Hayo yameelezwa na wabunge baada ya hoja maalumu ya kumbandua naibu wa Rigathi Gachagua kuwasilishwa bungeni mchana wa leo Oct 01.2024.
Kiongoza wa wachache bungeni Mh.Junet Mohamed alitoa angalizo la kiusalama mbele ya spika na kwamba Inspekta Generali mpya wa polisi anawajibika kuwahakikisha...
Wabunge wa kambi ya upinzani nchini Albania wamevuruga kikao cha Bunge kupinga hatua ya kufungwa Gerezani Mbunge mwenzao kwa tuhuma za kusema uwongo.
Wabunge hao wamesema kufungwa kwa Ervin Salianji ni hatua iliyochochewa kisiasa na wameitisha maandamano makubwa ya kuufunga Mji Mkuu, Tirana...
NCHI A.
Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema Kwa kunifikisha hapa,
Pili nimshukuru rais, Dr, amiri jeshi mkuu, mheshimiwa. Kwa kujitoa kwake Kwa nguvu zote bila kuchoka
- Tatu nikushukuru wewe mh Spika kwa kunipa nafasi niweze kuchangia hapa leo
- Nne japo sio kwa umuhimu...
1. Mjini uje na akili. Pesa IPO ni ww kuchakata akili. Kama masihara wale wabunge 19 wa CHADEMA ifikapo 2025 wakati Bunge linavunjwa nao wanavuna TZS 400m bila jasho. Huku daktari yupo Halmashauri ya Buhigwe akilipwa laki 7.
2. Kwann hawa 19 hawamchangii Makamu Lissu anunue V8 LC300 series (0...
My Take,
Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoa :rolleyes::)
=======
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msavatavangu amelitaka Bunge kuanzisha sheria ya kuwashughulikia watu waliozaa na kuwatelekeza watoto bila kuwapa msaada wa kiuangalizi.
Msavatavangu ameyasema hayo leo Agosti...
Ndugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu...
Wabunge wameitaka Serikali kukokotoa upya bei ya umeme baada ya mradi wa kufua nishati hiyo wa Julius Nyerere (JNHPP) kukamilika ili kumpa nafuu Mtanzania.
Akiuliza swali la nyongeza bungeni leo Agosti 30, 2024, Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka amesema mradi wa JNHPP umeanza uzalishaji umeme wa...
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wakiwasili bungeni Jijini Dodoma tayari kwa kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa 16 wa Bunge.
Miongoni mwa mambo yatakayoenda kujadiliwa leo Agosti 30, 2024 ni kujadiliwa kwa Muswada wa Sheria ya marekebisho ya sheria zinazohusu...
Huu ni utabiri juu ya nini kitatokea 2025 hadi 2030, itakuwa ni wakati wa kuwakomoa watanganyika. Nchi itapigwa mnada bila hofu yoyote kwa sababu watanganyika hao hao viongozi ndio wanasapoti uuzaji huo uendelee.
Wananchi wa Ngorongoro wataondolewa ngorongoro wapende wasipende. Rasilimali...
Waziri Mkuu Akijibu Maswali ya Papo kwa Papo, Bunge la kumi na mbili mkutano wa 16 kikao cha 3 tarehe 29 Agosti, 2024
Update....
Waziri Mkuu Ametoa majibu ya matukio ya utekaji yanaendelea
Nataka nieleze kwamba tunapoilinda Nchi ni wajibu wetu Watanzania wote kwa kushirikiana na vyombo vyetu...
Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena.
Hawa wabunge huu ulikuwa ni...
Mbunge Saashisha Mafuwe akabidhi mashine ya X-ray yenye thamani ya Tsh. milioni 196 na magari mawili
Mbunge wa Jimbo la Hai, Mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe tarehe 10 Agosti, 2024 amefanya ziara katika Hospitali ya Wilaya ya Hai na kukabidhi Ultrasound na X Ray Machine za kisasa zenye...
Wabunge wetu Wana shughuli zao nyingine zinazowaingizia kipato kama Biashara, Kilimo n.k lakini wanalipwa mishahara minono na Serikali na Vyama vyao vinapewa Ruzuku kila mwezi.
Sasa kwanini Viongozi wa dini ambao ndio Watengeneza amani ya Mwili na Roho wasilipwe mishahara na Serikali...
Kwema Wakuu!
Nafikiri kuna umuhimu wa kubadili sheria na kuweka sheria mpya kuwa Mbunge wa eneo Fulani asiongoze eneo hilo Kwa zaidi ya Miaka Kumi. Awamu Mbili zinatosha Kabisa kuwakilisha wananchi wa Jimbo Husika.
Sioni tija ya Mbunge kukaa Miaka nenda rudi. Kama nia ni kuwakilisha Wananchi...
Watu wa Mwambao wana utamaduni wao unayotokana na dini yao.
Musiwapangie sawa na utamaduni wenu.
Utafiti nilioufanya kwa watu wa mwambao huwaambii kitu, weshamchagua Samia kura ya Urais.
Yaani haijalishi. Jambo lolote litalofanywa na watendaji wa Serikali litakaloumiza hisia za Waislam kwa...
Hizo ndio siasa zisizoeleweka za Tanzania. Sasa hivi hapa nawasikiliza wabunge wa mkoa wa Katavi wakizungumza na Rais Samia aliyemaliza ziara yake mkoani Katavi. Nawasikiliza wabunge hao wakilalamikia sana mambo mbalimbali ya mkoa wao, wakati huo huo wanamshukuru na kumpongeza sana rais kwa...
POLENI sana ndugu zangu Wasukuma kwa kufanya utani kwenye uchaguzi na kuacha vigezo vya uwezo wa kiakili ninyi wenzangu mnaangalia mtu ambaye ana uwezo wa kuwanunuliwa vitumbua, ubwabwa, soda na kuwagawia shilingi elfu 5 tano matokeo yake mnapeleka wabunge bungeni ambao hawana uwezo wa kujua...
Wabunge wanatuhumiwa kuhusika kwenye kashfa ya sukari ambapo inadaiwa baadhi yao wamepewa vibali vya kuagiza sukari na Waziri Bashe kama mkakati wa kuwanyamazisha na kufanikisha azma yake ya kubadilisha sheria ya sukari ili wapate hela nyingi kwa ajili ya uchaguzi.
Baadhi ya wabunge wanaotajwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.