Askari watatu wa Israel wafariki vitani huko Gaza

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,326
Reaction score
7,788
Wanajeshi watatu wa IDF wafariki vitani katika Ukanda wa Gaza:

Staff-Sajent Lior Steinberg, umri wa miaka 20, kutoka Petah Tikva, daktari katika mapigano (Cpmbat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza.

Staff Sajent Ofek Barhanna, umri wa miaka 20, kutoka Yavne, daktari wa mapigano (Combat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza.

Staff-Sajent Omer Van Gelder, mwenye umri wa miaka 22, kutoka Ma'ale Adumim, kamanda wa kikosi katika Kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza.

Katika tukio la kwanza Humvee alipigwa na kombora la kifaru. Baada ya mlipuko huo, walionusurika waliwaburuta maiti na majeruhi hadi kwenye jengo. Walipoingia tu ndani ya jengo hilo kusubiri timu ya uokoaji, jengo hilo lilipigwa na kombora lingine na kuwaangukia askari.

Kwa jumla askari 3 wa Givati walikufa kishujaa!!
 
Attachments

  • IMG_3115.jpeg
    IMG_3115.jpeg
    136.1 KB · Views: 29
  • IMG_3114.jpeg
    IMG_3114.jpeg
    196.1 KB · Views: 34
  • IMG_3113.jpeg
    IMG_3113.jpeg
    257.7 KB · Views: 25
Wanajeshi watatu wa IDF wafariki vitani katika Ukanda wa Gaza:

Staff-Sajent Lior Steinberg, umri wa miaka 20, kutoka Petah Tikva, daktari katika mapigano (Cpmbat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza.

Staff Sajent Ofek Barhanna, umri wa miaka 20, kutoka Yavne, daktari wa mapigano (Combat Medic) kutoka kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza.

Staff-Sajent Omer Van Gelder, mwenye umri wa miaka 22, kutoka Ma'ale Adumim, kamanda wa kikosi katika Kikosi cha Rotem Recon, Kikosi cha 9, Brigade ya Givati, alifariki vitani kaskazini mwa Gaza.

Katika tukio la kwanza Humvee alipigwa na kombora la kifaru. Baada ya mlipuko huo, walionusurika waliwaburuta maiti na majeruhi hadi kwenye jengo. Walipoingia tu ndani ya jengo hilo kusubiri timu ya uokoaji, jengo hilo lilipigwa na kombora lingine na kuwaangukia askari.

Kwa jumla askari 3 wa Givati walikufa kishujaa!!
Wanaficha ukweli wamekufa pale Jabalia 20 pamoja Chopa 1 iliotumwa kufanya uokoaji nayo imewashwa moto yassin 105 imefanya yake. Kazi kipimo cha utu. !!!!

Utaona IDF wanaenda kuuwa raia wasio na hatia kufidia kupigwa kwao na Hamas Afu utasikia uwongo wao awa IDF hoo alikuwepo Echolimai Gaidi mkuu wa Hamas !!!
 
Umeanza Taqiyyah!! Basi tupe picha au video kudhibitisha huo UHARO wako!!!
 
Endelea kujifariji tu safari hii mtanyooka tu!!!
Hawajawah kuonyooka, tusidanganyane hapa. Palestine wana suffer sana sababu ya hii vita, how many lives wamepoteza? Uki compare ration palestine wengi wamepoteza maisha zaidi, wako at crisis
Na israel ana extend mipaka yake anazadi kuwasogeza palisten out of eneo lao
 
Wanaficha ukweli wamekufa pale Jabalia 20 pamoja Chopa 1 iliotumwa kufanya uokoaji nayo imewashwa moto yassin 105 imefanya yake. Kazi kipimo cha utu. !!!!

Utaona IDF wanaenda kuuwa raia wasio na hatia kufidia kupigwa kwao na Hamas Afu utasikia uwongo wao awa IDF hoo alikuwepo Echolimai Gaidi mkuu wa Hamas !!!
Picha au kipande Cha video tafadhali vinginevyo ni chai kama za siku zote unazoandika
 
Nami uwa najiuliza sana swali hilo!!,,je hawafi??, Wanakaaje na mateka katika milindimo yote hiyo ya mabomu?? ,,Mi nahisi kila mpalestina uenda ni Hamas pia 😀🫣
Inawezekana kabisa, wanaume wote waliopo Gaza ni Hamas, iwe kwa wao wenyewe kukubali au kulazimishwa kufanya hivyo.
Kama inawezekana, wanawake wote waliopo Gaza pamoja na watoto wangeondolewa kwa muda.​
 
Hawajawah kuonyooka, tusidanganyane hapa. Palestine wana suffer sana sababu ya hii vita, how many lives wamepoteza? Uki compare ration palestine wengi wamepoteza maisha zaidi, wako at crisis
Na israel ana extend mipaka yake anazadi kuwasogeza palisten out of eneo lao
Kwa akili yako wewe unajua Wapalestina wana suffer kwa sababu gani? Maana umekalia kulialia tu bila kutueleza sababu!!!
 
Picha au kipande Cha video tafadhali vinginevyo ni chai kama za siku zote unazoandika
Picha zinazotembea kwasasa ni za upande m 1 yani Israel !!

kwaiyo tupo kwenye kusubiri picha upande wa Hamas na kujua Wangapi wamelala milele Amina!!!

Uwe mvumilivu kidogo ukitaka kujua Ukweli!!!
 
We si umesema askari 20 wamekufa inamaana umeona video au picha zao halafu unataka niwe mvumilivu hii kaliiiii aisee chai zinatembea tu humu🤣🤣🤣🤣🤣
 
Picha zinazotembea kwasasa ni za upande m 1 yani Israel !!

kwaiyo tupo kwenye kusubiri picha upande wa Hamas na kujua Wangapi wamelala milele Amina!!!

Uwe mvumilivu kidogo ukitaka kujua Ukweli!!!
Lete wewe za upande wa pili!!!
 
Hahaha HAMAS kama kunguni huwafi kwa nyundo wakiingia kwenye godoro unachoma kitanda, godoro, mashuka, matandiko na kila kitu ndani ikibidi unachoma hadi nyumba, ukikosea formular ya kuwaua unahama nao.
 
Kwa akili yako wewe unajua Wapalestina wana suffer kwa sababu gani? Maana umekalia kulialia tu bila kutueleza sababu!!!
Naona hujajibu by facts ,unaweza emotions so much which is not right for this post
Advice, keep emotion in check
 
Back
Top Bottom