wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Chalamila awaita Wachina waliochelewesha mradi 'Wahuni'

    Wakuu, Hili la Mkuu wa Mkoa kuwaita Wachina wahuni nyie wenzangu mnalionaje? Mkisikiliza huko mwisho anasema: "Sasa hawa ni wahuni. Pengine nyie mkiona hizo sura mnadhani hawa ni Wachina wa miaka ile ya yule mzee muasisi wa China. Hawa sio. Hawa ni wahuni kabisa hawa. Sijajua tunafanyaje...
  2. Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta

    Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta. Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi nimesema bali kitafutwa kwasababu ya rushwa, uongo, mauwaji na utekaji nyara ili kusafisha nchi upya.
  3. 4

    Mmejifunza nini kwa mzee wetu Mtei?

    Wakuu salamu hamna hapa , nawauliza nyie wahuni mmejifunza nini! Mzee Mtei kafariki ila legacy ameacha sio ya kuigwa, pamoja na mapesa yote ila mzee katuacha. Bumbavu CCM
  4. N

    Rais Samia kemea wahuni wachache wanaojipendekeza

    Jana tarehe 21 hapa Mbeya hawa vijana wa Chadema walikuwa na shughuli zao za kumbukumbu ya miaka 33 ya chama chao , kama kawaida walipita pita kwa wadau wao kuomba kuchangiwa na kukaribisha watu wajumuike nao , Tunaishi nao vizuri sana wengi wao ni wahangaikaji kwa haki na jasho hivyo huwa...
  5. Serikali itumie njia hii kuwakamata hawa wahuni

    Kuna fedha zinaonekana mitandaoni zinatrend. Mtu mmoja akiwa na akili zake zilizonajisiwa na Ibilisi ameziandika noti hizi . Lengo lake kuhamasisha vurugu na kukataa utulivu. Ok, tuseme hakukusudia kuleta vurugu. Huyu mtu ana kosa la kuiharibu na kuipotezea hadhi fedha ya Tanzania. Hii fedha...
  6. I

    Waajemi wanakaribia kujikomboa kutoka utawala wa wahuni wa Kiarabu

    Wakati waandamanaji wakijitokeza mitaani kila usiku nchini Iran, viongozi kutoka maeneo mbalimbali duniani wanakutana na hali ya kutokujua ikiwa Jamhuri ya Kiislamu inaweza kuangushwa — tukio muhimu ambalo litabadilisha siasa za kimataifa na masoko ya nishati. Utawala wa Kiongozi Mkuu Ayatollah...
  7. Dkt. Bashiru anapata wapi ujasiri wa kufanya kazi na serikali hii ili hali Polepole haijulikani alipo!

    Dk Bashiru Kakulwa alituaminisha kuwa mmoja wa watu ambao hawataki siasa za kihuni. Nashangaa sana kumuona ameungana na wahuni wa CCM kiasi cha kutokuwa na huzuni juu ya kilichompata Humphrey Polepole. Au ndio amendekeza njaa na kuungana na wahuni? Hyocrites pharisees
  8. Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  9. Wahuni walimpachika 'Rais Urais ', wamemficha, na wao ndio wanaendesha Nchi !!Huu Utekaji na Mauaji ya Raia mmoja Mmoja yanayoendelea umekithiri

    Kwa Huu Utekaji na Mauaji yanayoendelea Nchini . Lazima utakubaliana namm kwamba, Mauaji ya Raia Okt 29, yalikua yamepangwa tu yaan ilikua lazima Samia apachikwe Urais. Akina nani hawa walioko nyuma ya huo Mpango?. H POLEPOLE Alitutajia Wahuni, ambao Kwa Sasa Mkono wao wa Rushwa umetafuta...
  10. Hivi Mnajua Mahakama Rasimi imeitambua BAKWATA kama kikundi Cha Wahuni tu, ambacho hakiwakilishi Waislam?

    Ndugu zangu Habari !! Bado tunaendelea na Mapambano ya kuhakikisha Hawa Wauaji walotuua hawatutawali. Hatupo kimya, Ni Mbinu tu tumebadilisha Je Mnajua kwann Chawa wa CCM wanajifanya suala hili liloamuriwa na Mahakama ni kama hawalioni?? Hawalipi Uzito?. Miaka yote , CCM na magengen Yao...
  11. Kwa nini wavuta bange wengi ni wahuni , matendo na akili zao zimepinda ?

    Moja kwa moja. Kwa utafiti usio rasmi ; Wahuni akili mbovu wengi ni wavuta bange Watu wakitaka kufanya matukio ya kinyama wanavuta bange kwanza Watoto wanaanza kuvuta bange mapema asimia kubwa wanapoteza focus kwenye masona ,maisha na kuanza wizi , uhuni na matendo mengine ya hovyo ...
  12. Tuwakatae Wahuni Wote

    My people, Kwa kila mwanaharakati ambaye anaikosoa Serikali hakika anajua matokeo au madhara ambayo atakutana nayo leo au kesho Ndio maana comrade Pole pole alijua na alikuwa tayar kulipia gharama hiyo ,kuonyesha kwamba alikuwa tayari kwa lolote litakalo mkuta akaamua kubakia hapa hapa hali...
  13. Ni kweli kuna Wahuni, tatizo sidhani tunaotumia nguvu kupambana nao ndio Wahuni

    Kuna nguvu inayotumika kwa gharama na kodi zetu kwa so called wahuni; ingawa nadhani huenda wahuni halisi wala hatuwagusi, nadhani busara ni kusikiliza hawa so called wahuni hoja zao kama zina mashiko, ukizingatia wahuni hao tunasema wengine wapo nje na wengine tayari wapo gerezani, lakini...
  14. PostGE2025 Polisi: Hakuna maandamano askari wako mitaani, video zinazotumika ni za zamani

    Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo kwani vyombo vya ulinzi na usalama vipo mitaani kudhibiti hali kama hiyo. Hiyo ni kwa mujibu wa...
  15. PostGE2025 Hii kauli ya kuwaita watanzania walioandamana ni wahuni na vibaka inatafsiri ukatili na ushetani wa viongozi dhidi ya wananchi

    Hapo vip! Viongozi wa kiafrika wengi huwa wanajiona ni watu special sana na wanauwalali wa kuishi kuliko mwananchi yeyote,hii tabia inatafsiri jamii ambayo bado haijastarabika na ambayo bado haijajikamilishi kuishi kama mwanadamu halisi. Kuna mzungu aliona yale mauwaji ya tarehe 29 Oktoba...
  16. Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto

    Mpaka sasa wahuni wamekataliwa wamebaki kujialishia kuelekea D9 eti jeshi litatulinda ngoja wataona maana halisi ya moto. Kwa kifupi tushawashinda wanabaki kubweka bweka hasa huyu mzee wa ufafanuzi amebaki na mipasho tu. wataenda kunyea debe soon.
  17. Watanganyika wote wazalendo, naomba tuishitaki Serikali ya CCM katika mahakama ya ICC tumia link hii

    Kulingana na mauwaji ya watanganyika yalio fanywa na serikali ya ccm ninaomba watanzania wazalendo wote tufungue mashitaka katika mahaka ya ICC link yao ni https://otplink.icc-cpi.int/ Tuma email ya kushitaki uuwaji wa watanganyika uliofanyika unao fanyika mpaka sasa tuma email yako weka na...
  18. Genge la wahuni ni lipi kati yetu na wao?

    Wanaiba mali za umma, wanauza hovyo rasilimali za taifa. Hawataki tuwaambie ukweli kwamba hii nchi ndiyo kwetu. Mukiitapanya leo tutaishi wapi kesho? Watoto wetu, wajukuu na vitukuu na vizazi vijavyo, wataishije kesho kama hamzingatii leo yetu? Tukiwaambia hawatusikilizi. Wanatuteka...
  19. Sisi waislamu hatuwatambui hao masheikh wahuni walioungana na haramu

    Nye Nye wala msibabaishwe na masheikh ubwabwa hao. Twawajua na uroho na ulafi wao. Wakikusemeni nyamazeni. Wala hatukuwatuma. Uislamu hautaki haramu. Siye tupo kuipigania khaki hadi dahari. Inshallah mwenyezi Mungu atatupa kheri kwenye hili. Nye mwaona madevu mwaita sheikhe au mwaona kilemba...
  20. Bila kujali Umri wako unatokea wapi ni Mda wa kupambana Kuondoa vyombo vya Dola mikononi mwa wahuni viwe huru.

    Bila kujali unatokea wapi una umri gani ni mda kupambana kuondoa vyombo vya dola mikononi mwa wahuni. Tafadhali sana nilikua sijawahi kupata mda wa kuangalia clips za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…