wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Hongereni sana wajumbe, zamu ya wapiga kura Oktoba msichague wabunge wanaoishi Dar, chagueni majirani zenu huko majimboni

    Habari wadau Wajumbe wa CCM wamejitahidi sana kutoangalia majina wakati wa kura za maoni Mtu kama charles kimei ameshindwa na mtoto mdogo Mtu kama ngereja ameshindwa na darasa la 7 Hii inaonesha watu wameanza kuamka Maana majimbo yalikuwa kama shamba la bibi Mtu anaishi zake Mikocheni ama...
  2. T

    Kuna sababu gani Tanzania kuendelea kuwa na wabunge wa viti maalum?

    Nchi masikini kama Tanzania ambazo zaidi ya 40% ya mapato yake ya kuendeshea serikali yanatokana na mikopo na misaada, zina idadi kubwa sana ya baraza la mawaziri pamoja na bunge. Kuna kipindi Tanzania tuliwahi kua na baraza la Mawaziri zaidi 60. Hoja yangu ni kwamba, kwa nini bado tunaendelea...
  3. Wabunge 15 wa Zambia wakutwa na virusi vya corona

    Waziri wa Afya wa Zambia Chitalu Chilufya amesema baada ya zoezi la lazima la upimaji wa virusi vya corona katika bunge la nchi hiyo, wabunge 15 wamekutwa na maambukizi. Amri ya upimaji huo ilitolewa baada ya wabunge wawili kufariki dunia juma lililopita. Mmoja miongoni mwa hao aliugua ugonjwa...
  4. GE2020 Wabunge wa CCM na waliohamia CCM, walioangushwa kura za maoni 2020

    WABUNGE WALIOANGUSHWA KURA ZA MAONI 1. Harrison Mwakyembe – Kyela 2. Angela Kairuki – Same Magharibi 3. Maulid Mtulia – Kinondoni 4. Abdalah Mtolea – Temeke 5. Omary Badwel – Bahi 6. Juma Nkamia – Chemba 7. Goodluck Mlinga – Ulanga 8. Omary Mgumba – Morogoro Kusini Mashariki 9. Cecil Mwambe –...
  5. N

    Wabunge wa zamani wote wameshinda kasoro 35 tu, inamaanisha nini?

    Kitu ninachojiuliza Kama wabunge karibu wote wa Bunge lililopita wengi wamerudi basi bunge lijalo litakuwa halina tofauti sana na ndo maana najiuliza huenda Spika Ndugai alijua hadi akawahakikishia wabunge wa CCM kuwa wote watarudi na mwezi wa 11 Mh Kessy alete hoja yake ya kubadili katiba ya...
  6. Wabunge 8 Dodoma, Pwani waangushwa kura za maoni CCM

    MCHAKATO wa kura za maoni kupata wagombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu ulimalizika jana na sasa walioongoza wanasubiri uamuzi wa vikao vya juu vya chama hicho vifanye uamuzi. Kwenye Mkoa wa Dodoma wabunge watano waliomaliza mda wao...
  7. GE2020 CHADEMA kiliwekeza kwenye majina ya watu badala ya chama. Maeneo ambayo wabunge wao walijiunga CCM hawana wagombea wa maana

    Chama imara hujenga brand name ya chama siyo majina ya watu. CHADEMA huhangaika sana kujenga majina ya watu badala ya chama. Utasikia ohh Mbowe, ohh Mdee, ohh Lissu hakuna zaidi ya hao! Sasa kuna yale maeneo wabunge wa CHADEMA waliohamia CCM kuna ombwe kubwa. Wameweka watu wa ajabu ajabu sababu...
  8. J

    GE2020 Rekodi mpya: Mapacha kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CCM

    Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo. Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe. Maendeleo hayana vyama!
  9. CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  10. Kipi kifanyike baada ya uchaguzi wabunge wasiowajibika kwa wananchi

    Wana jamii, kwa sasa tunashuhudia majimboni wagombea mbalimbali wakipambana kuwa wawakirishi wa wananchi. Ukizingatia wananchi wote hatuwezi kwenda bungeni kujadili maendeleo yetu. Hivyo ni lazima watu wachache wachaguliwe ili kuwawakilisha wananchi baada ya kufanya mikutano na wananchi hivyo...
  11. Serikali ihamishie maslahi ya wabunge kwa Wakuu wa Mikoa na Wilaya

    Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na kuishauri Serikali. Lakini kama mkuu wa wilaya akiongezewa kazi za kusimamia kabisa kila shughuli za maendeleo ya wilaya huku akihakikisha mgawanyo wa keki ya taifa wilayani kwake atakuwa anafanya kazi kubwa kuliko Mbunge. Napendekeza Ili kuwapiga chenga za...
  12. Hali ngumu majimboni, wagombea waanza kula kwa mama lishe ili kudanganya Wananchi

    Huyu anaitwa Bashungwa
  13. J

    Wabunge tuondoleeni Darasa la Saba na Kidato cha Nne Bungeni

    Kwa tathimini ya haraka Ubunge umekuwa jambo jepesi sana,niwaombe wabunge watakaopita hasa Ma prof na ma Dr wakakomae bungeni ili wabadilishe vifungu katika katiba kuhusu eneo la uwakilishi iwe kama ifuatavyo: 1. Elimu nikuanzia kidato cha 6 na kuendelea 2. Ubunge uwe na kikomo vipindi vinne...
  14. T

    GE2020 Hesabu nzuri inachezwa - Wapinzani kupata zaidi ya 50% ya Wabunge

    Nimempenda sana Membe. Ukweli nakipenda sana Chama changu cha Mapinduzi yaani CCM. Lakini pia sioni ubaya wa upinzani na zaidi Membe kanibadilisha. Nilikuwa nikimpalilia mno Tundu Lissu lakini kwa sasa ni Benard Membe na Tundu Lisu ndiyo wanashindania kura yangu. Ninajua sana kuwa ni kura moja...
  15. GE2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Kimei achukua fomu ya kutia nia jimbo la Vunjo kupitia CCM

    Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Ndugu Charles Kimei amefika katika ofisi za CCM Kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya Chama cha Mapinduzi-CCM kupeperusha bendera Jimbo la Vunjo. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Dkt. Charles Kimei Mbunge mtarajiwa Vunjo
  16. S

    GE2020 Chonde chonde Watanzania,msisahau mwenendo wa wabunge wa CCM wawapo Bungeni na hatari ya kuwarudisha tena Bungeni kwa wingi

    Nawakumbusha watanzania kuwa ni wabunge wa CCM ndio waliopitisha sheria zote katili na kandamiza kama zile za makato ya Bodi ya Mikopo,Sheria ya kuunganisha Mifuko ya Hifadhi za Jamii na Sheria ya kikokotoo kipya kilichozua malalamiko makubwa kutoka kwa umma. Nilisema jana katika mada yangu...
  17. S

    Wapinzani wakumbusheni Watanzania madhara ya wabunge wa CCM yakiwemo kubariki (makato makubwa ya Bodi ya Mikopo, kuunganisha Mifuko, kikokotoo kipya)

    Wapinzani na wadau wengine kwa ujumla,wakati tunaelekea katika kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Raisi wabunge na madiwani,ni vyema mkawakumbusha watanzania madhara ya kuwa na wabunge wengi wa CCM Bungeni hasa ikitokea CCM inaridu tena madarakani Watanzania(baadhi yetu) tunakuwa wapesi...
  18. GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  19. S

    GE2020 Wabunge wa CHADEMA waliokataa kununuliwa wana nafasi kubwa sana ya kuchaguliwa tena na hii ni ishara ya anguko la wale waliouza utu wao

    Kwa mtazama wangu, matokeo ya kura za maoni ya watia nia wa CHADEMA, yanadhihirisha jambo moja kubwa: Wabunge waliokataa kuuza utu wao, wameaminika sana kwa wananchi na hivyo wana nafasi kubwa sana ya kushinda katika uchaguzi kama walivyoshinda katika kura za maoni. Mfano ni matokeo haya ya...
  20. Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…