wajawazito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  2. Anna Nkya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waume zetu msiache kufanya mapenzi na sisi tukiwa wajawazito

    Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi. Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito. Mimi sio mtaalamu sana lakini nina hakika na sababu mbili: 1. Inatusaidia kwenye kuongeza kujiamini kwa sababu ukiwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mateso na manyanyaso wanayopata wajawazito mahospitalini mwanzo hadi mwisho wa mimba

    Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Kasulu, Kigoma: Wajawazito wapanda kwa zamu kitandani kujifungua, wengine walazwa chini

    Wajawazito katika Kata ya Kalela Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu mkoani Kigoma wanapeana zamu kupanda kitandani kujifungua na wengine kulazwa chini kutokana na Zahanati ya Kalela kuwa na chumba kimoja cha wodi ya wazazi chenye kitanda kimoja. Chanzo: Nipashe
  5. Zero IQ

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kumpeleka mwenza wangu Clinic

    Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito, Mrejesho. Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye swala la kupima Ngoma, kweli sikuwahi kuwazaga kama kuna siku nitakuja kupima Ukimwi, Nimeamka...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: CDC yapendekeza wajawazito kupata chanjo ya Covid-19

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimesema Wanawake Wajawazito wanaweza kupata Chanjo dhidi ya COVID19 ikisema hakuna hofu yoyote ya usalama wao katika Uchambuzi mpya uliofanyika. CDC imesema inatambua kauli kuhusu uzazi ambazo zimekuwa zikisambaa, lakini maneno hayo hayana ushahidi...
  7. Ngaliba Dume

    JamiiForums Tanzania NSSF mnawatesa Wajawazito wa Fao la Uzazi; Customer Care mbovu ofisi za Ubungo

    Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam. Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
  8. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Marufuku kuwauzia kadi za kliniki kina mama wajawazito

    Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo. Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nini hupelekea kebehi, matusi na vipigo kwa Wajawazito kutoka kwa Wakunga?

    Wanawake wamekuwa wakikumbana na kebehi, matusi na hata vipigo kutoka kwa wakunga wakati wa kujifungua. Utafiti uliofanywa na WHO ulibaini kwamba wanawake wenye umri mdogo, na walio na kiwango cha chini cha elimu wako hatarini kuteswa kupitia kunyanyapaliwa, kubaguliwa, kufanyiwa taratibu za...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Nawapongeza sana Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito, Leo nimefurahi sana!

    Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito. Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana. Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake. Source Upendo tv Maendeleo hayana vyama!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wajawazito kuathiriwa zaidi na Virusi vya Corona

    Tafiti zinaonesha kuwa wajawazito wako katika hatari zaidi ya kuambukizwa vizusi vya #Corona. Aidha wajawazito walio na Korona wapo katika hatari ya kuathiriwa zaidi na kupelekea madhara mengine kama vile kujifungua kabla ya wakati. Njia bora ya wajawazito kujilinda na Virusi vya # Corona ni...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanawake wajawazito watafuta wanaume bandia kupata kadi ya kliniki

    Wakina mama wajawazito wilayani Kilindi mkoani Tanga wamewalalamikia wanaume wanaowapa ujauzito kukwepa kwenda kliniki kupima afya zao kama kanuni zinavyodai hali inayopelekea wakina mama hao kutafuta wanaume wengine kwenda nao kupima ili waweze kupata kadi ya kliniki. Hata hivyo ITV...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mikojo ya wajawazito yawa dili mkoani Dar

    Ndani yaMkoa wa Dar imezuka kampuni ambayo inakusanya mikojo ya wajawazito ambayo wanaenda kuitumia katika kutengeneza dawa za binadamu Mikojo inayochukuliwa ni ya wenye ujauzito wa miezi miwili ambapo kampuni hiyo imesema mikojo hiyo huwa ina Human Chorionic Gonadotropin (HCG), Human...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya kushtua: Mkojo wa Wajawazito wageuka kuwa biashara kubwa

    Inadaiwa kuwa mikojo ya Wamama Wajawazito imegeuka kuwa biashara kubwa huku mahitaji yake yakizidi kuongezeka Bidhaa hiyo iliyogeuka kuwa lulu kwenye maeneo mbalimbali nchini hususani Jijini Dar es salaam inadaiwa kutumika kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwamo tiba ya maradhi kadhaa. MCL...
  15. Billie

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

    Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada. MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Agakhan yasema haijazidiwa na wagonjwa wa Corona, yataka wajawazito kuhudhuria Kliniki

    Hospitali ya Aga Khan imesema siyo kweli kwamba wodi zake zimejaa wagonjwa wa Corona bali wapo wagonjwa wenye matatizo mbalimbali. Mtendaji mkuu wa hospitali hiyo amemwambia Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Mchembe kwamba akina mama wajawazito wameacha kwenda Kliniki kufuatia uvumi huo na...
  17. BUMIJA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mkiwa wajawazito mnakuwa hivi?

    Baadhi ya wanawake wakiwa wajawazito wanabadilika. Wife ujauzito wa kwanza alikua anataka muda mwingi anione. Kwa sasa ana ingine ila ananiponda mpaka namwambia au hiyo siyo yangu?hata niogeje utasikia unanuka. Kunipa misosi ameongeza kipimo cha kunijali.Hivi nyie kina mama mnaigizaga au...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Afya ya Uzazi: Kulala chali huongeza hatari kwa Wajawazito kuzaa Watoto Njiti

    Wanawake walioko katika miezi ya mwisho kabla hawajajifungua, ambao wanalala chali au kwa maneno mengine kulalia mgongo wanakaribisha hatari ya kuzaa watoto njiti, kwa mujibu wa utafiti mpya. Watafiti wamebaini kuwa aina hii ya mlalo inawaweka zaidi watoto walio tumboni katika shinikizo...
  19. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitajenga zahanati kila kijiji, vituo vya afya katika kila kata ili tutoe huduma bora ya afya na kudhibiti vifo vya wajawazito

    NJOMBE- MAKAMBAKO Nitahakikisha kuwa Bajeti ya Wizara ya Afya inapanda na kufikia asilimia 15 ya Bajeti ndani ya miaka 10 ijayo. Ongezeko la bajeti litawezesha katika kuandaa miundombinu ya kisasa, wataalam, vifaa tiba na vipimo vya kutosha kwa maradhi yote. Aidha ongezeko la bajeti...
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Tanga: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa Wajawazito na Watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa kuhakikisha...
Back
Top Bottom