wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni Mwanasiasa gani anamiliki magari ya kupeleka wafanyakazi migodini Kanda ya Ziwa?

    Kuna kampuni za kupeleka wafanyakazi kazini kwenye migodi Geita; kila zikipita mjini linatajwa jina la mwanasiasa kijana hapa NCHINI. Magari hayo ya rangi ya blue yapo zaidi ya mia mbili na kiongozi husika anayetajwa hana historia ya biashara; je kama ni ya kwake amekopeshwa au amenunua cash...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanasiasa wanaingilia utendaji kazi wa vyama vya wafanyakazi?

    CWT kama ilivyo kwa Vyama vingine vya wafanyakazi, imekuwa ikiingiliwa utendaji wake na Wanasiasa. Je,!Sheria zinasemaje kuhusu hili? Imekuwa kawaida kushinikiza makada hasa wa CCM ndio wawe Viongozi wa vyama vya Wafanyakazi. Ni muda muafaka sasa kwa wanasheria kuliangalia suala hili.
  3. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TANESCO wagoma kutoa asante kwa Maharage kwa Utumishi ukiotukuka

    Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi? Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani. Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
  4. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi TX,wa makampuni,migodini na miradi mbalimbali

    Karibuni tujikumbushie mambo mbalimbali toka Enzi za KAJIMA KONOIKE, CMC ITALSTRADE, KAKOLA NYAMONGO SOGEA SATOM BALFOBIT, CG JENSEN, WADE ADAMS, BUHEMBA KAHAMA MINING CHICCO MOOLMAN BROTHRS AARSLEFF BAM INTERNATIONAL STRABAG, KAPIKO, MWADUI WILIAMSON(ya zamani) STERLING, JR GGM(ya zamani)...
  5. JamiiForums Tanzania Msuluhishi wa kesi ya waliokuwa wafanyakazi wa TBL atoa maamuzi yenye utata

    Jana tarehe 14/ 09/ 23 Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu ametoa maamuzi yenye utata kwenye shauri la usuluhishi lililokuwa mbele yake. Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya Bia Tanzania (TBL) waliishtaki kampuni hiyo wakiituhumu ubadhirifu wa mabilioni ya pesa za Mfuko wa Hisa za Wafanyakazi wake...
  6. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Biteko kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO

    Leo Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati bwana Biteko atakutana na kuzungumza na wafanyakazi wa TANESCO makao makuu Ubungo. Jamaa zangu ambao ni wafanyakazi hapo wanasema Makamba amekua waziri kwa miaka 2 lakini hajawahi kukutana na wafanyakazi na kuzungumza nao ili hali mawaziri wengine wote...
  7. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa Bunge la JMT chukueni maua yenu

    Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea. Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi zote za Umma nchini. Kuanzia mapokezi hadi huduma unazopewa pale unapata uthubutu wa kujivunia Bunge...
  8. JamiiForums Tanzania Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

    Kuna ishu nimeona kuhusu Zamaradi kuna mfanyakzi wake mmoja ambaye ni director wa vipindi mojawapo ni the gram. Anaitwa Meggy analalamika hajalipwa pesa yake miezi 24 sasa sawa na million 19. Anayoidai Zamaradi TV. Nimeona kwa Mange Kimambi amepost screen za chatting kati ya Meggy na Zamaradi...
  9. JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi chaitisha Mgomo kupinga Gharama kubwa za Maisha

    Chama cha wafanyakazi nchini Nigeria cha Labour Congress kinapanga kugoma Sept. 5 na 6, 2023 kupinga gharama ya maisha baada ya serikali kutupilia mbali ruzuku ya bei ya petroli. Chama cha Wafanyakazi wa Nigeria (NLC), ambacho kinawakilisha mamilioni ya wafanyakazi katika sekta nyingi za uchumi...
  10. JamiiForums Tanzania Hili la Mbeya, wafanyakazi kuiba mapato ya Serikali, linasitua sana

    Huu wizi wa fedha za umma unasitua sana. Mh Rais Samia amesema wafanyakazi Halmashauri wamejijengea utaratibu wa KUIBIA serikali! Wizi una baraka zote za TISS, POLISI na watendaji RAS, hadi Mkuu wa Mkoa. Huu ni wizi wa kuaminiwa na tunategemea serikali kutocheka na nyani! Tumeshaanza kula mabua!
  11. JamiiForums Tanzania Mgomo wa Waturuki wanaojenga Reli ya SGR wamalizika, Mkandarasi (YAPI MERKEZ) aomba radhi kwa umma

    TAARIFA KWA UMMA UTEKELEZAJI WA MALIPO YA MISHAHARA KWA WAFANYAKAZI WA KITURUKI WA MKANDARASI WA SGR, YAPI MERKEZI Dar es Salaam, Tarehe 21 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli yenye kiwango cha kimataifa (SGR) kati ya Dar es salaam Isaka inaitaarifu umma kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mkandarasi Yapı Merkezi anayejenga Reli ya SGR atoa ufafanuzi taarifa za kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake raia wa Uturuki

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA TAARIFA ZINAZOSAMBAA ZIKIHUSISHWA NA SERIKALI YA TANZANIA KUSHINDWA KUMLIPA MKANDARASI YAPI MERKEZI NA KUPELEKEA KUSHINDWA KULIPA MISHAHARA WAFANYAKAZI WA KITURUKI Dar es Salaam, Tarehe 15 Agosti 2023 Kampuni ya YAPI MERKEZI inayofanya ujenzi wa reli ya yenye...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ataka waajiri sekta binafsi kuzingatia afya za wafanyakazi kazini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakurugenzi wa makampuni binafsi nchini kuzingatia afya za wafanyakazi mahala pakazi akidai kufanya hivyo ni kulinda haki za binadamu. "Kwa kuwa nyinyi waajiri nitoe wito kwenu zingatieni afya ya wafanyakazi na usalama mahala pakazi" Pia ameongeza...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani: Wafanyakazi San Francisco watakiwa kufanyia kazi majumbani kutokana na kiwango kikubwa cha uhalifu

    Wafanyakazi kwenye ofisi za idara ya afya jijini San Francisco wametakiwa kuendesha shughuli zao majumbani kutokana na maeneo karibu na ofisi yao kutokuwa salama.Idara hiyo imesema hali hiyo itaendelea bila ukomo mpaka litakapotolewa tangazo jengine. ======= Hundreds of employees at...
  15. JamiiForums Tanzania Kuzingatia haki za wafanyakazi ni hatua ya msingi kwa maendeleo na ustawi wa Afrika

    Kuzingatia haki za wafanyakazi ni muhimu sana katika kuhakikisha ustawi na ufanisi katika maeneo ya kazi. Haki za wafanyakazi zinahusisha masuala kama vile haki ya kufanya kazi katika mazingira salama na yenye afya, malipo ya haki na stahiki, saa za kazi zinazoheshimu afya na maisha ya...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuzingatia kariba za watu kwenye usaili na uteuzi kutachochea uwajibikaji

    UTANGULIZI Imetokea mara nyingi tumesikia Rais akiteua au kuchangua watu mbalimbali kushika nyadhifa serikalini au pengine watu kuitwa kwenye usaili wa kazi ili kuchambua na kupata wafanyakazi bora. Pamoja na ujuzi na uzoefu wa watu, ili kuteua au kupata wafanyakazi wenye weredi na ufanisi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuendeleza Uwajibikaji wa Wafanyakazi kwa Mafanikio Bora

    Utangulizi: Katika sekta yoyote, mabadiliko ya uwajibikaji na utawala bora ni muhimu sana katika kuendeleza ufanisi na mafanikio. Katika andiko hili, tutajadili mbinu zinazoweza kuchochea mabadiliko haya katika mazingira ya kazi. Andiko hili limezidi maneno mia saba. 1. Kuhamasisha Uongozi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais, kwa mara nyingine unatukosea Watumishi wa Umma nyongeza ya mshahara

    Ni wazi kuwa sasa ni mwaka wa 8 watumishi hawapati shahiki yao ya nyongeza ya mshahara. Matamko mbalimbali hususani kwenye sherehe za Mei Mosi, Rais kupitia majibu ya hotuba ya wafanyakazi alitoa kauli ya kurudisha japo Annual Increment kwa watumishi ifikapo July mwaka mpya wa bajeti. Tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Wakati wa ujenzi wa Reli ya TAZARA (1968 – 1975) zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa

    Wakati wa Ujenzi wa Reli ya TAZARA zaidi ya Wafanyakazi 160 walifariki kwa ajali na magonjwa, kati yao Wachina walikuwa 64. Ujenzi ulihusisha Vibarua na Wahandisi 38,000 kutoka Tanzania na Zambia, pia timu ya Wataalam na Wahandisi 13,500 kutoka China. Reli hiyo iliyojengwa kati ya Mwaka 1968...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…