waarabu

  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga yawafuata Waarabu ikiwa fulu mkoko

    Kikosi cha Yanga kimeondoka leo Jumanne Desemba 3, 2024 kuelekea Algeria kwa ajili ya kuivaa MC Alger katika mchezo wa kundi A michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga inaenda kwenye mchezo ikiwa na kumbukumbu mbaya ya kupoteza mchezo wa kwanza dhidi ya Al Hilal nyumbani lakini wakijivunia...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Marekani ikimaliza Gaza na Lebanon, ni Waarabu gani watafuata kabla ya wengine?

    Ukiangalia maelfu watu wasio na hatia tena waliodhulumiwa nchi ardhi na nchi yao wakiuawa, unashangaa dunia iko wapi, maendeleo yako wapi, haki za binadamu ziko wapi, binadamu wako wapi, akili iko wapi nk? Kwa wanaoweza kuwaza mbali, kuna uwezekano Marekani na wazungu wanajaribu wanachopanga...
  3. mahindi hayaoti mjini

    JamiiForums Tanzania Duka la waarabu Alwasif lanunua kipande cha lami Kariakoo, parking system wamuuzia parking 3 ila hapaki hata gari

    Hili ni duka la waarabu la kuuza vitambaa Kariakoo, mtaa wa Ndanda na Narun'gombe, anamikiki duka moja tu ila amenunua maeneo ya frame mbili zingine pembeni ya duka lake , Lengo lake la kununua kipande cha barabara ni kuzuia harakati zozote za watanzania wengine kujitafutia kipato, Hizi ni...
  4. Red shadow

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa nje Ishmael alituletea waarabu. Nimejifunza kutulia kwene ndoa

    Nikiangalia waarabu walivoitenda dunia nimekuja kujifunza Kumsikiliza mungu. Akikwambia tulia kwene ndoa ana maanisha. Akikwambia oa mke mmoja wewe na mkeo muwe mwili mmoja ana maanisha. Ukitenda unayoyajua utaiumiza dunia na ukoo wako na kizazi chako. Mtoto wa nje ya ndoa siyo. Poleni...
  5. Annie X6

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Trump ametoa hotuba ya kibaguzi dhidi ya waafrika na Waarabu

    "HOTUBA YA DONALD TRUMP KUHUSU KWA NINI ANAWACHUKIA WAAFRIKA NA WAARABU". Hatulazimiki, hata kwa sekunde moja, kujaribu kuthibitisha kwa mtu yeyote na hasa kwa weusi na Waarabu kwamba sisi ni watu bora zaidi - tumedhihirisha hilo kwa weusi na Waarabu kwa njia 1001. Marekani tunayoijua leo...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya waarabu wanakimbilia Marekani kuishi. Kwanini hawaendi Qatar, Iran au Saudia?

    Sielewi ni kwa nini maelfu ya waarabu wanakimbilia na kung'ang'ania kwenda Marekani kuishi badala ya kwenda Qatar, Iran au Saudia!!
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA!

    Amini au usiamini, kuna kila dalili kuwa huenda makundi ya wanawake, waarabu, waislamu na wahamiaji wanaelekea kumpa Kamala Harris urais wa USA kirahisi kabisa. H Haya ndio maoni ya wachambuzi wengi wa siasa za USA katika muda wa mwisho kabisa kuelekea kupigwa kwa kura za mwisho siku ya kesho...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Kumbe Waarabu na Wahindi ni waoga wa polisi

    Ni jambo lililozoeleka kusikia wabongo kutukanwa na kushushiwa vipigo kwenye baadhi za ofisi za wahindi na biashara, hali hii ilikuwa tofauti kwenye kiwanda flani cha waarabu. Kuna siku Moja ya mabosi mwarabu alipishana kauli na mfanyakazi, kwenye kurushiana maneno muarabu jasiraa zilimpanda...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kua Wairan waliungana na waafrika kuwaondoa waarabu Zanzibar kwa kuunda Afro-Shirazi Party (ASP)?

    Kwa wasiofahamu washiraz ni jamii ya ya watu huko iran kama kabila hivi. Achana na washirazi wa hapo unguja na mafia naongelea washiraz original. Hawa wanaweza kua ni kabila lililokua na mchanganyiko wa wairan hao wa zamani ndipo wakajiita washiraz Sasa twende basi, unakumbuka chama cha Afro...
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Jeshi la John Okello Israel ya Africa Mashariki liliwatindua vibaya sana Waarabu!

    Kwanini hakuna sanamu ya huyu mwamba wa kiafrica aliyetengeneza Jeshi la Kiafrica lililokua na ufanisi dhidi ya waarabu kama vile IDF ya israel. Mwamba toka Uganda alikuja Zanzibar akaona waswahili wamebong’aa kutawaza wazungu ndipo akaamua kuunda jeshi la Kibantu ambaro lilikua muarobaini wa...
  11. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Waarabu na wazungu waliondoa dini zetu za asili ili tuabudu Nyota/Mwezi na Sanamu za bikra maria

    Nimeona hii picha imenisikitisha
  12. G

    JamiiForums Tanzania Wahindi, Waarabu na wasomali wanafanyaje hadi watoto wanakuwa waaminifu kurithishwa biashara, kuwa na utulivu kwenye biashara na nidhamu ya pesa?

    Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki watoto inavidi waanza kuzoea ugali maharage. waafrika tumekuwa na shida kubwa kwenye kurithisha...
  13. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hivi manabii wazamani na mitume wa zamani walikuwa waarabu au wayahudi?

    Kuna kitu nashindwaga kuelewa kuhusu manabii na mitume wote wazamani Ukisikiliza ndugu zetu waislam wanasemaga manabii wengi walikuwa waarabu Mfano ni video fulani ambayo niliona kwenye YouTube Chanel ya kislam inasema manabii wengi walikuwa waarabu Kutokana na video hiyo ni ivi Adam ( sir...
  14. U

    JamiiForums Tanzania Magaidi 5 raia wa Israel wanaohusishwa na ISIS wakamatwa. Walipanga kulipua majengo marefu zaidi ya kibiashara Tel Aviv's Azrieli Mall

    Wadau hamjamboni nyote? Magaidi watano wenye uraia wa Israel na asili ya kiarabu wamenaswa wakipanga kulipua majengo makubwa zaidi ya kibiashara jijini Tel Aviv Yasemekana mpango huo haramu.ambaomkama ungefanikiwa ungeleta madhara maafa makubwa walifadhiliwa na magaidi wa kundi hatari la...
  15. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Ndoa za ndugu kwa ndugu kama hii ya Waarabu wa Tanga, ni sahihi ama si sahihi?

  16. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Naona waarabu wameanza kuomba msamaha

    Mbona wanatoka na haya hadharani sasa badala ya Oct 6 mwaka jana? Mshtuko huu na kujitolea kwa Israel salama kulikuwa wapi wakati ilionekana kama Israel ndio ilikuwa karibu kuangamizwa mnamo Oktoba 7? Sina shaka na maneno yake au unyoofu wake, ninashangaa tu kwa nini anafadhaika zaidi kuhusu...
  17. Ashampoo burning

    JamiiForums Tanzania Israel inatumia sayansi na Palestine inatumia imani

    Ile habari ya kifo cha boss wa hezbolla ni habari mbaya na ya kusikitisha sana ila lazima ifike kipindi waarabu wajue ukweli sasa. Ni muda sasa wa kuacha kupeleka watoto wa madrassa wajipange kwenye sayansi zaidi maana mbinu zinatumika na israel ni za kisayansi zaidi kutoa kipigo...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ninapitia mitandao ya kijamii hasa mtandao X naona Waarabu wanamaadui Kila pembe ya Dunia. Sababu kubwa ni ipi?

    Aiseeh! Hii vita ya Israel Vs Hezbollah na haya mauaji ya safu ya UONGOZI wa Hezbollah ukisoma huko mitandaoni hasa mtandao X na Facebook utagundua Waarabu hawapendwi Dunia nzima. Sio China, India, Pakistan, Ulaya ndio usiseme, Amerika na hata huku Afrika. Sijajua tatizo ni nini. Hivi mchina...
  19. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Kinachowatesa Waarabu wa Kigaidi ni Waisrael kumiliki na ku-operate Satellites kwenye anga yote ya dunia

    Hakuna nchi yenye hakimiliki ya Satellite technology duniani isipokuwa Israel yaani hata leo Tanzania wakitaka kufunga sattelite kwenye anga yake ya taifa lazima aombe kibali kutoka Israel, Adui yako akikuweza kwenye technolojia ya mawasiliano umeisha mazima hicho ndicho kinachowatesa Waarabu...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Enyi Waisrael wa Simiyu na Waarabu wa Nanjilinji; anahangaika vipi aliyebarikiwa?!!!! Tafakarini

    Kila siku humu ni mashindano tu ya kuvutia utukufu wa Mungu upande wao. Waisrael wa Simiyu wakinadi kwa nguvu zote jinsi Wana wa Israel walivyobarikiwa na kwamba ole wake kwa yeyote atakayewapinga basi atapata tabu. Biblical references kama zote hutolewa. Wale Waarabu wa Nanjilinji nao hawako...
Back
Top Bottom