wachache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda, hivi Rais Samia anajua hizi shule zinazofunguliwa hazina walimu na wanagawana walewale wachache?

    Kabla ya kuongezwa madarasa, yale ya covid 19 n.k, tayari kulikuwa na upungufu mkubwa. Wastani wa hadi walimu 8 kwa shule (wastani wa chini). LEO, kuna wimbi kubwa la ujenzi wa mashule. Kuna halmashauri zina jumla ya shule hadi nane (primary na sekondari) zikiwa zimeshapata usajili na...
  3. JamiiForums Tanzania Kama vile Tanzania ni asali na maziwa ya watu wale wale wachache sana kwenye watu milioni 62!

    People milioni 62 na ushee lakini mmmmhhhh wakulaji ni very small cycle. Competence wala sio ishu kubwa kwenye hii nchi. Kikubwa zaidi ni kuwa karibu na hiyo cycle nothing more nothing less. Lakini truth be told....tatizo sio wakulaji bali tatizo ni wananchi wenyewe. Wameshapigwa ki ufasaha...
  4. JamiiForums Tanzania Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

    Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka. Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mafundi wa Namna hii Wanapatikana Wapi?

    Mwamba anashuka jiko kwa mikono yake bila tool yoyote 😂😂😂
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivyo ndivyo pengo la wakenya wachache wenye ardhi na wakenya wengi wasio na ardhi lilivyozaliwa

    Samahani huwa sipendi kutafasri maana huwa napoteza maana. --- Secret land deal that made Kenyatta first president Fresh evidence pieced together by the Sunday Nation confirms widespread speculation that Kenya’s first president Jomo Kenyatta entered a secret pact with the British government not...
  7. JamiiForums Tanzania Fursa ya kilimo Mbeya watu wachache sana wanahitajika

    Wakuu salamu, Ninakifahamu kijiji kipo mbeya. Eneo linajoto maana ni karibu na kyela. Ardhi nzuri Kwa kila zao unalo lijua kama ufuta, Karanga, mpunga , mahindi, ndizi na kila zao unalo lijua. Changamoto: Kijiji kinabarabara mbovu ajabu! Kiasi kwamba kimeachwa kama kisiwa na kina changamoto...
  8. JamiiForums Tanzania Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

    Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi. Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani...
  9. JamiiForums Tanzania Taifa linafanyiwa ubadhirifu na wahuni wachache halafu mnabaki kumletea lawama Waziri Majaliwa kisa tu ajali ya ndege Bukoba

    Leo hii mgao wa umeme umekuwa kero kwa taifa letu kiasi cha kuporomosha uchumi wa wananchi lakini mnachukulia poa. Hiyo kampuni ya Mahindra group iliposaini mkataba wa bil 78 kuiboresha TANESCO mbona haijaboresha? Bunge linapitisha kuwa serikali ikope tril 10. Halafu zinakopwa tril 15 bila...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani

    https://twitter.com/share?text=‘Nchi yetu ina uhuru, uhuru wa wachache’: Mazungumzo na wavujajasho wa Manzese na Jangwani&url=https://udadisi.com/nchi-yetu-ina-uhuru-uhuru-wa-wachache-mazungumzo-na-wavujajasho-wa-manzese-na-jangwani/ “Nchi yetu hii sisi ina uhuru. Sasa mbona ina uhuru wa watu...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la Law School of Tanzania limeletwa kimkakati wa watu wachache

    Either wakufunzi kutafuta kujulikana ama kuundwa kwa schools nyingi kuwapa ulaji watu wa system.Haiwezekani kamati ya matokeo ikae iamue kabisa kutoa matokeo mabovu kiasi hiki.
  12. JamiiForums Tanzania Sera/sheria ya corporate social responsibility [CSR] jinsi inavyonufaisha wachache Tanzania

    SALAM, Awali BANDIKO hili nililiandaa kwa ajili ya stories of change hata hivyo kutokana na kukosa muda nikajikuta tarehe ya mwisho ya kupokea maandiko imeshapita!!! Sasa naomba kulileta kwenu kama forum ya elimu (kujifunza) na kujadiliana na kuona namna bora ya utekelezaji wa hili kama nchi...
  13. JamiiForums Tanzania Nina uhakika ni wana EAC wachache sana tuliyemuelewa Jana 'Genius' Rais Museveni wa Uganda

    "Tujikite kwanza katika kujua tujikite na Policy of Prosperity au ile Policy of Interest au twende nazo zote kwa pamoja ili Kuwasaidia Watu Wetu" "Bila ya kuwa na Mikakati thabiti ya kuhakikisha tunaimarisha Kwanza Regional Marketing na kusisitiza Economic Integration kwa Ukanda wetu bado...
  14. JamiiForums Tanzania Ushawahi kujiuliza kwanini wanawake matajiri ni wachache sana duniani?

    Sasa acha nikusanue leo hii ukitazama orodha ya watu matajiri zaidi duniani basi kwenye top 20 yao. Utakutana na wanawake watatu na wanaume 17. ✓ Wanawake ao ni Bi Francoise Bettencourt ambae yupo nafasi ya 14. Ni mfaransa mrithi wa kampuni ya vipodozi ya L'Oréal ambaye anamiliki 33% ya...
  15. JamiiForums Tanzania Mafanikio hayapo kwa kila mmoja, ni wachache tu waliopitiwa na bahati

    Definition ya mafanikio ni kubwa sana, inategemea na mtu anaonaje mafanikio lakini uhalisia unabaki kuwa mafanikio ni pesa/umiliki wa mali. Nimekaa sehemu nikaona vijana wanatembeza muha wanakata vipande 100/200 nikaingia kwenye tafakuri nzito kidogo. Muhubiri 9:11 Nikarudi nikaona chini ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mje hapa wale wazee wa watoto wachache

  17. JamiiForums Tanzania Mfumo unatulazimisha kusomesha watoto shule binafsi au ni ujinga tu wa watu wachache kukwamisha shule za Serikali?

    Najiuliza maswali mengi kuhusu elimu yetu hapa Bongo, ni kwamba system inatulazimisha tusomeshe watoto wetu shule binafsi au ni upuuzi tu wa watu wachache kuna mambo yananishangaza sana kuhusiana na hizi shule za Serikali. (1) Hivi kama tunalipa tozo kwenye simu hadi umeme serikali inachukua...
  18. JamiiForums Tanzania Tukubali mvinyo kwa wachache au maji kwa wengi?

    TUKUBALI MVINYO KWA WACHACHE AU MAJI KWA WENGI!? Leo 14:40hrs 20/08/2022 Wanachama wenzangu wa CCM na wadogo zangu wa Uvccm tukiwa busy kupongeza muda wote kwa kufanya matukio ya hamasa huku mitaani kuna kizazi kilichopevuka kinachohoji mambo ya msingi ambayo sisi hatuyaoni au tunayaletea...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  20. JamiiForums Tanzania Nini kinawafanya kuridhika na kukubali rasilimali za taifa lao kutafunwa na kundi la watu wachache? Kwanini wanakuwa wapole huku wakikamuliwa?

    Hili suala huwa linashangaza sana maana ni jambo ambalo linashanhaza sana. Mikataba tata inasainiwa. Ufisadi unafanyika na mali za umma zinakwapuliwa lakini watu wanachukulia easy tu. Wanaowaibia watanzania wanapata kiburi na dharu kuwa watanzania ni mabwege na watu wa kupigwa tu. Epa, Kagoda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…