Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen?
Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Leo huleti ya mahakamani ndugu,kuna tatizo gani leo au haujaonana na wakili wako MWAASHAMBWA?Kuna mwenye uzoefu juu ya jambo hili my friends, ladies and gentlemen?
Au kuna mabadiliko ya kiutu na kibinadamu kwenye mambo haya siku hizi ?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Ndio akili za ukijanini
Na huyo ndio mbunge etNdio akili za ukijanini
binadamu wa kisas mna roho ngumu mno aise, dah!🐒Yani mkuu uogope kutii kiu yako na hisia zako kwa ajili ya wafu? Ushahudhuria inatosha na maisha yanaendelea, sometimes opportunities zinakuja kwenye acute angle au kwenye miba minene na nature inakupima uwezo wako. Tumia nafasi fasta kabla mazishi hayajaisha coz inawezekana kabisa usije kumuona tena huyo mrembo hadi unazikwa!😛
Anyway Tanzania ilishabarikiwa since antiquities ni sisiemu tu inamtumikia shetani
unaaga ndugu, jamaa na marafiki kwenda msibani na ukifika huko msibani unatongoza na pengine kumaliza kazi kabisa huko huko msibani dah?Tongoza popote, kadri uwezavyo na upendavyo
binadamu wa kisas mna roho ngumu mno aise, dah!🐒
ni muhimu kuwatia moyo watu kama hao.Kazi na dawa mkuu, hawa vijana wanahitaji wenza pia wkt wanapambana na uchawa, tuwasaidie tu kiroho safi maisha yanaendelea! 😛
ama kwa hakika kufa kufaana gentleman,Yani nipoteze mrembo anayeweza kuwa wa maisha kisa mazishi ya mtu ambaye hata kurudi haiwezekani, si ntakua nimepoteza wote? Bora nusu hasara kuliko majuto! After all maulana ndo kamleta mrembo hapa nilipo mazishini, maana yake kaona ndo mahali sahihi, kwa nini sasa asingekuletea Lumumba au Kkoo au ulipo huko Tandale? Chukua point zako 3 au lose its all up to you to take what's meaningful to ya life bro!
Life is full of choices...
Labda mbunge wa kinyecityNa huyo ndio mbunge et
Afe na upwiru wakeKazi na dawa mkuu, hawa vijana wanahitaji wenza pia wkt wanapambana na uchawa, tuwasaidie tu kiroho safi maisha yanaendelea! 😛