Wachezaji Azam walishwe ugali na sukari

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,315
12,614
Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa.

Inawezekana chakula Cha wachezaji na malezi ya wachezaji wa Azam likiwa ndio tatizo la timu ya Azam?
 
Mechi ya
Azam na Yanga ilimaliza Energy yote ya Azam na bench la ufundi la Namungo walilitambua ilo waka cheza gem kwa intensity kubwa.

Ata leo ihefu wakicheza mpira kwa kasi na nguvu wanauhakika wa kupata matokeo.
Timu chache sana kwenye ligi zenye utimamu wa mwili wa kiwango cha Yanga na hasa kama mechi zinachezwa kwa kukaribiana.
 
Inawezekana Mayelle alisema kweli kuhusu Azam kukamia timu kubwa?
 
Mechi ya
Azam na Yanga ilimaliza Energy yote ya Azam na bench la ufundi la Namungo walilitambua ilo waka cheza gem kwa intensity kubwa.

Ata leo ihefu wakicheza mpira kwa kasi na nguvu wanauhakika wa kupata matokeo.
Timu chache sana kwenye ligi zenye utimamu wa mwili wa kiwango cha Yanga na hasa kama mechi zinachezwa kwa kukaribiana.
Mkuu umemaliza yote. Azam ametumia nguvu nyingi kuikabili yanga
 
Wachezaji wa Azam wanacheza mechi mbili TU kwenye ligi za Yanga na Simba TU basi. Mzee Bakhersa afanye nini ili Azam ifanye vizuri? Fei alikuwa akifanya vizuri sana akiwa Yanga ingawa alikuwa akilishwa ugali na sukari lakini Sasa haisaidii Azam ingawa analishwa biliani na Mzee Bakhersa.

Inawezekana chakula Cha wachezaji na malezi ya wachezaji wa Azam likiwa ndio tatizo la timu ya Azam?
Hii timu Mzee Bakhresa anapoteza hela zake bure tu, angeongeza uzalishaji wa ukwaju.
 
Back
Top Bottom