wadau

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kigaila: Mkutano wa CHAUMMA umechangiwa na wadau

    Naibu katibu mkuu wa CHAUMMA Benson Kigaila amefafanua wanaohoji kuhusu ukubwa wa mkutano wa kuwakaribisha wanachama wapya wa CHAUMMA ambao umefanyika kwa ukubwa na wadau wengi wamepata wasiwasi chama hicho kimepata wapi fedha hizo. Kigaila anasema wadau waliokuwa wamewaamini wakiwa CHADEMA ndio...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  3. JamiiForums Tanzania Wadau Maumivu ya korodani yasiomaali ni ugonjwa gani?

    Korodani zangu nikiziminya kwa juu zote mbili napata maumivu japo siyo makubwa sana,je kuna dawa?
  4. JamiiForums Tanzania Wadau dakika Elekezi ni zipi katika tendo nachanganyikiwa hapa. Katiba ya sasa haijataja kabisa

    Kuna wanaosema iliamriwa ziwe 5 tu. Lakini kuna wanaosema ni 3 tu hasa kama umelipia kila kitu wewe na bado utamlipa mhusika huna sababu ya kujichosha. Nimeongea na dogo mmoja yeye anasema kwa mishangazi ni dk zisizopungua 30. Sababu analishwa, ananyweshwa hivyo anatumikia hayo malipo...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada kwa haraka wadau. Kama sijatumia KIPAPIRO kwa week je Gobole linaongezeka ukubwa?

    Nina week sijala Kipapiro je inaweza saidia kukuza gobole? Je nikikaa mwezi litakua zaidi? Au niendelee tu kuchakata vipapiro? Nimeuliza hivi kutokana na kuwa nimekuwa tight hii week nchi ya ugenini huku Morocco. Sijafanikiwa pata kipapiro. Naona kama gobole limeongezeka. Na sijacheza pool...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau

    Habari Kuna muombaji ameshajibiwa zile Ajira za TANROAD Vacancies za Kibaha pwani Tujuzane wadau
  7. JamiiForums Tanzania Hivi kutongoza msibani kwenye maombolezo inaruhusiwa?

    Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen? Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  8. JamiiForums Tanzania Wadau naomba kuifahamu zaidi wilaya ya Tanganyika Mkoa wa Katavi

    Salaam: Nategemea kuelekea wilaya ya Tanganyika mkoa wa katavi base mpya kijiji cha Ikola. Naomba kujua taarifa zifuatazo. 1. Upatikanaji wa ardhi kubwa za kilimo 2. Ni maeneo gani Pana madini ya dhahabu, copper,na ya vito mchanganyiko. Yaani madini ya gram,na ya matani. 3...
  9. JamiiForums Tanzania Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  10. JamiiForums Tanzania Wadau, App Gani Mpya Inahitajika Bongo au ni wazo gani la App umewahi kuwa nalo? Shusha Idea Yako Hapa!

    Ni app gani uliwahi kuwish iundwe hapa Bongo lakini bado haipo au haijafika kiwango cha kimataifa? Au kuna changamoto gani uliwahi kukutana nayo ukaona kabisa, "Duh, hapa app ingesaidia!" Huu uzi ni wa kila mtu kushare ideas iwe ni kwa biashara, elimu, afya, usafiri, au burudani. Pengine idea...
  11. JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kweli kanisa Katoliki wanapenda kiki:Eti wadau waliokamatwa waachwe bila masharti, hawa hawajui zama zao zimeshaisha

    We rais wa TEC ni nani kuiamrisha serikali iachie watuhumiwa wa uhaini tena unapanga bila masharti, who are you? Hawa maaskofu wanajitambua kweli? Wanafikiri hii ni Roma Empire? Wanapenda kiki za kijinga waonekane wana nguvu flani nyuma ya pazia waache upuuzi wao zile zama za kijinga za papa...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau mnaishije na ndugu?

    Habari wadau mimi ni kijana wa 30+ nina mke na mtoto mmoja ni muajiriwa wa serikali . Nilimaliza chuo mwaka 2015 ila nikaajiriwa 2021 kipindi namaliza chuo nilipitia wakati mgumu sana wa ukosefu wa ajira nikaamua kwenda mpanda kwenda kukata mkaa nilipopata hela nikakodi shamba nikalima mahindi...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
  15. JamiiForums Tanzania Nauliza tu wadau!

    Kwanini gari za Serikali zikipata ajali wanawahi kutoka plate number faster? 😳
  16. JamiiForums Tanzania Wadau hivi Sex Friend anakuwaje sielewi kitu

    Habari wanajukwaa ebu fungueni code sex friend inakuawaje na kanuni zake ni zipi na inaelewekaje na wanawake wa aina gani na inafanyikaje. Daah ebu fungueni code
  17. JamiiForums Tanzania Wadau wadai msongamano wa malori Tunduma unatengenezwa, RC Chongolo aunda kamati kubaini ukweli

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo ameunda kamati malumu kwa ajili ya kufanya uchunguzi na kubaini sababu zinazosabaisha msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ambao umekuwa ukilalamikiwa mara kwa mara na madereva hali ambayo imekuwa kero kwa watumiaji...
  18. JamiiForums Tanzania Wadau Waunga Mkono Ajenda ya No Reform No Election: Wataka Bunge Lisubiri Kuvunjwa Mpaka Mabadiliko Yafanyike Kwanza

    Na Waaandishi Wetu BAADA ya kuanza kukua na kushika kasi kwa ajenda ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kutaka kuzuia kufanyika uchaguzi mkuu wa 2025, wasomi, wanazuoni na wachambuzi wameibuka kuunga mkono. Wengi wanaona umuhimu wa kusikilizwa na kufanyiwa kazi kwa ajenda ya...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Habar zenu wadau kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa inayotumia mafuta na umeme ipo sokoni inauzwa

    Kwa yoyote anayehitaji mashine ya juice ya miwa ipo sokon inauzwa mashine inatumia umeme na mafuta mashine pia ina kibanda cha kujikinga na jua Bei yake ni 950000 WhatsApp 0686298896 Location .dodoma
  20. JamiiForums Tanzania Jaman wadau hii printer unaweza kuwa bei gani?

    hii ni canon mp250 all in one Kwa bei inaweza kua ngapi? Na nikiyakanyaga inaweza uzika Kwa haraka?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…