Zanzibar ikodishe wachezaji wa Tanganyika ?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,006
Reaction score
26,145
Baada ya Zanzibar kufungwa 3 nunge na Uganda, ifike kipindi wawe wanachukua wachezaji wa Tngayika ili kuenzi mpira wetu na undugu wetu mzuri wa miaka kwa miaka!
ZNZ.jpg
 
Nje ya mada.Am just curious,

Huwa najiuliza hawa madem wanaona future kwenye huo mpira???

Maisha haya kuna vitu vinafurahisha.Ni sawa na inzi mwenye life span ya siku 7 atake kujipa majukumu ya Nyuki.

Anyway hawa ma tomb boy huwa wanaishia wapi wakifika miaka 35 na kuendelea???
 
Wakifika miaka 25 hamna kitu tena, wanarudi kuwa house girl na wasusui.
Mungu hajaumba mwanamke kwa hizi kash kash, mambo ya Beijing ndio yameleta hizi mbanga.
Say una tyimun ya wachezaji 22, 10 wapo mwezini , wengine ndio wanamaliza na matumbo yanawauma, 5 bleeding ni kubwa na wameambiwa wapumzike, 4 wa kulipwa wana mimba changa na wameambiwa waspate bed rest, hiyo timu itakuwaje?
 
Yaani huwa inanifikirisha sana ni sawa na wale wanajiita wagumu( Wasani wa Hiphop wa kike😄😄😄) Nikiwaangaliaga na hawa naona wanajipotezea muda.

Alafu tizi jingi linawapunguzia hormones za kike hasa estrogen, hawa ndiomana wanakuwa na features za kiumekiume,periods zisizoeleweka 😬😬😬,by 30 hamna kitu na wakizaa tu kwisha habari.

Beijing iliwaingiza mkenge sana wanawake.Huku maofisini tu ni shida tarehe za period zikifika ni kamzozo excuse za kutosha mzigo wote unarudi kwa wenye asili yao( wanaume).

Na mwisho wa mwezi wanakula salary ileile😄😄😄mtu kwa mwezi kazini kaja wiki 2 izo nyingine mara tumbo,mara msiba kwa jirani,mara mtoto anaumwa🙌🙌🙌🙌Najiulizaga maswali nakosa majibu.
 
Tumejifunga macho na kuziba masikio. Mungu ameumba mwanamke na kumpa tumbo la kubeba uzao huku mume akitoa mbegu za kurutubisha yai.
Kwa maisha ya sasa, kuku wanaolishwa ARV na Pizzza mpaka vijijini, watoto wanavunja ungo na miaka 10 na wakichelewa sana ni miaka 13.
Fikiria mtoto amevaa pedi alafu anacheza juani, ndio wanaleta UTI sugu, kweli kabisa na homoni za kike zinapungua wanakuwa ma Tom boy!
 
Back
Top Bottom