Kushikiliwa Kwa waandishi wa habari wa JAMBO TV na Manara TV Jijini Arusha Arusha*
Nimepata taarifa usiku huu za kushikiliwa Kwa Mwandishi wa habari Baraka Lucas wa Jambo TV Arusha na Ezekiel wa Manara TV Arusha
Taarifa za awali zinasema walikamatwa jioni hii Jijini Arusha na hadi...
Jeshi la polisi mkoani Pwani limetoa mafunzo kwa waandishi wa habari mkoani humo yaliyolenga kuwaongezea ujuzi wa masuala mbalimbali ikiwemo maadili.
Mafunzo hayo yaliyoongozwa na Kamanda wa Polisi mkoani humo, ASP Salimu Morcase yaliangazia pia usalama kuelekea, wakati na baada ya Uchaguzi...
Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini.
Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga.
Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho...
Mgombea Urais kupitia Chama cha National League for Democracy (NLD), Doyo Hassan Doyo amelalamikia Vyombo vya Habari kuwapa nafasi Wagombea wa upande mmoja na kuacha vyama vingine vikiwa havina watu wa kuwaripotia taarifa zao.
AMeyasema hayo jana Agosti 31, 2025 alipokuwa akizungumza na baadhi...
Kwa mujibu wa taaifa kutoka shirika la habari la Reuters
Mashambulizi ya anga ya Israel katika Hospitali ya Nasser, Gaza leo Agosti 25, 2025 yameua watu 15, wakiwemo waandishi wa habari wanne, mmoja wao akiwa ni mfanyakazi wa shirika la Reuters
Cameraman Hussam al-Masri muandishi wa Reuters...
Katika hotuba mojawapo ya Mheshiwa Rais, Samia Suluhu Hassan leo imeonesha makundi muhimu katika kuuelimisha Umma yakiwemo ya Wanasiasa, Viongozi wa Dini lakini kundi mojawapo lililotajwa kwa upekee wake ni kundi la Waandishi wa habari.
Kauli ya kuwa kalamu ni hatari kuliko bunduki iliyotamkwa...
Akizungumza kwenye Mkutano wa Wadau wa Sekta ya Habari Kanda ya Mashariki Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025, Wakili Patrick Kipangula ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) amesema kuna baadhi ya Wanahabari wameweka vyeti feki katika mfumo wa kujisajili ili kupata...
Kaimu Mkurugenzi wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, ametoa onyo kali na kupiga marufuku waandishi wa habari ambao hawana ithibati kutoripoti kabisa uchaguzi mkuu kwani kufanya hivyo ni kosa la kisheria.
Amesema kuwa ni kosa la kisheria kwa mwandishi wa...
Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu na migogoro yoyote itakayojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 badala ya kushiriki kwa njia ya kuripoti au kuchochea...
CCM hii ya mbumbumbu wakidhani wanahadaa Umma na Jumuiya za Kimataifa.
Wanaendesha Kampeni chini chini na Waandishi wa Habari wa Main Media na Hawa Akina Jambo TV ,MillardAyo ,n.k
Mpango upo hivi ..
Wapiga kura wanaojulikana ni Wanaccm , walipangwa kusombwa na MaBus na Malori kutoka Kituo A...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akifungua Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Utangazaji Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 tarehe 18 Agosti 2025 katika Ukumbi wa City Garden, jijini Mbeya
ENEO LA KAZI MBEYA
KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI
VOICE OVER,NK
MSHAHARA MAKUBALIANO YETU
tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma
josefevafeva@gmail.com
Nimongeza Muda wa Kuomba tena,
Hata kama Upo kwenye Chombo kingine ila uko mbeya unaweza kuwa Reporter tuma maombi yako chap wanahitajika...
Mpango wa Afrika wa Uandishi wa Habari na Vyombo vya Habari “Afromedia” umekosoa madai ya ukatili unaodaiwa kufanywa na Jeshi la Israeli dhidi ya waandishi wa habari na waandishi wa ripoti katika Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7, 2023, ukisisitiza kuwa kinachoendelea ni ukiukaji wazi wa sheria zote...
Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara Braison Mshana amewaasa waandishi wa habari kuacha kuandika habari kwa kuangalia maslahi yao binafsi na badala yake waandike kwa kufuata maslahi ya taifa.
Rai hiyo imetolewa leo August 11,2025 kwenye mafunzo yaliyowakutanisha waandishi wa...
Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza
Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
Miongoni ya kazi ngumu na inahitaji uvumilivu ni kazi ya Uandishi wa Habari
Moja ya kiongozi wa CCM amegoma kujibu maswali ya waandishi wa Habari kuhusu mchakato wa kura za maoni CCM.
Mwishowe alisikika akisema leteni maturubahi hapa!
Mwezi Disemba, 2024 ulichapishwa utafiti katika jarida la communication studies in Africa, uliohusu waandishi wa habari wa Tanzania katika kupambana na taarifa Potofu.
Katika waandishi wa habari 306 walioshiriki katika utafiti huo 51% ya waandishi walisema hawajawahi kupatiwa mafunzo rasmi ya...
Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara.
Kwa mujibu wa mashuhuda...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi...
https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o
Updates
Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi
Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.