Ukitafakari sana, bila kuwa na utando wa kishabiki kichwani, Lissu anaongea kitu cha maana na hapa tayari ameonyesha ku-compromise na CCM. Nimesikiliza mahojiano yake kwa makini sana.
Pendekezo lake la "No Reforms na Elections" kwa alivyofafanua na nikamuelewa, anasema kwamba, Chadema wako...
Nadhani inaweza kuangaliwa kama kuna majimbo yanastahili kupitishiwa wabunge wao mapema hii ii yabakie majimbo machache.Maana nilikuwa sijui kama mkutano mkuu wawez kuwa na mamlaka hiv
Mbowe ameumiza watu wengi sana kwenye hizi siasa za Upinzani safari hii asiruhisiwe kabisa.
Mzee Mbowe Kamfukuza Zitto Kabwe Kisha jamaa kaanzisha chama Cha ACT Wazalendo Sasa Kinaongoza Serikali na kaamua kustaafu Mzee Mbowe yeye bado anafukuzia miaka ya MKwewe ili kustaafu (68)
Zimekuwepo na hoja zinajengwa za kudai eti ndugu Mbowe ni mwenye busara. Hata hivyo mimi napinga hii hoja kutokana na matendo ya mwenyekiti.
Busara haipimwi tu kwa kauli bali inapimwa kwa maamuzi na hata matendo.
Hebu fikiria Jambo hili. Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, Mwenyekiti ndiye...
“Unawezaje kwenye meza kuu Mwenyekiti unakaa na manaibu Katibu wakuu wawili ambao wake zao ni sehemu ya wabunge 19 waliopo bungeni, halafu Msigwa akawa hatari, mimi niliongea Mtwara kuwa wanapaswa kujiuzulu msitupe ugumu wa Maisha, haiwezekani wawe wanaanda nyaraka za Ushahidi za Kwenda...
Habari wakuu,
Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania.
Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa wamejaribu kutekeleza majukumu yao huko Majimboni.
Mimi wabunge wangu ninaoona walau wamepambana ni hawa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
Wabunge WENGI WAKISTAAFU
WANAPATA ‘STROKE’ - DKT. MSUKUMA
Ijumaa Ya Leo Ndani Ya Kipindi Cha JANA na LEO, Dr Joseph Kasheku Musukuma MBUNGE wa GEITA amesema hata suala ka kufeli kwa mradi wa Mwendokasi ni kutokana na kuwaamini Wasomi
Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanaotokana na Umoja wa Vijana wa CCM Zanzibar, walifika katika chuo Cha Umoja wa Vijana Tunguu Kwaajili ya Uvunaji wa mabilinganyi na pilipili Boga Kwa lengo la kuendeleza Siasa na Uchumi Katika Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM.
Aidha, Wabunge na...
Katika hali inayoonyesha usanii mkubwa wa uongozi chini ya Mwenyekiti Mbowe, Aliyewahi kuwa mhariri wa gazeti la Tanzania Daima ndugu Absolom Kibanda, ameongea na Watanzania kupitia katika mtandao wa Clubhouse kuwa Kuna watu ndani ya sekretariat ya CHADEMA walifanya uhuni na kughushi saini ya...
Hawa wakina Job Ndugai, Zungu, Shabiby, Olesendeka,na Simbachawene mbona hawaongolewi hawa tangu 2005 ni wabunge hawataki kung,atuka
kama ni CCM ni wapenda demokrasia mbona wamekalia viti.
Why double standard kwa Freeman Mbowe
Ni kiri wazi kuwa kwa maelezo haya ya wenje baada ya kumsikiliza kwa makini! Kuna maswali mengi yanakosa majibu kutoka kwa wenje! Ni upumbavu wa hali juu kuwa haki yako iliyo kisheria mtoto wa rahisi ndio akufanyie mpango ulipwe as if hayo madai anayedaiwa ni mama yake!
Swali langu kwa wenje...
Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira...
Wabunge watatu wa ajali ya Dodoma wahamishiwa MOI.
Wabunge hao ni Mwakilishi wa Jimbo la Magomeni Zanzibar, Mwanakhamis Kassim Said, Mwakilishi wa Jimbo la Amani Zanzibar, Abdul Yusufu Maalim pamoja na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Furaha Matondo.
Wakuu!
Ile ajali ya wabunge ukitazama kama ilikuwa ndogo lakini baadhi ya wabunge hali zao bado ni mbaya hadi wamehamishiwa MOI au tuseme maombi ya baadhi a wabongo?
=====================
Wabunge watatu majeruhi wa ajali ya basi la Kampuni ya Shabiby waliokuwa wamelazwa katika Hospitali ya...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, amewajulia hali baadhi ya Wabunge majeruhi, waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam, waliopata ajali ya gari mkoani Dodoma wakati wakielekea kwenye...
Mimi binafsi nilijizuia nisiseme neno lolote...
Lakini kimoyomoyo niliona na kufikiri kuwa kwa kuwa wameikataa njia ya haki ya kubadilishana uongozi na madaraka....
Basi, pengine njia inayofaa kuuondoa huu utawala wa uovu chini ya CCM, obvious ni hii ya kufagiliwa kwa mauti za namna hii...
Wabunge wanne kati ya 17 waliolazwa katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) wameruhusiwa baada ya afya zao kuimarika, huku wengine wakiendelea na matibabu.
Majeruhi hao walipata ajali juzi eneo la Mbande wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma wakienda Mombasa, Kenya kwenye mashindano ya 14 ya Mabunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.