Kila nikikumbuka Sentensi hii ya Mwenyekiti wa chama huwa nawaashangaa wanaoamini watakuwa wabunge katika uchaguzi ujao

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Mwenyekiti wenu alitamka maneno kadhaa akiashiria kuwa ili mtia Nia yeyote kupitishwa kuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya chama Cha mapinduzi itategemea siku hiyo ameamkaje"

Sasa kwa sentence hiyo nawashangaa wale ambao wametangaza Nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho lakini wao moja kwa moja wanaamini kuwa ndo watapitishwa na chama kuwa wawakilishi wa majimbo husika.

Kati Yao yupo Steve Nyerere pamoja na Mwita Waitara. Hawa Ni Kama wamesahau kuwa wapo watia Nia wengine wenye sifa ambao wanaweza kupitishwa kuwa wagombea Bali wao Ni Kama wameshateuliwa kuwa wagombea na wanachosubiri Ni kampeni tu zianze.

Nawashauri muwe mnatafakari sentence ya Mwenyekiti kwani mnaweza kuaibika hapo mbeleni

Ni hayo tu
 
Zamani ilikuwa upepo ndo unaamua.
Sasa hivi ni Mwenye chama ndo anaamua.
Kazi wanayo
 
Akimalizana na upinzani anawageukia CCM rasmi!
1592575.jpg
1_utlWty968Vzt0XvEZ73P2A.jpg
 
Back
Top Bottom