johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Mpaka sasa wabunge wawili wa CHADEMA Anthony Komu na Joseph Selasini wote kutoka Kilimanjaro wameshatangaza kutoiamini tena Itikadi ya chama hicho na wametangaza kuhamia NCCR Mageuzi kinachoongozwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia.
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai kinashindwa kuwavua uanachama wabunge hawa wawili?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!
Kwanini basi CHADEMA inayoongozwa na Freeman Aikael Mbowe ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai kinashindwa kuwavua uanachama wabunge hawa wawili?
Majibu Tafadhali.
Maendeleo hayana vyama!