wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mke wa Prof. Janabi alivyosimamishwa Wabunge wamuone

    Wabunge wameibua shangwe baada ya kutambulishwa kwa Profesa Mohamed Janabi, Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, pamoja na Dk Magdalena Lyimo, mjane wa Dk Faustine Ndugulile. Tukio hilo limefanyika leo Juni 2, 2025, wakati wa kikao cha Bunge jijini Dodoma, wakati Waziri...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Kilimanjaro ndio Mkoa pekee ambao Wabunge wake Elimu ya chini Wana shahada/degree. Bila Degree Sahau kuhusu Ubunge huko Kilimanjaro

    Habari za Asubuhi! Kule Kwetu Kilimanjaro, Moja ya Mambo muhimu wananchi wanayazingatia kumpa Mtu Ubunge ni Elimu yake. Unajua Kilimanjaro mtu anaheshimiwa kwa mambo makuu yafuatayo; 1. Pesa 2. Elimu 3. Familia. Wananchi wa Kilimanjaro hata wale wajinga kabisa ambao hawakusoma hata darasa...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Katika mataifa yenye maadili suala la utata wa elimu za wabunge wengi ni skendo kubwa ya kutikisa nchi

    Huko kwenye nchi za ulimwengu wa kwanza kiongozi au mwanasiasa kudanganya au kuandika taarifa za kubumba katika CV yako hasa suala la elimu ikugundilika ni suala linaloweza kupelekea hata kupoteza nafasi yako ya uongozi. Hili ni suala ambalo utakuta linajadiliwa hadi katika vyombo vikubwa vya...
  4. Tabutupu

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania kuondoa CV za wabunge kuogopa Gen Z wa Kenya ni utoto

    Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Spika Tulia: Wabunge wamempa Rais Samia tuzo kwa niaba ya wananchi

    Wakuu Huku tuzo inatolewa kwa Rais Samia kwa niaba ya wananchi. wakuu mnaitambua tuzo hii? "Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo linakutunukia tuzo kwa kutambua mchango mkubwa ambao umeutoa kuhakikisha Tanzania inashiriki kwa ujumla wake katika kuleta maendeleo duniani" "Wabunge hawa...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi kuutokea kijiwe cha Mwembe Yanga walalama 'Tuna matatizo mengi, wabunge wapo kimya, wabunge wa sasa wote waondoke'

    Wakuu Kutokea kijiwe cha Mwembe Yanga, Temeke - Dar es Salaam :- BanduBaba mdau kutokea kijiwe cha Mwenye Yanga akitoa mazito kuhusu viongozi walivyo sahau changamoto za wananchi
  7. T

    JamiiForums Tanzania Tazama list ya wabunge wa Kenya na elimu zao, utaona aibu kuwa Mtanzania

    Wandugu Katika pitapita zangu, nimekutana na list ya wabunge wa Kenya, ambayo pia inaonyesha taarifa zao kama elimu nk, aisee nimeona aibu kenge Nahisi ni sawa kabisa Tulia kuondoa page ya list ya tunaowaita wabunge wa Tanzania, wale wanaotuita Kenge kwa website ya Bunge maana ni aibu sana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale vijana wa UVCCM waliosema wapo wabunge wanaosema afadhali Magufuli kuliko huyu walitaka kumanisha nini?

    Nimeona clip ndogo ya vijana waliokata tamaa wa UVCCM mkoa wa Dar es salaam wakijaribu kuwajibu watu wanaomkosoa mpendwa wao , lakini wakiwa wanajibu wao wanakiri kuwa wabunge baadhi. Wakiwa sirini huko husema Bora alivyokuwa Magufuli kuliko huyu Ile kauli ili lenga kumanisha nini
  9. N

    JamiiForums Tanzania Nimeona wabunge wanalalamikia shule zao kutokuwa na walimu wa kike, mbona huku Arusha ni wengi sana kuna shule ina mwl moja tu wa kiume

    Nimesikiliza wabunge wakilalamikia shule zilizo ktk majimbo yao kutokuwa na walimu wa kike wa kutosha, kwanza wanawatakia nini? Pili mbona huku Arusha hasa wilaya za Arumeru na Arusha walimu wa kike ni wengi sana kiasi kwamba kuna shule kwa mfano shule ya Sekondari Kaloleni iliyo ktk jiji la...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dr Tulia kuwa wabunge walipochangia mtafaruku wa Tanzania na Kenya walikiuka maadili na kanuni za Bunge umeonyesha Naibu Spika hafai kabisa!

    Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni. Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
  12. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Nipashe wamechapisha taarifa kuwa 'Halima Mdee kuwaongoza wabunge 19 wa CHADEMA kuhamia CHAUMMA'

  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wamesahau Kazi za Muhimili Wao, Wamebaki Kusifia Muhimili Mwingine

    Namkumbuka Mwalimu wangu wa Somo la Uraia (Civics) mpaka pengine nawaza uenda hawa wabunge wetu hawakusoma somo hili la lazima na la muhimu sana kwenye mitaala ya Elimu. Wabunge wengi ni kama wamesahau kwamba wao wako Bungeni kutetea Raia wao na kuwasemea matatizo yao hili Mahakama na Serikali...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge waelewe Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania

    Wakati Watanzania sio wawekezaji wakubwa Kenya . Wakenya ndiyo wawekezaji wakubwa Tanzania na wanunuzi wakubwa na nafaka zetu za kilimo. Cha ajabu wabunge badala ya kuweka nchi mbele wanajiingiza kwenye kiki na uchawa ambao hauna msingi. Wamesahau kabisa ni sawa na kuanza kumtukana mteja wako...
  15. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama wabunge wangekuwa Elite wasingejibishana na Gen Z wa Kenya. Lakini wameonyesha ni daraja Moja. Mtu timamu hawezi kuwajibu na Gen Z wakenya

    Mpo salama! Mbunge mzima, yupo bungeni, anatumia muda wa bunge na watanzania kujibishana na Gen Z ya Kenya. Kweli! Ni ukosefu wa mambo ya kujadili au ni nini? Ni kuongozwa na mihemko au ni kitu gani? Yaani mtu mzima na akili zake asumbuliwe na Gen Z wa Kenya kweli? Nimesikitika Sana...
  16. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
  17. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Tunaelekea wapi kama Taifa? Ni nini hatma ya Tanzania na raia wake katika Utawala wa Samia?

    Wakuu, Inauma sana nimesikiliza jinsi viongozi wetu tuliowatuma (ingawa wengi hawakuchaguliwa kwa kura) kuwakilisha wananchi wanavyoongea kujibu hoja ya Gwajima. Wamepotea watu wengi, wameuwawa watu wengi, wametekwa watu wengi hao wote wana wazazi, wana ndugu na wana familia pia lakini hakuna...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wabunge wanamchimbia Rais Samia shimo!!

    Uwekezaji na misaada tuliyopata hivi miaka ya karibuni ikiwa pamoja wa watalii kuongezeka ni kwasababu Raisi Samia alifanya mabadiliko na mwamko 2021-2022. Haya mabadiliko yalitoa mwanga wa siasa mpya na mazingira mazuri ya uwekezaji Sasa badala ya kuendeleza mazuri kuanzia 2023 Raisi Samia na...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Majibu yetu Watanzania kwa Wabunge wa Mchongo na Kujikombakomba: Kila Mtu ashinde Mechi zake

    Tunatekwa mpo kimya, Tunapotezwa mpo kimya, Wanatukamata kutulawiti na kutubaka Mpo kimya, Wenye mawazo mbadala wanafunguliwa kesi za kupika ili kuwakomoa mpo kimya. Unafanyika Ufisadi wa Kutisha pesa za Watanzania masikini zinaibwa na kuwanufaisha kikundi cha watu wachache huku Watanzania...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Bunge la JMT lina hata alau Wabunge 5?

    Bila kujali kama waliingia kwa mlango wa mbele au waliingizwa kupitia mlango wa nyuma, bunge lina Wabunge alau hata 5? Nimejaribu kuwahesabu bila mafanikio. Nimepata kama watatu tu: 1. Jumanne Kishimba! 2. Josephath Gwajima! 3. Luhaga Mpina! Hao tu ndiyo Wabunge waliopo kwa sasa bungeni?
Back
Top Bottom