Dozi kamili ya Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' kwa wajawazito

OCC Doctors

Senior Member
Jul 20, 2018
104
151
Sindano ya Chanjo ya 'Tetanus' ni kinga dhidi ya pepopunda kwa mjamzito na watoto wachanga wanaozaliwa. Dozi tatu za (Tetanus Toxoid (TT) hutoa kinga kwa angalau miaka mitano. Kiwango cha juu cha dozi tano kitamlinda mwanawake kwa miaka 20.

Dozi ya kwanza (TT1) hutolewa wiki ya 16,
Dozi ya pili (TT2) hutolewa wiki 4 baadaye,
Dozi ya tatu (TT3) hutolewa miezi sita baada ya dozi ya pili,
Dozi ya nne (TT4) hutolewa mwaka mmoja baada ya dozi ya tatu,
Dozi ya tano (TT5) hutolewa mwaka mmoja baada ya dozi ya nne.

Baada ya dozi 5 za TT, mwanamke atalindwa kwa miaka 20 dhidi ya ugonjwa wa Pepopunda.

Snapinsta.app_143912784_470824350576349_8521103856872228521_n_1080.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom