wachezaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania Yanga wakubali mchezaji wao wa Yanga Princess Jeanine MUkandayisenga kupima, waweka sharti kuwa wachezaji wa Simba na JKT Queens kupima jinsia

    Yanga wameiandikia TFF barua kuwa wako tayari mchezaji wao wa timu ya wanawake, Jeanine MUkandayisenga kupima na kuuthibitisha jinsia yake kama TFF walivotaka TFF waliwaandikia barua Yanga kuwa timu za wanawake za Simba na JKT wamelalamika kuhusu utata wa jinsia ya Jeanine MUkandayisenga na...
  2. Think2

    JamiiForums Tanzania Hawa ni baadhi tu ya wachezaji ambao walirithi vipaji kutoka kwa wazazi wao

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya wachezaji wa soka maarufu ambao wamewarithi vipaji vyao kutoka kwa wazazi wao: 1. Baba: Wilfried Mbappé, alikuwa mchezaji wa soka na pia alikuwa kocha wa vijana. Mama: Fayza Lamari, alikuwa mchezaji wa mpira wa mikono (handball). Kylian Mbappé ameonyesha talanta...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wanaocheza Ulaya wanacheza kwa tahadhari kubwa ili kulinda namba zao huko, waacheni wapige maokoto, kuwaita taifa stars ni kuwasumbua

    Sio kwamba wanacheza chini ya kiwango, uwezo wanao lakini malengo yao yapo kwenye kulinda namba zao timu zao za ulaya, huko ndiko yaliko maisha yao waliyoyawekea matumaini. Kijana wa kitanania kapambana sana hadi katoboa kufika Ulaya halafu umwite Taifa Stars ? hauwezi kuwa serious utegemee...
  4. Think2

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wasio na timu world wide

    🚨Wachezaji ambao hawana timu: 🇲🇦 Hakim Ziyech 🇩🇰 Christian Eriksen 🇯🇵 Takehiro Tomiyasu 🇨🇲 Karl Toko Ekambi 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Dele Alli Alex Oxlade-Chamberlain Patrick Bamford 🇫🇷 Wissam Ben Yedder 🇫🇷 Samuel Umtiti 🇫🇷 Ferland Mendy 🇫🇷Layvin Kurzawa 🇫🇷Kurt Zouma 🇫🇷Jordan Amavi 🇫🇷 Tiémoué Bakayoko 🇪🇸 Sergio...
  5. Think2

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kiafrika ambao wanacheza kwenye ligi kuu ya England 2025/26

    🏟️ Aston Villa 🇨🇮 Evann Guessand 🏟️ Bournemouth 🇲🇦 Amine Adli 🇬🇭 Antoine Semenyo 🏟️ Brentford 🇳🇬 Frank Onyeka 🇧🇫 Dango Ouattara 🏟️ Brighton and Hove Albion 🇬🇲 Yankuba Minteh 🇨🇲 Carlos Baleba 🏟️ Burnley 🇿🇦 Lyle Foster 🇹🇳 Hannibal Mejbri Crystal Palace 🇸🇳 Ismaïla Sarr 🇲🇱 Cheick Doucouré 🇲🇦...
  6. Pdidy

    JamiiForums Tanzania KAMA MANGUNGU ANASEMA VIONGOZI HAWAHUSIKI KUVUJA JEZI BASI WACHEZAJI.. 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 watajeni

    Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba swali la 1 Unasema kama kuna uvujaji...
  7. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Kuna timu imetoka pre season wachezaji wana vitambi

    Wakati wengine wakiendelea kujiimarisha na kujiweka sawa kuukabili msimu ujao, Kuna timu ilienda kuweka kambi hotelini na kujikita katika zoezi la swimming, huku wakicheza na timu za bodaboda wa kiarabu. Msimu ukianza tusisikie 'GSM ANAHARIBU LIGI' TUTAKUWEPO
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania JKT WANATAKA HELA ZAO HUKO NA WACHEZAJI MLIOWAAHIDI..HAHAHAA WATANI BANA

    WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA SIMBA VINGINEVYO WATAKUWA WAMEVUNJA MKATABA. NA PESA WALIZOTOA ADV HAZITORUDI KIDUMU CHAMA CHETU
  9. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hivi wachezaji hawaogopi kulogwa kubadilishana badilishana jezi ambazo tayari mtu umeshazivaa?

    Miongoni mwa vitu ninavyovishangaa ni hiki kitendo cha kukubali mchezaji kugawa jezi yako yenye jasho lako kwa mchezaji mwenzako kwa kigezo tu cha kukubali uwezo wako. Kiuhalisia miongoni mwa silaha kubwa mtu akitaka akumalize kabisa (akuroge) kiurahisi basi akipata nguo ambazo umeshazivaa...
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa wachezaji wote wa Yanga, timu ya taifa inapwaya

    Lakini ukiondoa wale wa upande wapili timu inaendelea kukiwasha.
  11. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Chumba cha kubadilishia nguo ni special kwa wachezaji na benchi la ufundi siyo jukwaa la kisiasa

    Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko. Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars Hemed Morocco iwe mwanzo na mwisho Kujaribisha Wachezaji kama PIPINO JR katika Mechi muhimu na za Maamuzi

    Mimi GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE na huu Uzee wangu wote nikipasha kisawasawa kwa Wiki Mbili tu ukinipambanisha na huyu Mchezaji PIPINO JR aliyeniboa sana Juzi namchukulia namba na bado nazima viuri sana Dimba la Juu. Mpaka mnaona tunachambua Mpira na hadu kuwa Washindi wa Jukwaa la Michezo hapa...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Soka letu lina uhaba sana wa wachezaji wa kiarabu je shida ni nini?

    Nimekua nikitamani sana kuona wachezaji wenye asiri ya kiarabu katika nchi yetu bila mafanikio sijui kuna tatizo gani, kuna wakati simba walijaribu kidogo kwa golikipa ayoub na sijaona muendelezo wake, Je hii ni kutokana na mazingira ya hali ya hewa, uchumi kuwa mdogo kwa vilabu vyetu hivi vya...
  14. kavulata

    JamiiForums Tanzania Timu zisajili na mazingira ya wachezaji sio wachezaji peke yao.

    Timu nyingi zinasajiri wachezaji kwa kuangali performances zao viwanjani, na hapo ndio neno la usajiri ni kamari linapoanzia. Timu inayofanikiwa kwenye usajili ni ile inayozingatia uwezo wa mchezaji pamoja na mazingira (supporting background) yake yaliyomsaidia kuonyesha uwezo wake...
  15. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Wachezaji ambao ukiwataja lazma utamke majina yao mawili

    Mimi naanza na Sergio Ramos
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wetu kucheza ligi moja na Pacome, Mpanzu, Diara ni bahati kwao, tumieni ujuzi wao kushinda CHAN.

    Kuna uzoefu ambao wachezaji wetu wa ndani wangeweza kukutana nao kwa timu zetu kualika timu za kigeni au kushiriki mashindano ya CAF, lakini wachezaji wetu waishukuru TFF kuruhusu na timu zetu kusajili wachezaji wenye viwango vikubwa sana kama Pacome, Mpanzu, Diara, Camara, Aziz Ki, Sowah...
  18. Inside10

    JamiiForums Tanzania Je, unazijua vest wanazovaa wachezaji kwa ndani?!

    JE UNAIJUA HII VEST YA CATAPULT? -Kuna vest flani hivi wachezaji wamekua wakizivaa wawapo uwanjani au mazoezini, watu wengi wamekua wakitamani kujua zile ni vest za kazi gani au kwanini huwa zinavaliwa. majibu ni haya hapa. - Zile vest kitaalamu zinaitwa GPS VESTS. Lakini mara nyingi kifuani...
  19. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Yanga ni Tasaf au NSSF kwa wachezaji wa Simba?

    Ujana unaliwa Simba uzee unaliwa Yanga kuvuta penshen Hii ni Tasaf au NSSF?
Back
Top Bottom