wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania List ya wachezaji mpira overrated

    Habari 👋🏾 Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika propaganda. Tafiti ndogo niliyofanya inaonyesha wachezaji kuwa overrated hutokana na chuki dhidi ya klabu...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajiuliza ni kwanini Wachezaji wa Azam FC juzi Songea walicheza 'Kikatili' vile kutaka 'Kuua' Wachezaji wa Simba SC jibu hili hapa

    Wana Miezi Mitatu hawajapewa Mishahara na si kwamba labda Tajiri 'Mzanzibari' hana Pesa bali kaamua Kuwafanyia 'Kusudi' baada ya Kuwaambia Wachezaji wanamuangusha kwani anawapa kila Kitu hivyo wakitaka Wafurahi basi nao pia Wamfurahishe. Hivyo basi Wachezaji wengi wa Azam FC sasa kutokana na...
  3. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Yanga ni uongozi sio wachezaji wala makocha

    Kusajili wachezaji bila kuwepo kwa kocha mkuu, kuondoka kwa Zahera na makocha wengine, kuondoka Molinga, Yondani, Ngassa, Carlinhos, Lamine, Morrison, Mwakalebela na kusuasua kwa mabadiliko ya club ni ushahidi tosha kuwa benchi la ufundi na wachezaji sio sehemu ya tatizo la Yanga kwa sasa. Kuna...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Bajeti Kuu ya Serikali Mwaka wa Fedha 2021/22

    Bajeti ni makadirio ya mapato na matumizi ya serikali Leo Bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajiwa kuisoma bajeti ya serikali ya mwaka wa fedha 2021/22
  6. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 10 walioitendea haki jezi namba 9 dimbani

    MABAO ndiyo yanayoleta ushindi kwenye mchezo wa soka. Ukizungumzia ufungaji wa mabao, wachezaji wakubwa wamefanya hivyo wakiwa na jezi namba tisa. Kiutamaduni, jezi namba tisa ndiyo inayohusika na ufungaji wa mabao, ingawa soka la kisasa mambo yamebadilika kidogo katika mbinu – lakini kazi ya...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii wachezaji wengi wa mpira watakimbilia TZ, Mkataba mpya (114,272,966.78 USD) wasainiwa kuboresha ligi

    Asante Azam Media, Kampuni ambayo imechochea san aukuaji wa soka Tz, Mechi zote huzionyesha kwenye tv bila kujali ukubwa wa timu wala eneo 114,272,966.78 USD kwa miaka 10 97,284,020.03 USD baada ya government taxes. Kwa msimu wa 2021/22 mpaka 2023/24 mgao kwa kila timu kwa kila mwezi utakuwa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli leo nimewakubali wachezaji wa Simba

    Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  10. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Tujuzane: Je, mkoa gani wenye Wasanii wengi?

    Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi. Kwa...
Back
Top Bottom