Ziara ya Tundu Lissu huko Ulaya inafaida kwake na kikundi cha watu wachache na si kwa Watanzania

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,020
2,728
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.
 
Pambania maisha yako mkuu, kila mtu anapambania maisha yake. Kama unataka ziara za Lissu huko Ulaya ziwe na tija kwenye maisha yako,pole sana.

Kama unadhani kuna mtu anadhamira njema kwa taifa lako dhidi ya maslahi yake kwanza basi unajidanganya sana.
 
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake

Anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na kazula mimba tunatoleana macho.

Niko hapa Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu.

Amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi
Maisha yameshakushinda unataka kazi za Lissu zikulipie kodi ya hako kachumba kako ka uwani ulikopanga?
 
Baada ya kuchezea makumi ya risasi akipigania watu wasiojielewa, sitashangaa kama falsafa yake ya sasa ni hii . Kila mtu ashinde mechi zake mkuu....
Screenshot_20221128-121816.jpg
 
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.
ccm na wafuas wao yamekuwa mazezeta na bado 2025 ndo mtaokota makopo maana insanity mliyonayo haijawakolea by the way endelea kumsifia mamayenu kwa ujinga wenu mlichobakisha ni kugombania hela za rushwa kama hawa wapuuz wa uvccm hapa chini
 
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.
Wewe unayefaidika na ziara za mama Samia unapiga kelele za nini? Achana nazo hazikuhusu.
 
Kapigwe risasi na wewe ili ukaishi ulaya ,,,,,

Hakuna uchunguzi wowote uliofanyika, ama kiongozi mkubwa kitaifa aliejitokeza hadharani kuongelea Lile tukio na uchunguzi kwa ujumla ,,,,

Sana Sana zile camera zilitolewa fasta kwenye jengo ili kuuwa ushahidi!

Unamuambiaje mtu Kama huyo (Lissu) aendelee kuishi nchini ? Usalama wake ukoje ? Ana watu wengi wanaomtizama na wanamtegemea, akifa leo wewe utabeba Hilo jukumu ?

Besides yeye na mkewe wote wasomi, hata akibeba box huko ulaya watatoboa tu fresh !!!

Sisi tuliopo namtumbi, nawenge, igeta, nturumbwi, keryo, n.k tutulie, hii movie wakubwa wanaijua vyema ndio maana wamekaa kimya !
 
ccm na wafuas wao yamekuwa mazezeta yakisikia neno lissu yanatoa mavi na bado 2025 ndo mtaokota makopo maana insanity mliyonayo haijawakolea by the way endelea kumsifia mamayenu kwa ujinga wenu mlichobakisha ni kugombania hela za rushwa kama hawa wapuuz wa uvccm hapa chini
Hiki chama kina vijna wa hovyo sana
 
Watanzania tumefanya Nini juu yake baada ya kupigwa risasi zote zile!!, Unataka ufaidike na safari au ziara za mtu ambaye umemtelekeza baada ya kupigwa risasi?.
Watanzania tulifanya nini baada ya Magufuli na genge lake kumnyima stahiki zake za matibabu na posho zake?. Unashindwa kuhangaika na CCM iliyoiingiza Nchi kwenye mikopo ya hovyo unakuja kumlalamikia mtu anayepigania wapuuzi kama Wtz!!. Pumbafu kabisa
 
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.

Sio fan of tundulisu, lakini umesoma ulicho andika? Nothing but malalamiko binafsi
 
Kwa faida ya m
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.
Ni kwa faida yake na familia yake nawe upambane kwa ajili ya familia yako acha kulalamika mkuu.
 
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.
Uko sahihi,ingwawa mapovu ya humu ni matokeo ya ujinga wa wafuasi wa upinzani.
 
Mlitaka kumuua kwa kumshambulia kwa risasi zaidi ya kumi na tano hivi ni kweli serikali yote na chama cha mapinduzi hakuna mtu wa kujibu hoja za Tundu Lissu sasa baada ya kumjeruhi naona mna hamu naye tena, aisee jipangeni tu kujibu hoja maana kwa risasi mmefeli ameweka kambi hapo Ulaya jipangeni vizuri baadaye atakuja kuwakabili wezi na wanyang'anyi wa mali za umma.
 
Kwa sasa sioni kitu kipya kutoka kwake, anaishi Ulaya hataki kurudi nyumbani, anasubiri tu uchaguzi ukifika ndiyo aje kutafuta hela na kuhamasisha vijana kufanya vurugu. Wengine wanapata vilema na kuozea jela baada ya uchaguzi.

Yeye anatafuna kashata Ubelgiji watoto wake wakiwa Marekani wanakula bata, mimi na wewe kutoka huko Mgeta Nanyumbu na Kazula Mimba tunatoleana macho.

Niko hapa, Lissu hana dhamira yeyote njema na nchi yetu, amejificha mbali anasubili madili ya uchaguzi.
Kwani yeye ni rais au waziri afanye ziara kwa faida ya watanzania?
 
Anakawinda ka upendo peneza, Sasa na vile vyuma sijui kama ataweza kulicheza twanga la kupepeta
 
Back
Top Bottom