Mwaka huu kazi kazi. Tukiwa kwenye majonzi ya kodi ya nyumba hasa kwa wale wanaoishi kwenye maghorofa, TRA inawataka wafanyabiashara kusajili store zenu.
Hii ni Habari njema kwa Wafanyabiashara wanaosubiri vizimba na Flemu Sokoni Kariakoo.
Msimamizi wa Ukarabati Mh Kaijage amesema kuna ongezeko kubwa la vizimba na Flemu baada ya ukarabati mkubwa unaofanyika.
Alikuwa akimweleza Mwenyekiti wa Bodi Hawa Ghasia.
Source: ITV Habari
=====
Update...
Heri ya Pasaka!
Eneo nilipo kuna wafanyabishara 5 wanauza nyama ya nguruwe kilo 1 wanauza elfu 12, ilo eneo mimi ni mgeni nina miezi 4 tu Ila punde baada ya kufungua banda langu nilikuwa nauza bei sawa na wenzangu sh 12k lakini nilikuwa siuzi kabisa naweza kukaa mpaka siku 4 siuzi kabisa...
Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano wafanyabiashara wa mizigo inayoenda nchi za nje, wataalamu wa kodi lakini watoke kwenye kampuni binafsi na...
Kila uchwao ni kilio cha maisha magumu ambacho hutoka kwa mnyonge kwenda kwa mtawala. Dhamana ya kilio hiki anayo mtawala ambaye ana matakwa ya kutatua ama kutokuitatua changamoto husika kutokana na uwepo wa rasilimali za kutosha au maamuzi binafsi.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua.
Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia na wananchi wanampongoza awamu ya sita Kwa kuwaachia matajiri; lakini tujiulize NI maskini gani...
Kumekuwa na changamoto kubwa sana ya ulipaji kodi nchini hasa kwa wafanyabiashara wadogo, wafanyabiashara wengi wanagharamia fedha nyingi na kupoteza muda mwingi katika zoezi zima la kulipa Kodi.
Mathalani mlipa kodi anasafiri umbali mrefu sana kwenda kukadiriwa kodi na kupewa control number...
Kwa lengo gani? Je kwanini wahusika warudishiwe haki yao? Ilikuwa uporaji?
===
Nape akiwa Clouds FM amesema
"Rais Samia Suluhu Hassan katika miaka hii 2 ya uongozi amefanya kazi ya kuwafuta watu machozi na amefanya kazi ya kurudisha furaha na tabasamu kwenye maisha ya watu. "Wale wanasiasa...
Mwenyekiti wa Baraza la Biashara la Taifa la Zanzibar (ZNBC), Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka Wizara na wadau wa sekta mbalimbali zinazofanya biashara wakutane kila miezi mitatu kujadiliana kuhusu changamoto na kuzipatia ufumbuzi.
Pia...
Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbambali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo mbambali ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi.
Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za...
Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
Habari za leo wakuu
Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam. Nimekuwa nikiwasaidia wafanyabiashara waliopo mbali na Dar es salaam katika kuwanunulia bidhaa kwenye maduka ya jumla yaliopo hapa Dar. Hivyo haimlazimu mtu kusafiri kutoka mikoa ya mbali kuja Dar kufunga mzigo, ambapo utakuta faida...
Kituo cha magari madogo ya abiria Kilichopo kilombero jijini Arusha maarufu kama stand ya Kilombero kimezidiwa na wingi wa shughuli nyingi za kiuchumi hususani biashara tofauti na Lengo kuu la kituo hicho cha daladala.
Kituo hicho ndio kitovu cha daladala karibu zote zinazoelekea sehemu...
Unaamua kufanya biashara mtandaoni halafu huweki bei, lengo lako ni nini?
Inakera sana unakuta ukurasa umejaa watu wanauliza bei halafu hazijibiwi au wakijibu ni jibu la 'njoo DM' au 'piga namba hiyo hapo' ama 'kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp'.
Kwani mkiweka bei kila mtu akaona mnapungukiwa...
Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi.
Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code kuhusu biashara za bara la asia zilivyo ili kuendelea kuwa mteja wake usisanuke.
Wachina wamejikuta...
Maandamano yametokea Mitaa ya Dubois, Gikomba na Nyamakima Jijini Nairobi wahusika wakidai uwekezaji unaofanywa na Wafanyabiashara raia wa China kuuza vitu kwa bei ya chini ni hatari kwa biashara ya wazawa.
Wakiwa na mabango yenye ujumbe tofauti ikiwemo kudai 'Kuna uvamizi wa Wachina', wamefika...
Na. Jonathan Kalunga
Wafanyabiashara wa ferri watakiwa kuepuka kufanya biashara pembezoni mwa barabara, mpaka pale watakapo tafutiwa maeneo mazuri kwa ajili ya shughuli zao.
Katazo hilo limetolewa na Diwani wa Kata ya Kigamboni Dotto Msawa, alipowahutubia wafanyabiashara hao Mara baada ya...
Wafanyabiashara wa Soko la Sinza Makaburini wamedai kuna uonevu mkubwa wanafanyiwa na uongozi wa Halmashari ya Ubungo kwa kuwalazimisha kusaini mkataba ambayo hawajairidhia.
Baadhi ya Wafanyabiashara wamesema viongozi wa Halmashauri hiyo wakiongozana na Askari Polisi, Mgambo na Mwanasheria...
Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana basi Yao harafu wewe unataka kujenga reli lazima watapambana na wewe kuona hufanikiwi kiurahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.