wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wa CCM ambao wanatakiwa kuaga Majimbo yao na kujihusisha na ufugaji wa kuku 2025-2030

    1. Askofu Josephat Gwajima- Kawe 2. Luhaga Mpina- Kisesa 3. Mrisho Gambo- Arusha Mjini 4. Prof. Ndakidemi- Moshi Vijijini 5. Dr Charles Kimei - Vunjo 6. Mwita waitara - Tarime Vijijini 7. Priscus Tarimo - Moshi Mjini 8. Godwin Mollel - Siha 9. January Makamba - Bumbuli
  2. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge Wameamka, Miaka yote Mitano walikuwa wapi?

    Wakuu, Katika kipindi cha wiki moja tu, mbunge mmoja ambaye kwa muda wa miaka mitano alikuwa kimya na asiyeonekana mara kwa mara katika shughuli za maendeleo, sasa ameibuka kwa kasi ya ajabu. Swali la msingi ambalo linaibuka kwa wananchi ni hili: Mbunge huyu alikuwa wapi kwa miaka yote mitano...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwanafunzi UDSM: Wabunge wanawaza kurudi 2030 sio kujenga taifa

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Angasi Robert Okechi, amesema kuwa katika nchi zilizoendelea, Bunge ni mahali pa watu wenye upeo mkubwa wa fikra na maarifa, ambapo wabunge hukutana kuandaa mipango mikakati ya maendeleo ya muda mrefu kwa manufaa ya taifa. Akizungumza leo Juni...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hata kama Tusiruhusu Wapite wabunge wa ndio Tuu!

    Habari Wana JF,Nimekuwa na Akili ya kujitambua tangu nikiwa na miaka15 hasa yanayohusu nchi na Wananchi. Mwaka 1985 Kulikuwa na chama kimoja tuu kwenye uchaguzi,Nakumbuka wabunge walikuwa wanaombea wawili kwenye chama kimoja! Mmoja alitumia Alama ya Jembe, mwingine Alama ya nyundo,Na kumwaga...
  6. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawe & Kisesa kupata wabunge wapya 2025-2030?

    Kwa kauli za Mwenyekiti ni kama KAWE na KISESA sasa inabid watafute wabunge wapya 2025-2030. Mpira upo kwa Wajumbe sasa
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wa uchumi wakosoa vikali pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki, wataka wabunge wamshauri Waziri Mwigulu arekebishe

    Wakuu, Mara baada ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali bungeni mwaka wa fedha 2025/26 kumekuwa na maoni ya wadau mbalimbali kuhusu pendekezo la kutoza ushuru wa 10% kwenye mapato yaliyobaki (retained earnings) ambapo wataalamu wa masuala ya uchumi wanaonesha kuwa na wasisi dhidi ya pendekezo...
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge wote wa Covid 19 wamekata tamaa ya kuweza kurejea tena bungeni. Wana sonona (Depression)?

    Kila zama na kitabu chake, na kondomu ilitengenezwa ili iweze kutumika mara moja tu na baada ya hapo kutupwa mbali kama uchafu hatarishi. Huenda hichi ndio kinaendelea vichwani mwa wabunge wa Covid 19. Haijarishi watakuwa na hoja gani au watakimbilia chama gani, hakuna dalili yoyote kwa mbunge...
  9. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wetu: Wabaki Kupongeza Ufisadi Badala ya Kuutokomeza? Ni Wakati wa Kutumia Elimu Kama Kigezo Cha Uongozi!

    Ni jambo la aibu na fedheha kubwa kwa taifa kwamba kiwango cha parliamentary competence kimeporomoka kiasi cha kushangaza. Tunaona wabunge wetu wakibakia tu clapping hands na kugonga meza kama watoto waliokosa malezi, bila kuelewa kabisa the gravity of issues zinazowasilishwa mbele yao. Imagine...
  10. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  11. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Hawa ndo wabunge wetu wanaojadili bajeti ya taifa 2025/2026

    Wasalaam Watanganyika tunapodai katiba mpya tunaebuisha hii aibu isiendelee kulikumba taifa. Angalau mtanganyika anaegombea ubunge awe na degree moja na sio sifa ya kujua kusoma na kuandika. Hao ndo wabunge wetu wanaojadili bajati ya serikali 2025/2026, unategemea nn? Ndo maana wengine...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Dar ilipaswa kuwa jiji linalotoa Wabunge vichwa sana ila hali ni tofauti na Majiji mengine ilimwenguni

    Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote. Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
  13. Patriot

    JamiiForums Tanzania Bunge letu ni kama Mbunga ya wanyama. Waliomba saluti, wakaomba hadhi ya VIP kwa wenza wao, sasa namba za magari

    Ndani ya mbuga ya wanyama, kila mtu ana ombi la kumfanya aishi bila kujali mwenzake. Hawa wabunge waliwahi kuomba wapigiwe saluti, ikashindikana. Karibuni kuna mbunge aliomba wenza wao pia wapewe hadhi ya VIP, ikapita kimya. Sasa kuna mwingine ameomba namba pekee za magari kwa wabunge. Soma...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapo Mjengoni Kutatua Shida Zao au za Wananchi?

    Wakuu, Nakubaliana na hii hoja ya Oscar Oscar Ni kweli kabisa kwamba mijadala ya Bunge letu mara nyingi huibua maswali kuhusu vipaumbele vya Waheshimiwa Wabunge. Lengo kuu la mbunge linapaswa kuwa kutimiza ahadi alizotoa kwa wapiga kura wake na kuwakilisha sauti zao, siyo kutafuta fursa za...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Musukuma ataka Wabunge wapite maeneo ya VIP na wenza wao

    Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, ameibua hoja bungeni akilalamikia mazingira yasiyo rafiki kwa viongozi na familia zao wanapopita katika maeneo mbalimbali ya VIP. Akizungumza bungeni, Musukuma amesema: "Sisi humu ndani sio Wahuni ni Waheshimiwa tuna familia....Mhe. Spika sisi tumepewa...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bulaya adai ripoti ya Machi 8 ya Simba na Yanga bungeni

    Mbunge wa viti maalumu, Ester Bulaya ameibuka bungeni na kuuliza swali la kutaka kujua ni nini kilitokea hadi kuahirishwa kwa mechi ya dabi kati ya Simba na Yanga iliyotakiwa kuchezwa Machi 8, 2025 ambapo ameomba kupatiwa majibu. Baada ya kuuliza swali hilo, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
  18. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi wa wabunge nchini Burundi

    Kesho tarehe 6 Juni, 2025, ni siku ambayo nchi ya Burundi itakuwa na uchaguzi wa wabunge nchi nzima. Burundi, mojawapo wa nchi za jumuia ya Africa Mashariki, kwa miaka mingi, ilikumbwa na ghasia ya vita vya ukabila, ambapo wahutu na watutsi, haziivi mpaka sasa. Makabila haya, mwanzo hayakuwa...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kuwapigia kura wabunge ikiwa kila kitu katika Jimbo husika kafanya Mama?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Wimbo huimbwao na Wabunge UBETI 🎼 🎶Mama hatukudai Mama huna deni Mama Mitano tena Shule ya Mama Vyoo vya Mama Maji ya mama Bodaboda wa Mama Ndizi za mama Matunda ya Mama Papuchi za Mama Mijurubenge ya mama Barabara za Mama Mimba za mama Mbususu za...
  20. Mfikirishi

    JamiiForums Tanzania Kama wana uchungu na Wananchi kwanini Wabunge wasipunguze mishahara yao

    Mambo ya ajabu sana yanayotokana na upofu wa viongozi. Kama hao wabunge wana uchungu sana na afya za wananchi ni kwa nini wasiridhie kutozwa hata 2% kwenye mishahara yao na kiinua mgongo kwa ajili ya kutunisha mfuko wa Bima ya Afya? Wananchi amkeni... Utapeli mwingine kama huu ukataliwe na...
Back
Top Bottom