wafanyabiashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afika Kariakoo. Aagiza task force za TRA kusitisha shughuli zake haraka

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo. Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Tundu Lissu kwamba Wafanyabiashara wa Kariakoo wagome hadi Rais Samia aje kuwasikiliza si ya kizalendo

    Makamu mwenyekiti wa Chadema Mh Tundu Lisu kupitia ukurasa wake wa twitter amewapongeza Wafanyabiashara wa Kariakoo kwa kudai haki zao kwa njia ya Mgomo. Tundu Lisu amesema anategemea Wafanyabiashara hao watagoma hadi Rais Samia atakapokuja kuwasikiliza kwa sababu matatizo yao siyo kwamba...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Kariakoo, hamieni maeneo haya ambapo hakuna usumbufu na utajiri uko nje nje

    Hii nawapa msisitizo japo najua mnafahamu. Kuliko kuendelea kunyanyasika nawasihi sana hamieni maeneo kama Lubumbashi, Juba, Kampala, Lilongwe, Blantaire, Kisangani na Goma. Huko waliostuka mapema walishawapita pesa kitambo wamejificha huko na biashara zote zinazofanyika hapo kariakoo ndio...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwendelezo wa Mgomo, Kiongozi wa Wafanyabiashara Kariakoo adai kuna kikundi kina maslahi binafsi

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Ashatu Kijaji: Biashara Kariakoo zinaendelea, wafanyabiashara wametumia Demokrasia na Uhuru wao kufungua au kutokufungua

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema “Bado Serikali haijajiridhisha kwamba uraia pacha ni takwa la...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Wafanyabiashara Kariakoo Aomba Msaada Kuwakamata Waliofunga Maduka

    Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea leo unasababishwa na kikundi cha watu wachache wenye maslahi yao binafsi huku akiomba wachukuliwe hatua na kuahidi kutoa ushirikiano kwa vyombo vya usalama. Ameyasema hayo leo Jumanne Mei 16, 2023 wakati akizungumza...
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Idara ya usalama Mkoa wa Dar es Salaam ibadilishwe kwa kushindwa kuiona move ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na kutoa taarifa mapema

    Eneo kama Kariakoo, ilitarajiwa suti nyeusi wawepo kwa Kila namna, wawepo kama wamiliki wa maduka, kama watendaji wa mitaa na Kata, wauza kahawa, machinga, wawe ndani ya mchezo na mbele ya matukio yanayopangwa, na kama inabidi, waendeshe udukuzi wa kiuchumi wa mawasiliano ya kingpins wote wa...
  8. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo ni fedheha kwa Serikali

    Hii aibu ya huu mgomo ni kubwa sana na inafikirisha sana, je, hayo madeni ya Kodi ni bambikizi, ni penalty, na fitina ni nini hasa? DG wa TRA yupo, Waziri wa Fedha yupo, Waziri wa Biashara yupo, kwanini haya madeni? Yapi halali na yapi haramu? Je, hii italeta mazoea ya kukwepa Kodi au mazoea ya...
  9. anti-Glazer

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa wafanyabiashara una mengi ya kujifunza

    Nianze Moja Kwa Moja. 1. Sekta ya biashara ndiyo Kila kitu. Ieleweke kwamba watumishi wa umma wasipojifunza kwaambafanyabiashara ndiyo mfalme wa kada zote basi hawatarthubutu kugoma maana hawana nguvu. Serikali zote duniani biashara trade is another level. Zinaheshimu wafanyabiashara kupita...
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara kama mnaona Kodi Kubwa Mhamie Burundi

    Wasitutishe, wasitubabaishe. Lazima kuwe na tozo na kodi mbalimbali. Haya ma vieti mnadhani ni mengi hivi sababu wajapan wanatupa bure? Mnadhani yanatumia maji? Au yanatumia upepo? Burundi nadhani maisha ya kule ni rahisi zaidi kwa mujibu wa Mwigulu Nchemba. Wanasiasa walio empty kichwani...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wanakwepa kusajili stoo zao? Taarifa zinasema wamejaza mali za magendo baada ya kuziingiza nchini isivyo halali

    Wafanyabiashara wengi wanaingiza mizigo kwa njia ya magendo, wanazitunza stoo. Wanaweza kupitishia bandarini, njia zisizo rasmi za mipakani, au kwa majahazi. Hawalipi Kodi. Sasa serikali imeamua kusajili stoo wanazotunzia ili waweze kujua zilipo, wakague na waonyeshwe risiti za jinsi mzigo...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara: Chanzo la tatizo Kariakoo ni Kitengo cha Forodha Bandarini, Mawaziri hawamsaidii Rais

    Naibu Katibu Mkuu Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Dar es Salaam, Muliro amesema: “Changamoto ya Kariakoo chanzo ni Bandarini kwenye kitengo cha Forodha, pale mifumo ya kodi si rafiki, ukitaja thamani ya kodi halisi hauwezi kutoa mzigo. Kinachofuata unashirikiana na makamishna wa Forodha...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliofanikisha Mgomo Walindwe usiku na mchana

    Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa) Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka)...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha Spika Tulia kujifanya hajui kinachoendelea Kariakoo

    Salaam Ndugu zanu, Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea. Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
  15. Prince Luanda

    JamiiForums Tanzania Mgomo mkubwa Soko la Kariakoo: Maduka yamefungwa, Mei 15, 2023

    Habari wakuu nipo mtaa wa mchikichi huku kariakoo maduka hayajafunguliwa hadi muda huu kuna nini kwani? Ngoja niangalie na mitaa mingine. UPDATES... Muonekano wa maduka mbalimbali katika soko la Kariakoo hadi saa 8.23 asubuhi huku kufungwa kwa maduka hayo kukihusishwa na uwepo wa mgomo wa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wafanyabiashara Kariakoo kugoma Mei 15, 2023

    Kuna tetesi ya mgomo wa wafanyabiashara eneo la Kariakoo. Sababu za kuitisha mgomo; 1. Urasimu bandarini 2. Usajili wa stoo 3. Kamata kamata hovyo ya wateja kwa ukuguzi wa risiti Wao wapo tayari kufanya biashara kwa uhuru na kulipa kodi bila mambo ya rushwa rushwa na maonezi. Rai kwa...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru

    WAZIRI ASHATU KIJAJI AAHIDI KUTATUA KERO YA UTOZAJI USHURU KWA WAFANYABIASHARA WADOGO MKOA WA MANYARA Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewaahidi wafanyabiashara wa soko la Mchele la Magugu mkoani Manyara kufanyia kazi kero ya utozaji wa ushuru wa Shilingi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Ndizi Mabibo: Rais Samia tunaomba tusaidie tupate hati ili soko lijengwe

    Akielezea hali ya mazingira yalivyo katika Juma Idris Chombo ambaye ni Makamu Mwenyekiti Soko la Mabibo Dar es Salaam anaelezea: Makusanyo ya Tozo tunayokusanya hapa ni shilingi miamia, tunakusanya kwa ajili ya huduma tu kama vile usafi na ulinzi, kwa kiwango hicho hatuwezi kujenga soko la...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Soko la Tegeta Nyuki walalamikia ubovu wa miundombinu na mazingira machafu

    Baadhi ya Wafanyabiashara wa Soko la Tegeta Nyuki, Dar es Salaam wamelalamikia ubovu wa miundombinu ya soko hilo hilo kwa kusema asilimia kubwa inachangia huduma kuwa mbovu hasa wakati wa mvua. Nurdin Abdul, Mfanyabiashara wa sokoni hapo amesema “Changamoto katika soko letu ni matope, mazingira...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara pitieni hapa

    Wakuu natoa huduma zifuatazo: 1. Natengeneza website za aina zote, blog n.k 2.Natoa huduma za E-comerce, App za kihasibu kama vile quickboks,microsoft 360 na software nyingine za kihasibu au za mahesabu kwa wafanyabiashara na wamiliki wa makampuni. 3. Pia natoa huduma nyingine zote...
Back
Top Bottom