mkakati wa kuboresha sekta ya afya ili kufikia agenda ya 2030 Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) lengo 3...
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wajawazito kwenye Daladala, kwanini wanawake hawapishani kwenye siti?

    Kwenye daladala ni ngumu sana kuona mwanamke anampisha siti mwanamke mwenzake hatakama ana ujauzito mkubwa kiasi gani hampishi. Utashangaa mwanaume yuko nyuma kabisaa anampisha siti akae lakini mwanamke wa karibu yake anakausha. Shida ni nini?
  10. Shining Light

    JamiiForums Tanzania Joto Kali: Wanawake Wajawazito na Watoto Wachanga Waathirika Zaidi

    Wanawake wajawazito wanaweza kuwa hatarini zaidi wakati wa joto kali kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa. Joto kali linaweza kuzidi uwezo wa mwili wa kudhibiti joto la mama mjamzito, na hii inaweza kuongeza hatari ya matatizo wakati wa ujauzito na kujifungua. Muda wa kujifungua, wanawake...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Asilimia 85 ya Wajawazito wanajifungulia katika vituo vya kutolea Huduma za Afya

    Moja ya kiashiria kikuu cha ubora wa Huduma za Afya ni kiwango cha wajawazito wanaojifungulia katika vituo vya kutolea huduma za Afya ambapo kwa Mwaka 2023 kimeongeka kwa 85% kutoka 81% Mwaka 2022. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Januari 10, 2024 wakati akitoa taarifa ya hali ya utoaji huduma...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajawazito wanajifungulia sakafuni Hospitali ya Buzurugwa

    Nimeona comment nyingi wanawake wanasema wanaporwa simu wanapoenda labor huko hospitali za serikali. Wanawapora simu sababu hii, hawataki watanzania waone kuwa in 2023 bado wanawake wanazalia sakafuni.. Hii ni hospitali ya Buzurugwa. Wamama wanapeana zamu kuzaa sakafuni. Na hii ndo situation...
  13. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Fahamu Tiba Kinga ya Malaria kwa Wajawazito

    Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma. TIBA KINGA YA MALARIA KWA WAJAWAZITO (SP) Malaria wakati wa ujauzito ni hatari zaidi kwa mama na mtoto aliye...
  14. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ujue Ugonjwa wa Malaria: Dalili, Madhara, Kinga, Tiba, Malaria kwa Wajawazito na Mpango wa Serikali katika kuzuia Malaria

    Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi. Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake. DALILI...
  15. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Rais Samia situka, vifo vya watoto na wajawazito ni kama kiama sasa. Sifahamu iwapo ni hali ya kimabadiliko ya hali hewa

    Je, ni mazoea na uzembe unaofanyika sector ya afya? Kuna kitu kimeachwa? Ambacho kilisaidia huko nyuma kuokoa maisha ya mtoto na wajawazito? Je, Ni mabadiriko ya hali ya hewa ambayo inahitaji uchunguzi wa haraka kubaini ni nini chanzo cha vifo hivi kwa sasa? Mh waziri wa Afya, Embu tunaomba...
  16. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kikwete aipongeza Serikali vifo vya wajawazito kupungua

    Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Kikwete ameipongeza Serikali kwa kufanikiwa kupunguza vifo vya akinamama wajawazito kutoka vifo 556 mwaka 2016 hadi kufikia vifo 104 mwaka 2022. Dkt. Kikwete amesema hayo leo wakati akifungua kongamano la pili la kisayansi la afya ya uzazi mama na mtoto...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Watoa huduma wa Zahanati ya Mianzini ni jipu. Wizara ya Afya ikaangalie wanachofanyiwa Wajawazito

    Kuna hii Zahanati ya Serikali ipo Mburahati hapa Dar es Salaam, inafahamika zaidi kwa jina la Zahanati ya Mianzini, kiukweli huduma zao ni mbovu sana hasa kwa hawa mama zetu Wajawazito. Awali nilikuwa nasikia tu taarifa hizo kuhusu madai hayo lakini nimeshuhudia mimi mwenyewe, nilienda...
  18. OCC Doctors

    JamiiForums Tanzania Dozi kamili ya Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' kwa wajawazito

    Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20. Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16, Dozi ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wahudumu wa afya, msinyanyase wagonjwa na wajawazito. Wanaosababisha vifo vya makusudi washitakiwe kwa mujibu wa sheria

    UTANGULIZI Tunamshukuru Mungu kwa neema alotupatia kua hai hadi sasa. Ni jambo lisilopingika kwamba, kumekuwa na changamoto kubwa hasa kwa wahudumu wa Afya kutokujali wagonjwa na mara kadhaa kutojali akina mama wajawazito. Changamoto hii hupelekea baadhi ya wajawazito ama wagonjwa kupoteza...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Usithubutu ukiwa Hospitalini ukapita jirani na foleni za Wamama Wajawazito, utazikoma kauli zao

    1. Baba Dulla kanitesa kweli na hii Mimba. 2. Najuta kumbebea Mimba Mwanaume wangu mwenye ngumu. 3. Utamu wa dakika chache Unanitesa sasa. 4. Sizai tena labda anibake. 5. Yaani huyu Bwege ndiyo ananifanya Mimi nilambe Mkaa kila mara? 6. Safari ijayo nagawana nae Mimba ili ajue Mateso...
Back
Top Bottom