ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,679
- 39,060
1. KKKT huwambii kitu, wao wamehaidiwa kuwa Rais awamu ya 7 atakuwa mKKKT, wao hawakemei mauaji, ufisadi wala wizi wa uchaguzi
2. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea mauaji ya 29 oktoba
3. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea utekaji na mauaji ya Watanganyika, nyie mnaona sawa?
4. Kanisa langu KKKT hamjawahi kukemea uuzaji wa Bandari, Ngorongoro n. K
5 Kanisa langu KKKT, nyie mnaona huu mfumo wa uchaguzi unaleta haki?
6. Kanisa langu KKKT mnatumiwa kama daraja la kutakatisha agenda haramu
7. Kanisa langu KKKT, Leo nimekumbuka sana enzinza kiongozi smart mchaga Bishop Shoo PhD
8. Mmetutia aibu kupewa mchango wa million 100 za shule ya awali ili mtumike
9. Kanisa langu KKKT Rais haipatikani kidhuluma, anapigiwa kura, kutumia njia hizo ili Rias awe mKKKT ni kubariki uporaji wa haki
10. Kanisa langu KKKT, nyie ni taasisi kubwa na kongwe, msitumike namna hii