Kamati ya Bunge ya VVU/UKIMWI ya Uganda imepokea taarifa hiyo kutoka Mamlaka ya Taifa ya Dawa Nchini humo ambayo imekiri kufahamu Dawa za Kurefusha Maisha na Kunenepesha zimekuwa zikitumika kwa Wanyama na haikuchukua hatua zozote.
Mkaguzi Mwandamizi wa Dawa kutoka NDA, Amos Atumanya amesema...
Jamii za wafugaji zinajulikana Sukuma, Maasai, Mang'ati na wengine wengi. Ni muda sasa Serikali itoe elimu kwa hizi jamii kuhusu Afya, Usafi na Kuvaa nguo za ndani.
Wengi wanaishi kama Wanyama hawaogi, hawafui, hawavai nguo za ndani naogopa wasije kuharibika sehemu za siri. Najiuliza, wanawake...
Naandika kwa masikitiko makuu juu ya ubaguzi huu wa wazi wazi.
Wafanyakazi tulipumzika mei mosi, leo ni sikukuu ya wachuuzi tunapumzika, tarehe 8 August tutapumzika kwaajili ya wakulima, ni lini sisi wavuvi na wafugaji tutathaminiwa?
Hili jambo liingie kwenye Katiba mpya.
UFUNGUZI
kutokana na teknolojia ya uchanganyaji wa vyakula inavyokua kwa kasi na kutuletea vyakula vyenye uwiano sahihi ,sasa basi kwa namna moja ama nyingine baadhi ya wafugaji wamekuwa wakilazimika kutumia gharama nyingi katika upatikanaji wa vyakula hivyo kwa ajili ya mifugo yao;hivyo...
WAFUGAJI wa wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wameamua kuhamishia minada ya mifugo katika wilaya zilizo karibu na wilaya hiyo kutokana na sintofahamu iliyoibuka hivi karibuni.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti tofauti, wafugaji hao walieleza kuwa wamekuwa wakinyanyaswa na Mkuu wa Wilaya ambaye...
SERIKALI ITENGE MAENEO MAALUM KWA AJILI YA WAKULIMA NA WAFUGAJI ILI KUONDOA MIGOGORO YA HIFADHI
"Nchi zilizoendelea mfano Afrika ya Kusini, Durban ni sehemu inayohusika na viwanda tu. Johannesburg ni sehemu inayohusika na Biashara tu. Tanzania tutenge maeneo yawe ni Maalum kwa wafugaji wetu tu...
Karibu mkoani Morogoro Karibu katika mkoa wa kilimo.
Tunakuomba utuombee kwa jamii ya wafugaji watuachie tuondoe kidogo tulichopata shambani na baada ya hapo wachunge watakavyo.
Kwa mfumo wetu wa haki jinai wakulima wadogo hatuna ubavu mbele ya jamii hii ya wafugaji. Tuombee tu watuhurumie...
KIJIJI CHA WAKULIMA NA WAFUGAJI STADI CHAUNGANISHWA KWENYE BARABARA KUU
Kijiji cha Kinyang'erere ni moja ya vijiji vinne (4: Bugwema, Kinyang'erere, Masinono, Muhoji) vya Kata ya Bugwema ya Musoma Vijijini.
Vijiji vyote vinne (4) vimo ndani ya Bonde la Bungwema ambalo Serikali imepanga kujenga...
Habari wakuu.
Mimi ni mraibu mkubwa wa hawa viumbe sio kuwala ila napenda tu kuwatazama. Kuwala kwa kweli kuwachinja huwa nawaonea huruma, najikuta nashindwa.
Kuna rangi nimeiona nikaipenda nataka kujua ni cross njiwa wa aina gani na aina gani ili nipate hii mbegu.
Niliwahi kujaribu kucross...
Serikali chini ya Rais Samia katika juhudi za kuwawezesha vijana kiuchumi inaendesha program maalum ya mafunzo ya ufugaji wa kisasa ikiwa ni pamoja na unenepeshaji kwa muda wa mwaka mmoja ambapo baada ya mafunzo kila mshiriki atapewa mtaji wa TZS Milioni 10.
Kuwapa vijana ujuzi na mitaji...
Ndugu watanzania bei ya mahindi mwisho wa Feb 2023 ilikua kwa jumla 1, 120 kwa Dar Es Salaam lakini bei ya leo 6 March 23 yamepanda kufikia 1, 330 kwa kilo moja.
Ongezeko hili ni hatari kubwa kwa wafugaji wafugaji wa kuku na wengineo kwa sababu ongezeko hili ni sawa na 5, 000 kwa mfuko wa...
Wilaya ya Kilosa ni kiini cha migogoro ya Wakulima na Wafugaji. Ma DC wengi na hata wakuu wa mikoa na viongozi wa Polisi mkoa na wilaya watakiri hili.
Uteuzi wa Shaka kwenda pale tena akiwa DC kwa mara ya kwanza utazamwe upya. Hii wilaya yahitaji DC mzoefu au mwenye uwezo mkubwa wa kutatua...
Habari za wakati huu waungwana!
Mbwa ni mfugo safi, muhimu sana, askari mbadala.
kila mtu yampasa afuge mbwa..
Mimi napenda sana mifugo,
Huyu mnyama mlinzi bora (mbwa) nampa kipaumbele sana!
sasa, sitaki mbwa wangu awe kama wale wengine wa mtaani, nataka mbwa bora.
-asiwe mjinga mjinga
-hali...
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa...
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa kuna mvutano mkubwa baina ya wakulima na wafugaji mkoani Lindi na Wilaya ya Tunduru kwa kile alichobainisha kuwa ni kukosekana kwa mipango ya matumizi sahihi ya ardhi kama ilivyokusudiwa.
Kupitia chapisho lake aliloweka kwenye...
Maisha ni mipango. Na kila aliyefanikiwa leo ujue alipanga na kutekeleza mipango yake vizuri siku nyingi nyuma
Leo Ethiopia wametangaza kutimiza malengo yao waliyojiwekea mwaka 2019 kupanda miti billion 20 ifikapo mwaka 2022
Kati ya nchi ambazo sasa zimekuwa na hali nzuri ya hewa iliyoanza...
Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022
Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi bungeni kusitisha zoezi la uvishaji hereni mifugo baada ya kubaini upigaji wa Shilingi Bilioni 8.8 uliofanywa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki.
Kwa mujibu wa Majaliwa hadi sasa jumla ya Ngombe 5,068,616 zimeshawekewa hereni hizo ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.