wahuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Asalaleee Tarehe 29 Oktoba ni Tanzania Mpya !!! No more Wahuni, No more Watekaji, No more CCM , No More Wanamtandao!! Ni Tanzania Mpya

    Wakuuu , Acheni hawa Wapuuzi wawateke watu waloamua kuelezea Hisia zao Mtandaoni !!. Waacheni Waendelee kumsumbua LISSU na kesi ya mchongo !!. Nguvu yao Iko wazi , Hawana Nguvu Tena , Tumeshawajua wote Kwa Mihuri yao !!. Sisi Nguvu zetu haziko Wazi ila ni nguvu DHAHIRI , PAWA KWELIKWELI...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania

    Ukiskiliza vizuri wakuu wa polisi nchini unapata kichefuchefu. Kila siku wanawahadaa Watanzania kuwa kuna amani na usalama na mshikamano na upuuzi mwingine. Nini zaidi ya uhuni na upuuzi wa kutumiwa na CCM na mitandao yake ya majambazi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kabla sijawajua vizuri wachungaji nilikuwa nikishangaa kuona watoto wao wakiwa wahuni, baada ya kuwajua vizuri, nilielewa watoto wameritihi tabia

    Hapo zamani nilikuwa nikishangaa kumuona mtoto wa mchungaji ni mzinzi, tapeli, mwizi, muongo, mlevi, n.k. Lakini baada ya kuona wachungaji wengi hasa wenye makanisa yao wakitajirika na kuishi maisha ya anasa kwa sadaka za waumini, skendo za kutembea na waumini, kufeki miujiza, n.k. sikuona cha...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  6. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

    GT Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu. Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini. Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni...
  7. nikuweke

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu wamuachie huru, na mambo mengine ya kushughulika na wahuni yaendelee

    Mmefanya hila dhidi yake na kumuweka ndani kwa mambo ya kubumba bumba. Pasipo kujua au kujua kuendelea mshikiloa mnazidisha moto na ghadhabu, ilahali na nyie mda wenu wa kukaa ndani unajongea na ikiwezekana kunyongwa kabisa
  8. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Kapt. Tesha: Nyerere alishasema tukikaa kizembezembe wahuni watatutawala, mimi sikubali kutawaliwa na wahuni

    Nyerere alishasema tukikaa kizembezembe wahuni watatutawala, mimi sikubali kutawaliwa na wahuni
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonyesha Hapendi Wahuni waongoze Tanzania

    Registered Trustees of Alliance for Change and Transparency [ACT Wazalendo] and Luhaga Joelson Mpina vs Registrar of Political Parties and Attorney General (Miscellaneous Civil Cause No. 23617 of 2025) [2025] TZHC 5816 (26 September 2025 Citation Registered Trustees of Alliance for Change and...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Hawawezi kuleta Katiba Mpya, Kwa sababu haiwapi Usalama wa familia na Ufisadi wao ,Genge hili la Wahuni linaondoshwa Kwa Nguvu ya Umma tu!

    Mateso ambayo Hawa wahuni wametupatia Kwa miaka hii Minne, hamna wa kuyafuta, hamna Cha maridhiano Wala blaa blaa za aina hiyo !!. Hawa wahuni wanajua kabisa kua Wakiachia Nchi hii Tutawafunga, Tutawanyonga ,Titawafilisi wao wenyewe kama wapo hai, au familia zao na watoto wao na Mali zao ...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Polisi ya sasa ni Chombo kukandamiza raia

    Mtu anayeshabikia watu kuonewa na vyombo vya dola anaweza kuitwa kwa maneno mbalimbali kulingana na muktadha na nia yake. Hapa ni baadhi ya maelezo au majina yanayoweza kumfaa mtu wa aina hiyo: 1. Mnyanyasaji kwa hiari (sympathizer wa ukandamizaji) Huyu ni mtu anayefurahia au kuunga mkono...
  12. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Wahuni si watu wazuri wamemharibia ndoa Ally Kamwe

    Aaaargh watu wana maana? Hamna kitu. Dogo anashindwa vitu vidogo tu watu hata ndoa haijafika mwaka tayari... Dogo anashinda analia tu wana wana mbembeleza. Katoa talaka 3 kaona hazitoshi Tulimwambia dogo kwanza ajaribu kukaza misuli awe sawa.na kisha aoe kilmya kimyA tu mwanamke asiwe wa mjini...
  13. H

    JamiiForums Tanzania CRDB Waliwadanganya Wateja Kuwa Wanaboresha Mifumo, Kumbe Wahuni Walikuwa Wanaharibu Mifumo

    Kabla ya uharibifu wa mifumo ya kibenki, kila kitu kilikuwa kikienda vizuri, lakini bank hiyo ikatoa tamko kuwa ilikuwa inaenda kuboresha mifumo yake, wateja wakaombwa wawe watulivu. Mara walipoanza, huduma za kibenki, kwa siku 4 mfululizo zikawa ama hazipatikani kabisa, au zikipatikana nusunusu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kihongosi jiandae kupita kwenye tanuru la mateso kama watangulizi wako, Nape na Polepole), baada ya zama za wahuni kupita

    Nape alidondosha michozi baada ya kujikuta akinyimwa uhuru kwa bastola wa kuongea na watanzania pale Ubungo Plaza. Akaurejesha uhuru huo kwa msoto wa kutembea kwa miguu kutoka geti nje kabisa la ikulu mpk kufika ndani ya ikulu, ambako ilimpasa kumpigia magoti jiwe. Hivi sasa ni zamu ya Polepole...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

  16. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Shule ya uongozi ya Hamphrey Polepole (Kataa Wahuni) inatufungua kwa mengi sana

    Tangu Polepole ameanza series yake kali kabisa ya kataa wahuni, kuna mengi sana nimejifunza na ninaendelea kujifunza. Hakika ni kama jambo la heri sana kwa bwana huyu kutokea na kuendeleza ile shule yake kipindi cha Magufuli. Ni kama vile roho ya Magufuli imemwingia na sasa imentuma kuzungumza...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Magufuli hakukata roho mbele ya mkewe au mwanae akakata mkononi mwa Hawa? Ni wahuni TU mtanijibu!

    Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo KIMSINGI kifo chake it was a planted mission Ambayo Mabeyo, Sirro na wenzake watajibu mbele ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nimenunua electric generator ndogo, wahuni wanaweza kuzima Tanesco yao

    Msiamini umeme wa Tanesco, wakizima nchi nzima itakuwa shida. Tutakosa live release............... Nawashauri muwe na alternative source of electricity
  19. B

    JamiiForums Tanzania Angalizo la Polepole la Wahuni kuwa kila mahali linaonekana kutoeleweka bado. Hata upinzani, Sauti ya Tanzania, TLS, nk, ni dhahiri kuwa nako wapo!

    Ama kwa hakika hakuna kulipo salama! Kasikika Mwabukusi: 1. Kudogosha taarifa ya Polepole kuwa mifumo INEC na NIDA kusomana ni jambo la kawaida. Sina hakika alisahau kuwa kwa mujibu wa Polepole kulikuwa na mfumo wa tatu uliotajwa pale. Haikuwa siri, kulikuwa na mfumo wa CCM uliotajwa pamoja na...
  20. funaku

    JamiiForums Tanzania Huwezi kutumia njia za kihuni kukataa wahuni

    Kamwe haiwezekani kutumia uhuni kukataa wahuni kwani kwa kufanya hivyo ni kubadilisha uhuni tu. NAKATAA NJIA ZA KIHUNI KUKATAA WAHUNI...!!!
Back
Top Bottom