Kumetokea moto katika jiji la Johannesburg kwenye jengo linalotumika na wakaazi na idadi kubwa ya wahamiaji, na kuua watu 74 ambapo kuna uwezekano wa ndugu zetu wa Tanzania.
Pia huwa wanajibanza haya majengo ni maarufu kwa wahamiaji kwa sababu, wengi huwa hawalipi kodi kuishi au kulipa kodi...