Kizazi cha Waandishi wa Habari Takamwili Kuna tofauti kati ya mtu asiyejua (mjinga) na mtu anayechagua kutokujua kwa manufaa yake binafsi (mnafiki). Huu ni ugonjwa wa njaa ya njaa ya akili na tumbo (tumbo-centric journalism).
Waandishi hawa sio kwamba hawajui umuhimu wa siasa; wanajua kuwa bei...
Akijibu maswali ya waandishi wa habari mbali mambo mengine bwana Msigwa aliwaambia waandishi hao kuwa kama kuna kasoro waandike na serikali itafanyia kazi.
Mojawapo ya kasoro kubwa ambayo ipo na vyombo vya habari vya Tanzania haviandiki, havisemei au hata kufanya uchunguzi (documentary) ni...
Gari la Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga limepata ajali eneo la Usanda wilaya ya Shinyanga barabara ya Tabora - Shinyanga, wakati likikwepa gari aina ya Toyota Harrier na kuingia kwenye mtaro.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa watu watano wamejeruhiwa katika ajali hiyo akiwemo Mwandishi wa...
Wandishi wa Habari wametakiwa kuzitumia Tafiti wakati wanapoandika habari zao, ili kuibua changamoto zinazoikabili jamii na kupatikana kwa ufumbuzi wa jambo husika.
Ushauri huo umetolewa na commissiona wa ufuatiliaji na tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar zuhura Mohd Abdallah kwa niaba...
Nimeona huko mitandaoni analalamika sana.
Waandishi wamekuwa maripota tu. Wamekuwa waoga hawako critical.
Wanajipendekeza na wamekuwa machawa.
Pascal Mayalla ana hoja ya msingi.
Yeye ni shujaa na huwa anahoji very critically
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, katika gazeti la Mwananchi la leo, nikizungumzia maisha ya kisasa, na mambo ya kisasa, pesa ndio kila kitu!, siku hizi hakuna cha bure!, kwanini mpaka leo habari ni bure?!, je umefika wakati habari nazo zilipiwe?, bila pesa hakuna habari!, media zilipwe, waandishi...
Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki:
https://fellowship.utpc.or.tz/auth
Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
Waandishi wa bbc swahili hawapati kumuuliza maswali trump?
Karibu mwezi sasa wanaandika habari za Trump
1. Ndani ya siku 1 wataingamiza Iran
2. Ndani ya siku 10, mara wiki 2, mara siku 5, mara siku 30
Yaani ukisoma page yao ukiamka ndio habari hizo tu.
Jee hawapati ya kumuuliza maswali?
Huyo...
Hawa watu walinifanya ninunue sana magazeti kabla ya ujio wa social media.
1. Joseph Mihangwa
2. Ahmed Rajab
3. Edo Kumwembe
4. Jenerali Ulimwengu
5. Maggid Mjengwa
6. Irene Mwamfupe
7. Ayoub Rioba
8. Imelda Mtema
9. Luqman Maloto
10. Julius Mtatiro
"Vyombo vya Habari vya Tanzania Vina hali mbaya kiuchumi ndio maana haviko huru, na kuna kundi la watu yanatisha waandishi wa Habari” Absalom Kibanda
Kibanda ameyasema hayo alipokuwa akifanyiwa mahojiano katika medani kuu na mwandishi Chief Odemba
Wanabodi
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.
Mwezi huu wa March, mwaka 2026, Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari nchini Tanzania, JAB, imetimiza mwaka mmoja tangu kuzinduliwa kwake, ambapo Bodi ilizinduliwa rasmi tarehe 3 March, mwaka 2025, hivyo kufikia tarehe...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
afrika
afrika mashariki
eac
habari
jumuiya
jumuiya ya afrika mashariki
katibu
katibu mkuu
kuhusu
maandalizi
mashariki
mkutano
mkuu
waandishiwaandishi wa habari
wakuu
Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi.
Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo.
Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
Arusha. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Bbinaadamu Tanzania (THRDC) kwa kushirikiana na Taasisi ya Wanahabari ya Kusaidia Jamii za Asili (MAIPAC), imeanza kuwanoa wanahabari Kanda ya Kaskazini na Kati, kuandika vyema Habari za uchunguzi za mazingira.
Uzinduzi wa mafunzo hayo, umefanyika leo...
Waandishi wa kitabu cha zaburi
Zaburi ni nini katika Biblia
Zaburi maana yake ni nyimbo takatifu. Hivyo kitabu cha Zaburi katika biblia, ni kitabu cha nyimbo takatifu. Zimeitwa nyimbo takatifu kwa sababu zimetungwa kwa lengo la kumrudisha mtu kwa muumba wake, kwa njia hiyo ya kusifu na...
Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao.
Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.