Chadema ina mashabiki wengi lakini haina wapiga kura hata 2015 walibebwa na kura za CCM kupitia Lowassa na kupata wabunge wengi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,888
141,819
Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo.

Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni.

2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba Chadema na CUF kupitia UKAWA kwani wale wapiga kura wa Lowassa aliotoka nao CCM ndio waliwapigia na wabunge wa Ufipa pia.

Kwa ufupi ni kwamba sioni sababu za msingi kwa CCM kuhofia wapinzani bali jambo muhimu ni kwa uongozi kushughulika na wapinzani waliopo ndani ya chama.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama Haina wapiga kura Basi msingekuwa mnaiba kura zetu Sasa.Unavyosema Haina wapiga kura unakosea labda useme tu wapi Ila hawatoshi.

Kama CCM Ina wapiga kura wasingekuwa wezi wa kura.Wasingeiibia CUF Zanzibar Wala huku bara inajulikana CCM ni wezi wa kura Ndio maana wanatumia dola kubaki madarakani. Kama isingekuwa dola CCM ingeshatoka tangia 1995
 
MAELEZO MENGINE NI UPUUZI TU WA KUTUJAZIA TU SERVER,
HAIHINGII AKILINI SERIKALI KUFANYA MAKUSUDI KUWA DISCOURAGE WAPIGA KURA KISHA MNAANZA KULETA UJINGA ATI CHADEMA HAINA WAPIGA KURA BALI INA MASHABIKI.
MIMI KAMA MPIGA KURA ARI YA KUPIGA KURA NAITOA WAPI KAMA NASHUHUDIA POLISI MDA WAOTE WANAWAKAMATA VIONGOZI WANGU KILA WAKIJARIBU ATA KUFANYA MIKUTANO YA NDANI WAKATI CCM WAKO HURU KUFANYA WATAKAVYO??
MIMI KAMA MPIGA KURA ARI YA KUPIGA KURA NAITOA WAPI KAMA WOTE NILIOWAPIGIA KURA WAMEKUWA WAKINUNULIWA NA SERIKALI HARAMU YA CCM NA KUAMIA KWAO??
MIMI KAMA MPIGA KURA ARI YA KUPIGA KURA NAITOA WAPI KAMA NAJUA MAWAKALA WATAKAO SIMAMIA KURA YANGU WANATOLEWA VITUONI NA POLISI HAWA HAWA HARAMU??
MIMI KAMA MPIGA ARI YA KUPIGA KURA NAITOA WAPI KAMA NAJUA ATAKAYE TANGAZA MATOKEO YA KIONGOZI NILIYEMCHAGUA YATACHAKACHULIWA NA MKURUNGENZI MTANGAZA MATOKEO AMBAYE NI KADA WA CCM??

MSIWAVUNJIE WANANCHI ARI ZAO ZA KUPIGA KURA MAKUSUDI ILI MJITANGAZIE USHINDI HARAMU KISHA MJE MSEME ATI OOOH HAKUNA WAPIGA KURA KWA CHADEMA,
YEYOTE ANAYESHIRIKI KTK KUDIDIMIZA DEMOKRASIA YA NCHI HII MUNGU AMPE KORONA KAMA ALIVYOFANYA KWA YULE MUNGU MTU WA BURUNDI
 
Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo.

Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni.
2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba Chadema na CUF kupitia UKAWA kwani wale wapiga kura wa Lowassa aliotoka nao CCM ndio waliwapigia na wabunge wa Ufipa pia.

Kwa ufupi ni kwamba sioni sababu za msingi kwa CCM kuhofia wapinzani bali jambo muhimu ni kwa uongozi kushughulika na wapinzani waliopo ndani ya chama.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Maendeleo hayana vyama!
Aina wapiga kura wakati ndio chama cha upinzani kilichoongoza idadi kubwa ya vijiji na majimbo uchaguzi uliopita hii kauli yako itapendeza uzungumzee baada ya 2020 tukimaliza uchaguzi.
 
Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo.

Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni.
2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba Chadema na CUF kupitia UKAWA kwani wale wapiga kura wa Lowassa aliotoka nao CCM ndio waliwapigia na wabunge wa Ufipa pia.

Kwa ufupi ni kwamba sioni sababu za msingi kwa CCM kuhofia wapinzani bali jambo muhimu ni kwa uongozi kushughulika na wapinzani waliopo ndani ya chama.

Mungu wa mbinguni awabariki.

Maendeleo hayana vyama!

Wewe mjinga graph ya chadema hiko vizuri sana #Chadema ccm mgekuwa mnawaogopa kwa kuwanyanyasa.
 
Kama Haina wapiga kura Basi msingekuwa mnaiba kura zetu Sasa.Unavyosema Haina wapiga kura unakosea labda useme tu wapi Ila hawatoshi.Kama CCM Ina wapiga kura wasingekuwa wezi wa kura.Wasingeiibia CUF Zanzibar Wala huku bara inajulikana CCM ni wezi wa kura Ndio maana wanatumia dola kubaki madarakani.Kama isingekuwa dola CCM ingeshatoka tangia 1995
Onesha ushahidi wa kura kuibwa
 
Onesha ushahidi wa kura kuibwa
Unataka ushaidi gani,wa maandishi,wa video,audio au?Mimi ndo Shahidi mwenyewe na 2015 inajulikana,Kuna watu walikimbia na maboksi ya kura ili watangaze wanayemjua.
 
Umejitega vibaya, kama Lowassa 2015 alikuja na wapiga kura wake toka CCM na ukiongezea wapiga kura waliokuwepo UKAWA, sasa naamini Lowassa alishinda ule uchaguzi mkamuibia hiyo nafasi.

Kwasababu kama mngekuwa na wapiga kura wengi kiasi hicho unachotuaminisha msingewategemea polisi na tume viwabebe kila wakati wa uchaguzi.
 
Hovyooo! Sasa kama nyie mna wapigaji kura wengi kwanini hamtaki Uchaguzi HURU na wa HAKI utakaosimamiwa na TUME HURU!? 😳😳😳
 
Back
Top Bottom