Viongozi wa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliofanikisha Mgomo Walindwe usiku na mchana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,741
218,330
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)

Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka).

Hakikisheni kwamba hao viongozi wenu hawalali majumbani mwao na wawe pamoja muda wote wa mgomo huu , serikali ya ccm inaposhindwa hoja huwa iko tayari kufanya lolote ili kutisha wengine.

Naomba Jambo hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa sana.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Tra msibadili msimamo wenu Kuna wafanyabiashara wengi sana wazawa na wageni wanamiliki store tu na kuuzia maduka ya jumla ya hapo hapo kariakoo wanapita tu na vijana wao kuchukua oda kwenye maduka na wengine wanauzia store.
Kuna watu mmewagusa Tena wakubwa sana Sasa nao wamewashawishi wengine kupigania maslai yao bila wafanyabiashara wengine kujua hilo.
 
Weka ushahidi

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Kwa Mara ya kwanza naweka like kwenye bandiko lako.
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)

Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka).

Hakikisheni kwamba hao viongozi wenu hawalali majumbani mwao na wawe pamoja muda wote wa mgomo huu , serikali ya ccm inaposhindwa hoja huwa iko tayari kufanya lolote ili kutisha wengine.

Naomba Jambo hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa sana.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Naomba kukiri wazi kwamba mimi ni miongoni mwa Wafanyabiashara wa Kariakoo waliogoma kufungua maduka yao (sababu zimeelezwa)

Ninaandika kwa ufupi sana kwamba Naomba sana kamati ya Wafanyabiashara hao kuhakikisha viongozi wao na wasemaji wao wanalindwa kwa udi na uvumba (nadhani naeleweka).

Hakikisheni kwamba hao viongozi wenu hawalali majumbani mwao na wawe pamoja muda wote wa mgomo huu , serikali ya ccm inaposhindwa hoja huwa iko tayari kufanya lolote ili kutisha wengine.

Naomba Jambo hili lichukuliwe kwa uzito mkubwa sana.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Usifinye finye maneno sema wanaua
 
Dr.Ulimboka yupo wap siku hz
 
Kinachowasaidia hao wa Kariakoo,ni kuwapa tahadhari wale watakaothubutu kufungua,bila kufanya hivyo,wasingefanikisha.Kutokuwepo umoja,ndiyo tatizo la migomo mingi kutofanikiwa.Umoja wa lazims,ni muhimu,wasingepiga mkwara huo,hakyanani wengine wangefungua.
 
Back
Top Bottom