wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Real Madrid wapigana mazoezini, mmoja apelekwa hospitali

    Nyota wa Real Madrid, Fede Valverde, ameripotiwa kulazwa hospitalini baada ya kuzuka tena kwa ugomvi mkubwa kati yake na mwenzake Aurelien Tchouameni, hali iliyoanza wakati wa mazoezi ya timu siku ya Jumatano. Kwa mujibu wa taarifa hizo, wachezaji hao wawili walihusika katika mabishano makali...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Festo Sanga: Ndani ya Ligi Kuu Bara kuna Wachezaji wanalipwa Laki 2 wengine wanalipwa Milioni 50

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ameshauri Wizara ya michezo kupitia BMT wapitie na wapendekeze kima cha chini cha mishahara ya wachezaji kwenye Ligi mbalimbali nchini hususani Ligi kuu. Amesema "Kuna baadhi ya Wachezaji wanapokea laki 4 , laki 3, Million 1 na wengine wanapokea Milioni 10, 20 hadi...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Tukipeleka wachezaji wazee kwenye AFCON tutapata aibu!

    Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini, Mhe. Baba Levo, ametoa ushauri kwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuwekeza zaidi katika maendeleo ya timu ya taifa, hususan kwa kuwajengea uwezo wachezaji vijana watakaoiwakilisha Tanzania katika michuano ya AFCON 2027, ambayo nchi itakuwa miongoni...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Simba tuache kuwajaza ujinga wachezaji wetu

    Hii tabia imekuwepo muda mrefu sana, kuna kipindi Mkude alikuwa akisifiwa sana wakati yeye alikuwa chanzo cha makosa mengi, walimsifia mpaka viongozi wakawa wanaogopa kumwacha kwa kuwaogopa mashabiki. Baadae akaja Shabalala pamoja na magoli mengi yalikuwa yanatokea kwake bado mashabiki...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wachezaji 9 wa Arsenal wajiondoa kwenye Timu za Taifa kisa Majeraha

    Wachezaji tisa wa Arsenal sasa wamejiondoa kwenye majukumu ya timu zao za taifa. Orodha hiyo inajumuisha William Saliba, Gabriel Magalhães, Leandro Trossard, Jurriën Timber, pamoja na Eberechi Eze, Bukayo Saka, Declan Rice, Noni Madueke, na Piero Hincapié Bado haijawekwa wazi watakaa nje ya...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Dah Dube nae anatoka mapema hawezi kuendelea..Naona wamewapiga kimbola wachezaji sasa aisee...

    PRINCE DUBE ametoka ameshindwa kumaliza mechi dhidi ya TRA inaonekana amepata majeraha, inasubiriwa ripoti ya Madaktari kuona ukubwa wa majeraha yake na kwa hoja hiyo Emmanuel Mwanengo ndie Striker Kinara kwasasa.
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania AFCON N AI CUP MSIUMIZE WACHEZAJI NA HAYA MASHINDANO

    HILI KOMBE HALINA TOFAUTI NA AI CUP YAAN USHAURI TUSIUMIZE WACHEZAJI WETU NA KOMBE KAMA HILI AMBALO LINAAMULIWA OFISIN NA CAF ALL D BEST
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa mwaka mmoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League

    Klabu ya Chelsea yafungiwa kusajili wachezaji kwa kipindi cha mwaka mmoja, pamoja na kutozwa faini ya Pauni milioni 10.75 na Premier League kufuatia ukiukwaji wa kanuni za kifedha uliotokea wakati klabu hiyo ikiwa chini ya umiliki wa Roman Abramovich. Adhabu hiyo pia inajumuisha marufuku ya...
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa nini CAF haiwazuii mashabiki wa timu za Africa kaskazini kumulika wachezaji kwa lasers?

    Huu ujinga ni aibu sana kwa watu waliostaarabika. Wanawaogopa au ni nini?
  10. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Senegal: Serikali yawatunuku vyeo vya juu Kocha na wachezaji wa timu ya Taifa

    Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye amemtunuku Kocha Mkuu wa timu ya taifa, Pape Thiaw pamoja na wachezaji wa ‘Simba wa Teranga’ kwa kuwapa hadhi ya ‘Commander of the National Order of the Lion’, heshima ya juu ya kitaifa inayotolewa kwa watu waliotoa mchango mkubwa kwa taifa lao. Tuzo hiyo...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sishangai mzungu kuita afrika "bara la giza", ni 2026 lakini waafrika wanafanyiana unyama utafikiri sokwe porini, poleni sana wachezaji wa senegal

    Picha linaanza pale tu wametua airport wananchi wakajazana kuwatishis na kuwaita maneno ya kibaguzi
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wawili wa Guinea wafungiwa kushiriki AFCON kwa kumtukana mwamuzi

    Wachezaji wawili wa Equatorial Guinea wamefungiwa kwa kuwatusi waamuzi katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), huku nahodha wa Burkina Faso, Bertrand Traore, akitozwa faini kutokana na kauli zake baada ya mechi, mashirikisho ya soka ya nchi husika yalisema Jumatano. Nahodha wa...
  13. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Uganda kuwapa uraia wachezaji toka nchi nyingine imewalipa

    Uganda wamewabadilisha uraia wachezaji 2 mmoja toka ghana na mmoja toka nigeria,na imewalipa kwani goli la kusawazisha kafunga mnigeria ikpeazu, aliyepewa uraia wa uganda.Nasi tuige hiyo mbinu
  14. ngara23

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa Taifa stars ni kama hawana lishe na walegevu mno

    Binafsi ni mpenzi wa football Jana nimefuatilia mechi ya Stars na Nigeria Ilikuwa kama mashindano ya shule Kwamba ni mechi ya Form 1 vs Form 6 Nimeona Taifa stars wana vipaji ila ni kama hawana lishe yaani mbegu mbaya Nadhani serikali iangazie lishe za watoto wakiwa wadogo ili kujenga miili...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wachezaji Wa Simba Jonathan Sowah Na Allasane Kante Wafungiwa Mechi 5 Na Faini Ya Million 1 Kila Mmoja

    Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=) Sowah na Alassane walifanya vitendo vya utovu wa nidhamu dhidi ya Azam FC. Nae Kiungo Khalid Aucho...
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Matola Aliwaambia wachezaji ukiona goli we piga tu. Au chenga wote kafunge. Hakuwa na plan yoyote ya attacking

    Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool. Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool. Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
  17. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaocheza Ulaya wanacheza kwa tahadhari kubwa ili kulinda namba zao huko, waacheni wapige maokoto, kuwaita taifa stars ni kuwasumbua

    Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini. Kijana wa kitanania kapambana sana hadi katoboa kufika Ulaya halafu umwite Taifa Stars ? hauwezi kuwa serious utegemee...
Back
Top Bottom