Wachezaji waliostahili tuzo ya Balon d'or lakini hawakuwahi kuipata

Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo

Mkuu weka na miaka ambayo walifanya vizuri utagundua kwamba hawakustahili.

Kuna kipindi messi alipiga magoli 92 ndani ya mwaka mmoja (pele 75) . Haya ni magoli ambayo etoo au drogba au henry wangechukua miaka mitatu au minne kuyafunga.

Kipindi henry anawika kulikuwa na Ronaldinho , kipindi cha gerald alikuwepo Zidane.
 
Namba 6 alishapata , Andrea Pirlo huyu yeye sisi mashabiki tulishampatia, mwingine wa halali Frank Ribery yeye tuzo yake iliporwa akapewa Cristiano Ronaldo , many have been robbed, Some are Xavi, Iniesta, etc
 
Lewandowski hajawahi kuipata. 2021 haikutolewa na ndio mwaka ambao lazima angebeba.
 
Hongera Mnec Messi
Screenshot_20231031-202906-1.jpg
 
Mkuu weka na miaka ambayo walifanya vizuri utagundua kwamba hawakustahili.

Kuna kipindi messi alipiga magoli 92 ndani ya mwaka mmoja (pele 75) . Haya ni magoli ambayo etoo au drogba au henry wangechukua miaka mitatu au minne kuyafunga.

Kipindi henry anawika kulikuwa na Ronaldinho , kipindi cha gerald alikuwepo Zidane.
Henry peak yake sio Ronaldinho, na kipindi cha Henry alichukua Nedved na Shevchenko, mfano Tuzo ya Shevchenko ilikua ya kindezi kupita maelezo,
 
Mkuu ndio maana nimesema nyakati hazikuwa sahihi kwao. Kwa viwango walivyokuwa navyo ni masikitiko kuona hawakubeba hii tuzo.
 
Henry peak yake sio Ronaldinho, na kipindi cha Henry alichukua Nedved na Shevchenko, mfano Tuzo ya Shevchenko ilikua ya kindezi kupita maelezo,

Weka mwaka tuone statistics zinasemaje . Henry kawika kipindi kirefu sana kuliko shev. Kawika along side ronaldinho etoo na hata kipindi cha zidane henry alikuwa balaa .
 
Mnashindwa kuelewa jambo moja.. Baloon d'Or haiangalii zaidi mafanikio ya mchezaji aliyoyapata ndani ya mwaka, imebase zaidi na individual brilliance.

Ndio maana sishangai Haaland kupigwa chini.

Wote tumeona Benzema alivyochukua, well deserved.
Hakuna tuzo hapo ni uchoko tu.... Hiyo individual brilliance Messi msimu uliopita kaionesha wapi au nayo ipo kwa wanaomchagua!!
 
Wachezaji hawa walistahili hii tuzo lakini nyakati hazikuwa sahihi kwao:

1. Thierry Henry
2. Steven Gerald
3. Didier Drogba
4. Samuel Etoo
5. Frank Lampard
6. Robert Lewandowski
7. Arjen Roben
8. Wesley Sneijder
9. Toni Kroos
10. Andrea Pirlo
Takataka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom