waarabu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania nasi tuwe na siasa kama za waarabu, hizi zetu zimekosa maana

    Waarabu siasa zao siyo za kubembelezana, wakianzisha chama cha siasa kinakuwa na military wing. Angalia Kule Syria, Tizama HAMAS, Tizama Hezbollah, na sasa HOUTHI kule Yemen. Wao wanaingia wamekamilika, kwanini sisi tuna anazisha vyama kama vile tuko kwenye vikoba? CCM wao wana Military wing...
  2. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje wazungu wakaja kudominate dunia wakati hata si wateule wa dini kama wayahudi na waarabu? Kuna somo kubwa sana hapa

    Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Asilimia 2.07% ya waarabu wameshinda tuzo ya Nobel Duniani toka mwaka 1901 mpaka 2025. Pongezi kubwa kwao

    Hadi mwaka 2024, zaidi ya Waarabu 20 wamepokea Tuzo ya Nobel katika nyanja mbalimbali, ikiwa ni pamoja na amani, fasihi, na sayansi. Hii ni idadi ndogo ikilinganishwa na Wayahudi, ambao wamepokea zaidi ya tuzo 200, licha ya kuwa na idadi ndogo ya watu duniani. Washindi Mashuhuri wa Tuzo ya...
  4. blogger

    JamiiForums Tanzania Simuoni Mayele akidumu hapo Pyramids. Waarabu ni wabaguzi na wamejaa roho mbaya

    Na Hana furaha kabisa. Katupia magoli mawili..kawapeleka final Kwa mara ya kwanza yet sijaona akiwa na furaha hata kuwa spotlighted. Hivyo hatadumu hapo. Hopefully huu ndio msimu wake wa mwisho.
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Waarabu na Wakoloni,WazunguWametufanya Vibaya Sana!,Sio Tuu Walitu Colonise Nchi Yetu,Bali Wametu Indoctrinate Mental Slavery,Sisi ni Watumwa Wao!

    Wanabodi, Kiukweli Waarabu na wakoloni,wazungu, wametufanya vibaya sana!,sio tuu walitu colonise nchi yetu,kuifanya ni nchi yao,bali pia wametufanya watumwa wao mpaka leo, mpaka kesho kwa kutu indoctrinate utumwa wa ki fikra, mental slavery,sasa sisi ni watumwa wao!utumwa huu unaendelea...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ujio wa waarabu/uislam na wazungu/ukristo ndani ya Afrika

    Uislamu ulianzishwa kwa Afrika katika karne ya 7, mwanzoni kupitia kimbilio la Waislamu wa mapema nchini Ethiopia na ushindi wa baadaye wa Waislamu na biashara katika Afrika Kaskazini. Dini hiyo ilienea kupitia njia za biashara kuvuka Jangwa la Sahara kuingia Afrika Magharibi na pwani ya Afrika...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Muuni atema madini "Uislamu unatukuza waarabu, Ukristo unatukuza wazungu"

    Jamaa ukimuona unaweza kudhani ni muuni tu asiye na madini au asiyejua chochote, lakini ukimsikiliza ndio unajua anafahamu vitu vingi ambavyo hata watu wenye kuvaa vizuri hawavijui wala kuwa na Elimu navyo https://youtu.be/2YU9_VZnA64
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mama, mpaka mwendokasi unawapa waarabu?🤦🏾‍♂️😳

    Pamoja na makampuni yote ya magari mwendokasi eti wanapewa waarabu. Faida inaenda kwa mwekezaji nje wakati kampuni kibao za mabasi bongo🤦🏾‍♂️🤦🏾‍♂️. Mama tumekukosea nini? Unaua demokrasia, unateka vijana wetu, unaiba kura, bandari ya dar bila tendef waarabu wa Dubai, carbon credit dogo Abdul na...
  9. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa nini waarabu ni walalamishi sana?

    Wafuga Midevu watu wa ajabu sana Oct 07,2023 walikuwa wanasherehekea sana kwa kuua watu wasio na hatia, Juzi tena alionekana Sheikh huyu akicheza mbele za maiti za watoto Ariel na Kfir familia ya Bibas sasa hivi analalamika kuwa Israel inawaua wakiwa kwenye mahema wamelala. Walichokoza wenyewe...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Uroho wa waarabu, Trump na Netanyahu utaimaliza dunia haraka. Ni muda wa wenye hekima kuwakimbia

    Tukianza na Donald Trump kuwakilisha mabwanyenye wa Marekani ni kuwa ni waroho sana wa mali kiasi kwamba kila kitu wanataka wakabidhiwe wao ili wawagawie wengine kwa uchoyo na dhulma. Upande wa Benjamini Netanyahu kama muwakilishi wa mayahudi waliolaaniwa na Mungu wana uroho wa hali ya juu ya...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini nchi za waarabu na waislamu hawataki kuwapokea wapalestina mpaka wanaomba afrika mashariki tuwapokee.Inamaana wanajua vizuri

    Kuna tetesi ambazo USA wanataka kuwaondoa wapalestina kutoka gaza lakini kwa jicho la mbali kama nchi ambazo zilikuwa bega kwa bega zijaonesha nia ya kuwa nao mfano iran. Hapa kwetu tumejaa na watawala wenye kupenda pesa na mali wanaweza kukubali na kwa nini wakasema afrika mashariki au...
  12. Webabu

    JamiiForums Tanzania Waarabu wapigane na Israel kivitendo sio kutoa ahadi ya kujenga pekee pale palipovunjwa.

    Hapo majuzi nchi tano za kiarabu ziliahidi kusimamia mpango wa kuijenga Gaza kwa gharama ya dola bilioni 53.Ni jambo zuri sana lakini ni maamuzi ya kizembe sana. Wakati ahadi hiyo ikitolewa ilishapita wiiki 2 Israel ikiwa imezuia mahitaji yote kuingia Gaza tena katka mwezi mtukufu wa...
  13. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Uzi Mahsusi kwa Wadau wa Siasa (Chadema/CCM): Malezi na Madaraka, Kwa Nini Familia Yako Inaweza Kutabiri Mwelekeo wa Taifa

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya mataifa yanafuata demokrasia, mengine yanapendelea udikteta, na mengine yana mfumo wa kijamaa? Kwa mtazamo wa haraka, tunaweza kudhani kuwa sababu kuu ni historia, uchumi, au hata ukoloni. Lakini, tafiti zinaonesha kuwa mizizi ya mifumo ya kisiasa...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa kuijenga upya Gaza.

    Wanaukumbi. Mawaziri wa mambo ya nje wa Ufaransa, Ujerumani, Italia na Uingereza wanasema wanaunga mkono mpango unaoungwa mkono na Waarabu wa ujenzi wa Gaza ambao ungegharimu $53bn na kuepuka kuwafukuza Wapalestina kutoka katika eneo hilo. =============== BREAKING: The foreign ministers of...
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa ndani raia wa India anyongwa UAE kwa mauaji ya mtoto mchanga

    Kuna malalamiko ambao mfanyakazi kutokuwa na hatia lakini wameamua kumnyonga ambaye ambaye hata familia yenyewe imelalamika kuwa sio yeye. Imani ya wa isalamu ndio inatajawa kuwa imani yenye sheria mkononi sana yenye mafundisho binafsi ambayo yenye chuki kuanzia ngazi zote bila kuweka...
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Israel yaupinga mpango wa waarabu kuhusu ujenzi wa Gaza

    Israel inakataa mpango wa nchi za Kiarabu kukabiliana na Gaza. Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje: "Taarifa iliyotolewa kwenye kikao cha dharura cha mkutano wa kilele wa ajabu wa Waarabu haiangazii uhalisia wa hali ilivyo baada ya Oktoba 7, 2003, na inabakia kukita mizizi katika mitazamo ya...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda

    Waarabu wenye OG wanapiga msosi huku chui naye akiwa anapiga piga nao msosi maisha yanaenda. Ungekuta huku kwetu akiguswa na Mbwa anakimbia kwenda kunawa utadhani wa maana. Hawa jamaa si tu huyu kawagusa. Wanakula naye msosi. Badala ya kuiga teknolojia na wawekeze huko utawakuta wanajiona wao...
  18. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ujinga na upumbavu wa waarabu waokoa mamia ya watu kufa au kujeruhiwa kwenye mabasi huko Israel

    Baadhi ya MAGAIDI walioachiwa hivi karibuni kutoka kwenye magereza ya Israel leo waliweza na kufanikiwa kupachika vilipuzi kwenye mabasi 5 ambayo yalikuwa yamepark katika sehemu mbalimbali nchini Israel. Kwa bahati nzuri sana Ujinga na upumbavu wao kwenye TIMER badala ya kuweka saa 3 asubuhi...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini Congo haiwapigii kelele Waarabu na Wachina waache kununua madini kutoka Rwanda?

    Wateja wakubwa wa bidhaa zote za Rwanda kuanzia madini, kahawa hadi chai kwa nje ya Waafrika ni Waarabu wa UAE na China. Katika kelele zote za Congo kutaka watu wasitishe kununua bidhaa za Rwanda wanazipigia nchi za Ulaya na Marekani! Huu mbona kama ni mkanganyiko! Kwa nini Congo isiwabane UAE...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi Waarabu wanavyoendelea kutawala soka la Afrika

    Waarabu wameshaonja utamu wa asali ya pesa za CAF kwa hiyo wamejijengea mtandao mkubwa wa kuhakikisha hakuna boya yoyote anakuja kuwanyang'anya asali na himaya yao. Miaka ya hivi karibuni Simba na Yanga zimejitahidi kufanyafanya usajili na kujifunza mikakati michache ya ndani na nje ya uwanja...
Back
Top Bottom