Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion).
Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania)
Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA
Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake...
Hii kitu inaitesa sana simba kwa sasa, wachezaji wengi wamekuwa wakipigana misumali kwenye kikosi cha Simba but kocha na viongozi wao awajajua chanzo ni nini na solution ni nini, matokeo yake na madhara yake uwa yanaiathiri klabu kwa asilimia kubwa!
Jambo ili kwa mtazamo wangu linachangiwa...
Mara nyingi huwa unatokea ugomvi linapokuja suala la kugawana pesa ya zawadi kati ya wachezaji. Ni vizuri zawadi igawiwe kwa kuzingatia mchango wa kila mmoja ili kila mmoja avune kwa kadri ya jasho lake. Hii ni kazi ngumu sana, lakini ni vizuri ukitumika utaratibu unaozingatia mchango wa kila...
Uzi huu una lengo la kutaja wachezaji waliopata kucheza vilabu vyote viwili vya Simba & Yanga.
Naanza na Edibily Jonas Lunyamila, huyu alicheza Yanga na baadae alicheza Simba japo alivuma zaidi akiwa Yanga.
Pia yupo Kelvin Yondan alicheza Simba na baadae Yanga na alijipatia umaarufu zaidi...
Salaam ndugu zangu,
Nimepata taarifa kwamba Shirikisho la soka nchini Zanzibari limeweka ugumu kwa wachezaji wa Tanzania Bara na itawasajili kama Wageni. Taarifa hii imeandikwa:
Bodi inayosimamia Ligi kuu ya Zanzibar (PBZ) imepitisha kanuni mpya za Usajili kuwa Klabu yoyote itakayomsaini...
Ngao ya jamii mechi 2,klabu bingwa pamoja ligi kuu dhidi KMC amefanya mabadiliko kila eneo la isipokuwa kwa full back right YAO YAO hii inamaanisha Kibwana shomari anayo kazi ya kufanya kuanza katika kikosi cha kwanza.
Kibwana shomari ni mchezaji mpambanaji sana lakini mpinzani wake ni zaidi...
GENTAMYCINE nimetaarifiwa na Mdau Mwenzao ( Mshirikina ) Mwenzao bila Yeye kujua aliyekuwa nae ni Mtu HATARI kwa kutafuta Taarifa Ngumu na Zilizojificha na mpaka aliko huyo Mganga Wao na Wachezaji Wenzake wote wa Simba SC, Yanga SC na hata wa Azam FC anaokwenda nao.
Na huyo Mganga Wao wa...
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!
Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.
Kama kila...
Bodi ya Ligi imetoa marekebisho na maboresho ya kanuni toleo la 2023 ambapo hivi sasa ikiwa mchezo atapata dili zake binafsi na benki nyingine basi hawaruhusiwi kutangaza kwa sababu ya mkataba wa NBC Tanzania na Ligi huku atakayekiuka akikabiliwa na kufungiwa kwa kipindi cha kati ya mwezi mmoja...
Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini
Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika
Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
"Nilichogundua 90% ya Waandishi wa Habari za Michezo na Wachambuzi wa Michezo waliokuwa wakishadadia Sakata la Mchezaji Fei Toto na Yanga SC walikuwa katika Payroll ya Yanga SC na pia hawajui Sheria zozote za Soka kitu ambacho Kilinisikitisha mno kwani hizi Sheria zote ziko Online na kila Mtu...
Unawezaje kuwa tajiri halafu ukasubiri wachezaji wazuri kutoka timu za ndani ndio uwasajili badala ya kutumia hela zako kusaka wachezaji wa kimataifa moja kwa moja kutoka huko nje?
Japo kuna wanaowsajili moja kwa moja kutoka nje ya nchi, lakini ni wazi wanangoja vilabu makini(na hapa Yanga)...
Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI".
Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
Watafute kazi walizokuwa na ujuzi nazo. Baada FIFA na TFF kutaka wachezaji wasimamiwe na mawakala (agent) badala ya meneja asiekuwa na weledi wa kusimamia wachezaji.
Hii imekata ngede kwa machawa wa wachezaji, watafute kazi nyingine.
Kambi imeshaanza Avic Town Kigamboni ila Kipa Diara, Kiungo Mshambuliaji Aziz K, Kiungo tegemezi Aucho, Kiungo Fundi aliyewahi kuwa MVP Bangala na Beki mahiri wa Kulia Djuma Shabaan hadi sasa Wote hawa hawako Kambini, hakuna Taarifa yoyote na wana Yanga SC kila Wakihoji wanachoishia Kujibiwa ni...
Wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Simba wamefika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa afya zao na kufanya vipimo mbalimbali ikiwa ni maandalizi ya kujiandaa na msimu mpya ya mashindano ya ligi 2023/2024.
Daktari wa Timu ya Simba Dkt. Edwin Kagabo...
Siwezi kulipwa milioni tano tu nikala ugali na sukari nikakupa pasi ili ufunge.
Kocha Nabi alikuwa analipwa milioni 35, mzee wa kutetema sasa rasmi kuwa mchezaji ghali Afrika Mashariki nzima.
Ila kwa starehe za Dar es Salaam msimu ujao akifilisha goli 12 mniite fala.
More money poor performance.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.