waandishi

  1. JamiiForums Tanzania BAWACHA kuongea na Waandishi wa Habari Jijini Dodoma

    Taarifa inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika kwenye ofisi za Kanda ya Kati Jijini Dodoma kesho Tarehe 21/4/2021, kuanzia saa 5 kamili asubuhi . Wote Mnakaribishwa . Muhimu : Zingatia mwongozo wa WHO kuhusu janga la corona =========
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini Waandishi maarufu wa vitabu Tanzania wengi wao bado uchumi haujakaa sawa?

    Nadhani ni wengi hapa tumewahi kununua vitabu katika safari zetu za elimu. Unakuta kuna kitabu flani karibu kila mwanafunzi alikuwa nacho. Ila sasa ukija kuangalia hali za maisha za hao waandishi unakuja kugundua vitabu hivyo haviwasaidii sana kiuchumi. WHAT IS THE PROBLEM?
  3. JamiiForums Tanzania JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    “Tunasikitika kufuta mikataba ya vijana 854 wa JKT kutokana na kufanya vitendo vya uasi.”Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania - Jenerali Venance Mabey ---------- Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jen. Venance Mabeyo amesema wamefuta mikataba ya Vijana 854 wa JKT ambao ni miongoni mwa walioahidiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

    Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara. Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi...
  6. JamiiForums Tanzania Waandishi wa habari waache kuidhalilisha dini safi ya Uislam. Aliyeiba nguruwe sio "Imam" kwa maana alichokifanya ni kinyume na miongozo ya dini yake

    Habari zenu jamiiforums Kwa wale msiomfahamu vema Infantry Soldier ni kwamba, mimi ni mkristo tena mkatoliki ila ninafahamu fika ya kuwa uislamu si ugaidi na si dini ya wizi na wala waislamu si magaidi na wala sio wezi bali wahalifu wachache hujificha katika kivuli cha uislamu ili kutenda...
  7. JamiiForums Tanzania Mwanachama wa Yanga adhibitisha Yanga kuwafanyia kisomo waandishi wanaoisema timu yao 'vibaya'

    Kwenye hii video mwanachama anayejulikana kwa jina la Kabwe amedhibitisha wamekusanya michanga ya wale wanahabari wote waliokuja jangwani leo mapema kwaajili ya kisomo cha albadr
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC kuwasomea ' Albadiri ' Waandishi wa Habari za Michezo wanaoiandikia, kuisemea na kuihujumu

    Hivi Klabu inawezaje Kuwatishia Waandishi wa Habari za Michezo hasa kuwataka wawe tu Wanaandika na Wanatangaza Mema (Mazuri) tu ya Yanga SC ila yale mabaya Wawe wanayaficha kwa Umma wa Wanamichezo? Haya sasa kwa taarifa ( zisizo rasmi bado japo nimezikisikia hivi punde kutoka Clouds FM Kipindi...
  9. J

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na waandishi wa habari - Aprili 8, 2021

    CAG Kicheere anaongea na waandishi wa habari muda huu. Updates; ======== CAG: NILIBAINI WAKALA NNE ZA SERIKALI ZILIKUWA ZINADAIWA BILIONI 783.39 TANROADS ilikuwa na deni kubwa lenye thamani ya bilioni 770.1 kutoka kwa wakandarasi na wahandisi washauri kutokana na kuchelewa kupata fedha za...
  10. JamiiForums Tanzania JamiiForums linaweza kuwa darasa zuri sana la waandishi wa habari wanaoiona fursa hii

    JamiiForums ni darasa huru ambalo kama mtu anatamani kuwa mwandishi bora kabisa wa masuala mbalimbali anaweza kujiona na kufikia viwango vya juu sana. Nashauri waandishi wa habari najaribu kuitumia fursa hii ili kuepusha uandishi holela na kurupushi. Nakiri kujifunza mengi sana yanayohusiana...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya chama

    Hii ndio taarifa mpya kwa wakati huu inayozunguka dunia nzima , kwamba Chadema yenye Makao Makuu yake Kinondoni , Nje ya Jiji la Dar es Salaam itakuwa na Mkutano na waandishi wa Habari Tarehe 1/4/2021 kwenye ofisi za Makao Makuu yake . Waandishi wote mnakaribishwa lakini mnakumbushwa kuzingatia...
  12. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari wa ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Kama mnavyofahamu siku zote ni kwamba CHADEMA ndio inayoonyesha na kupanga Dira ya Taifa , ambayo kwa bahati nzuri wananchi wanaitekeleza , sasa tega sikio ujue ni mwongozo gani utatolewa.
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

    Hii ndio taarifa inayosambaa duniani hivi sasa, Mkutano huo wa Kimataifa utafanyika Makao Makuu ya CHADEMA, Kinondoni Mtaa wa Ufipa, Nje kabisa ya Jiji la Dar es Salaam. Wote mnakaribishwa. Muhimu : Fuata mwongozo wa WHO wa kujikinga na ugonjwa hatari wa Corona
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari mliokuwepo leo katika Press ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC mlishindwa kumuuliza Maswali Fikirishi haya?

    1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja? 3. Je...
  17. JamiiForums Tanzania Mbeya: RC Chalamila ameonya waandishi wa habari kuacha kutumia maneno ''kifo cha ghafla'' wanapoandika habari za msiba

    RC Chalamila amesema hili neno “kifo cha ghafla” linaleta taharuki katika jamii. Mbona mtu akitongoza ghafla magazeti hayaandiki.
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni bila kutafsiri na kufafanua wakati lugha ya taifa ni Kiswahili?

    Habari wanajamvi, Naomba kuelezea kero yangu juu ya waandishi wa habari za michezo wa Bongo. Yaani mwandishi anamuhoji kocha wa kigeni kwa lugha ya kigeni tatizo ni kwamba hatafsiri na wala hafafanui walichozungumza wakati anajua wazi lugha ya taifa ya Bongo ni kiswahili. Je, washibiki...
  19. JamiiForums Tanzania Tuzo za waandishi wa riwaya, tungo na mashairi

    TUZO YA KISWAHILI YA MABATI-CORNELL YA FASIHI YA AFRIKA: 2021 Utaratibu wa Kushiriki Tunafurahi kuwajulisha utaratibu wa kushiriki katika mashindano ya Tuzo ya Kiswahili ya Mabati-Cornell ya Fasihi ya Afrika yanayoingia mwaka wake wa sita. Tuzo hii, iliyoanzishwa mwaka wa 2014 na Dkt. Lizzy...
  20. JamiiForums Tanzania Unawakumbuka waandishi gani na vitabu vyao waliovuma Sana hapa Tanzania?

    Kama umesahau Basi nakukumbusha wachache. Alistabrus Elvis Musiba - Kufa na kupona, Njama, Kikomo Faraj Hassan Hussein Katarambula - Simu ya Kifo, Pili Pilipili. Hawa waandishi vitabu vyao vilitingisha Sana East Afrika. Musiba alikua na Mhusika katika vitabu vyake aliekua Jasusi Mbobevu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…