Planett JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 10,570 Reaction score 16,358 Aug 12, 2026 #1 Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.
Ndugu zangu waandishi wa habari naomba niwashauri pindi mnapowahoji watu hawa muwe mmejiandaa kisaikolojia. 1)Chid Benz 2)T.I.D 3)Mangungu Msije sema hamkuambiwa. Nawasilisha.