wageni

Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Bandari, ardhi, misitu na maliasili zetu, ni Mali ya URITHI, hazitauzwa wala kukodishwa kwa wageni, kataa wahuni

    Salaam, Shalom!! Kuna uteuzi ulifanyika siku ya kusaini mkataba BATILI wa kukodisha URITHI wetu, Bandari Kwa wageni. Uteuzi huo umekuja na wimbi la Matukio ya kutengeneza wenye Nia ya kutusahaulisha wanaukoo juu ya kilichofanyika. Jambo muhimu juu ya nini Hasa kilisainiwa kwenye mkataba Ule...
  2. Watanzania tuna moyo mzuri lakini wahuni na wageni wanatumia hali hiyo kutuibia kutuumiza na kututawala

    WATANZANIA TUNA MOYO MZURI LAKINI WAHUNI Nchi yetu ya Tanzania ni kisiwa cha amani Duniani,hili ni tokeo la malezi mema ya Baba wa Taifa,Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,siasa ya ujamaa na kujitegemea ilitufanya tuwe waungwana na wastaarabu,Ahsante Baba wa Taifa,Hayati Mwalimu Julius Kambarage...
  3. Ni sahihi mwenye nyumba kumwekea mpangaji sharti la aina ya wageni wanaomtembelea?

    Jijini Dar es Salaam na maeneo mengine nchini Tanzania, suala la makubaliano kati ya mwenye nyumba na mpangaji ni jambo la kawaida. Makubaliano haya hujumuisha mambo mengi kama vile kodi, malipo ya huduma za nyumba, na masuala mengine yanayohusiana na kukaa kwenye nyumba ya kupanga. Hata hivyo...
  4. Huu utaratibu wa kuwakatia viuno wageni kwenye viwanja vya ndege nani aliuanzisha?

    Ukihitaji salamu njoo unikatie mauno kwanza kama Yondo, tofauti na hapo utaambulia chuya! Huu utaratibu ulianza kama mzaha lakini kadiri siku zinavyozidi ndivyo hali inakuwa mbaya,kitu kibaya zaidi hadi wanaume watu wazima utawakuta nao wamejifunga kibwebwe wanakata mauno bila aibu wala soni...
  5. Kabla ya Tanzania kufungua mipaka kwa wageni, ni lazima kuimarisha mifumo kwanza

    Nchi zetu za kiafrika ni vigumu watu wake kutembeleana kwa urahisi bila kukutana na vikwazo mipakani/uhamiaji. Hili limetuchelewesha sana kiuchumi. Sababu kubwa ya kuzuia wageni kuja nyumbani kwako ni ushaghalabagala uliyoko nyumbani kwako. Kama nyumbani kwako ni kuchafu sana, hakujapangiliwa...
  6. Rais Samia aipa Zambia ardhi hekari 20 katika bandari kavu Kwala mkoa wa Pwani

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania imetenga eneo la hekari 20 za ardhi katika Bandari kavu eneo la Kwala Mkoa wa Pwani kwa ajili ya kuhudumia mizigo kutoka Zambia ambapo amesema hiyo ndio zawadi ya Tanzania kwa Zambia katika wakati huu wa sherehe za Uhuru wa Zambia. Rais...
  7. Nimekutana na rafiki yangu mwarabu tuliesoma shule ya Msingi, Nasikitika kuona wageni wanavyotajirika huku wenyeji tumeridhika na vimafanikio vidogo

    "USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo. Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
  8. Kero ya wageni: Umewahi kutana na gari mbele yako dereva anakata huku na kule kila akifika kwenye tuta?

    Wenye gari za chini kama crown wanafanya hivi kukwepesha gari isiparuze, ila unakuta mtu anendesha Harrier, Rav 4, carina, xtrail, n.k zipo juu, kuna haja ya kufanya haya? Mbaya zaidi kusiwe na namna ya kumu overtake, hata umpigie honi kwamba una haraka hakuelewi.
  9. Misri yaruhusu wageni watumie mpaka wake kuitiroka Palestina, ila imezuia Wapalestina wasithubutu

    Wapalestina wajifie huko wasithubutu kuingia Misri kwa Waarabu wenzao, ila wageni wasio Wapalestina wapite tu shwari. https://www.youtube.com/watch?v=qGBuzavPCf4
  10. Wageni huweza kuungana kuwakabili wenyeji walioparanganyika na kuwashinda

    WAGENI HUWEZA KUUNGANA KUWAKABILI WENYEJI WALIOPARANGANYIKA NA KUWASHINDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Moja ya Kanuni za wakati wote kwa Watibeli ni kulinda Umoja wa watu wetu. Tunafahamu, umoja wetu utalindwa na kuhifadhiwa ikiwa HAKI itatendeka, UPENDO utatufunika, UKWELI utasemwa na...
  11. Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba tengefu kwa ajili ya uzinzi na uasherati?

    Kama mada inavyojieleza hapo juu, tafadhali husika. Ni nyumba za kulala wageni au ni nyumba maalumu kwa kufanyia uzinzi na uasherati? Wako katika ujenzi wa Taifa, DON YRN.
  12. Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

    Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa. Haki zetu wenyewe nazo...
  13. Wakuu msaada sehemu ya kuwapeleka wageni wangu Moshi

    Habari wadau, Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo). Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya...
  14. SI KWELI Shirikisho la Soka Zanzibar (ZFF) kuwasajili Wachezaji wa Tanzania bara kama Wageni

    Salaam ndugu zangu, Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa: Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
  15. M

    Wanasheria tusaidieni kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote ya rasilimali zetu ambayo Rais Samia kasaini na wageni ipelekwe bungeni

    Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni. Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
  16. R

    Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

    Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo...
  17. Iringa: Akamatwa na meno 7 ya tembo katika nyumba ya kulala wageni

    Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha...
  18. Uongozi wa Jiji la Dodoma tambueni mnatesa abiria wageni

    Kitendo cha uongozi wa Jiji la Dodoma kukataza mabasi yenye ofisi eneo la CBE kutopakia abiria eneo lile hakika huku ni kuumiza na kutesa wageni natoa sababu zangu ambazo kimsingi ni za kiubinadamu tu. Unakuta mtu amefikia Lodge za hayo maeneo ya CBE au pale mitaa ya Chaduru (mkabala na...
  19. Uwanja wa KIMATAIFA Chato ulipokea wageni wa kimataifa mara ya mwisho mwaka 2021

    Uwanja wa hadhi ya kimataifa, haujapata ugeni wowote wa kimataifa tangu Mzee wetu JPM afariki mwaka 2021. Hakuna watalii Wala tukio lolote la kimataifa. Kwa nini ulijengwa kwa hadhi ya kimataifa na mataifa hayafiki hapo uwanjani? Au walijengewa watu wa mataifa(wakristo watanielewa)
  20. Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…