waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Profesa Ibrahim Juma: Tume inalinda faragha za watoa ushahidi, tunaposikiliza wahanga waandishi wa habari mtatupisha

    Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, Jaji Mkuu Mstaafu Profesa Ibrahim Juma, amesema Tume hiyo itaendelea kulinda faragha za watoa ushahidi wanaofika katika mikutano ya tume hiyo sehemu mbalimbali...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume ya Uchunguzi matukio 2025 yazuia waandishi wa habari kurusha na kurekodi shuhuda za wahanga

    Tume ya Rais ya Uchunguzi wa matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya vikao vyake kwa faragha, na kuzuia waandishi wa habari kuingia kwenye ukumbi ambapo waathirika wanatoa ushahidi wao. Rais Samia Suluhu Hassan aliunda tume hiyo kufuatia maandamano...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Vyama vya waandishi wa habari na Waandishi wa habari, pazeni sauti kupinga kufungiwa JAMII FORUMS kinyume na sheria.

    PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU, PAZENI SAUTI ZENU WAANDISHI WA HABARI NA VYAMA VYENU VYA TAALUMA. JF ilishamaliza the so called adhabu ya kukiuka maudhui kama walibyodai wao ingawa JF alikopi alichokuwa amekipost huyo mwizi wa Zimbabwe. Pamoja na kuwa adhabu hiyo ilikuwa batili, JF...
  4. Q

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa kuongea na Waandishi wa habari leo Nov 23, 2025

  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waandishi wa Habari: CCM Yatangaza Taarifa Muhimu Kutoka Makao Makuu - 19 Novemba 2025

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kufanya mkutano maalum na waandishi wa habari utakaofanyika Jumatano, tarehe 19 Novemba 2025, katika Makao Makuu ya CCM, kuanzia saa 5:00 asubuhi. Mkutano huu ni sehemu ya jitihada za chama kutoa taarifa kwa umma, kufafanua masuala muhimu ya kisera, na...
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania GE2025 Larry Madowo: Nimetumiwa mamia ya video, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya Uchaguzi wa Tanzania

    "Nimetumiwa mamia ya video, nimeongea na watu wengi wakiwemo waandishi wa habari, baada ya wiki kadhaa tutatoa ripoti ya uchaguzi wa TZ." - Larry Madowo
  7. Logikos

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari (Professionals) nadhani kwa wakati husika ni bora kutundika kalamu na kufanya mengine-bora hii kazi tuwaachie Citizen Journalists

    Hawa ndugu zetu hivi karibuni walianza kuwabana wenzao na kuwakataza wengine kufanya kazi hii adhimu kwamba hawana Elimu na ili kufanya hii kazi lazima wao kama Tasnia waamue nani wa kuifanya (amekidhi vigezo). Wengine tuliona karne hii ya Citizen Journalists na kila mwenye simu na habari kuwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Njombe wawataka waandishi wa habari wakatubu kwa kuwaacha gizani

    Wananchi wa Halmashauri ya Mji wa Makambako mkoani Njombe wamesema katika kipindi cha uchaguzi, vyombo vya habari vililiweka taifa gizani jambo ambalo sio sawa na kuwataka wanahabari kwenda kutubu. Wameeleza hayo wakati wakizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Njombe Anthony Mtaka katika eneo la soko la...
  9. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Edwin Soko: Waandishi wa habari walijawa hofu ya Sheria za nchi na Maadili kuripoti Matukio Oktoba 29

    Edwin Soko Mwenyekiti wa Taasisi ya Vyombo vya Habari nchi za Kusini mwa Afrika, akizungumza Novemba 5, 2025 katika Mjadala wa Nafasi ya Vyombo vya habari katika Uchaguzi wa Tanzania uliofanyika Oktoba 29, 2025 na kuambatana na vurugu za Maandamano ambapo Vyombo vya habari vilikaa kimya na umma...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa Habari jijini Arusha, baada ya Godfrey wa Millard Ayo, sasa ni Alphonce Kusaga

    Mwandishi wa habari wa Sunrise Radio Arusha ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv Online Alphonce Kusaga Mwandishi wa Wananchi Kusaga Amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha Leo Tarehe 4 /11/2025 na kisha kwenda kupekua nyumbani kwake,kisha kurudi nae tena Kituo kikuu cha kati Arusha. Mpaka...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Rais Samia akizungumza Na Waandishi wa Habari Baada ya Kupiga Kura Chamwino Dodoma.

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Hapa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge akizungumza na...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Mbeya wawahakikishia Waandishi wa Habari Usalama kipindi cha uchaguzi mkuu

    Tunasubiri kuona, kama itakuwa kweli. Maana tumechoka kusikia mara waandishi wamepokinywa vifaa vyao vya kazi au wamekamatwa =================== Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewahakikishia wananchi na waandishi wa habari usalama wa kutosha wakati wa utekelezaji wa majukumu yao kuelekea na...
  13. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Khalifa Said: Ni jukumu la waandishi wa habari kulinda wananchi dhidi ya upotoshaji

    Mwaandishi wa habari Khalifa Said anawaasa waandishi wa habari kuwa daraja la kusambaza ukweli kwa wananchi ili kuhakikisha wananchi wanakuwa na taarifa sahihi ili waweze kufanya uamuzi sahihi pia kulingana na taarifa wanazokuwa wamezipata na hivyo kuwalinda dhidi ya upotoshaji.
  14. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari Mtwara wapatiwa mafunzo ya uandishi wa Haki na Weledi kipindi hichi cha Uchaguzi Mkuu 2025

    Waandishi wa habari mkoani Mtwara wamepewa mafunzo kuhusu namna ya kuripoti kwa kuzingatia haki, usawa na weledi katika kipindi chote cha mchakato wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025. Mafunzo hayo ya siku moja yameandaliwa kwa ushirikiano kati ya Kampuni ya Media Brains ya Dar...
  15. N

    JamiiForums Tanzania CCM wanazungumza na waandishi wa habari muda huu (Oktoba 5, 2025)

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Kenani Laban Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari https://www.youtube.com/live/X01I9hqOryk?si=VC_ED5SX6_D7M3cL Kwa ufupi Kihongosi Amesema yafuatayo kwenye Press conference Amesema kwamba Mgombea Urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Karen Mbowe: Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma

    Karen Tausi Mbowe ambaye ni Mjumbe wa Kamati Tendaji jukwaa la Wahariri, Muhariri na Mwandishi wa Habari amesema, Waandishi wa habari kwa sasa wana uhuru kuliko kipindi cha nyuma. Ni kweli Waandishi wa Habari wana Uhuru wa kuwasilisha kazi zao kwa jamii hasa wakati huu wa Uchaguzi?
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania THRDC Yalaani Polisi Kuwashikilia Waandishi wa Habari Arusha Zaidi ya Saa 24 Bila Dhamana

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umelaani vikali Suala la Jeshi la Polisi kuwashikilia kwa zaidi ya saa 24 waandishi wawili wa habari Arusha, bila kuwapa dhamana. Waandishi hao ni Baraka Lucas wa Jambo TV na Ezekiel Mollel wa Manara TV, ambao walikamatwa Septemba 6, 2025...
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Video: Waziri wa Afya wa Sweden aanguka live akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari

    Hii kitu nimewaza kama ingekuwa bongo nadhani leo kuna baa zingeuza sana pombe maana watu wangefanya sherehe Sasa hapa nimeshindwa kuelewa shida ni nini? Au alikuwa ana changamoto gani ya afya Kuna mbaba mmoja badala ya kumsaidia mgonjwa kawahi kamera yake kupiga picha
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 ZEC yawasihi waandishi wa habari kuepuka lugha za chuki wakati wa kampeni

    Vyombo vya habari na waandishi wa habari wameshauriwa kuepuka kutumia lugha za chuki, uchochezi au zinazoweza kugawa jamii kwa misingi ya ukabila, dini au itikadi katika kipindi hiki cha kuelekea kampeni za uchaguzi. Soma pia: ZEC: Vyama Visivyosaini Maadili ya Uchaguzi Havitaruhusiwa Kufanya...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi: Waandishi wa Habari wa Jambo TV na Manara TV wamekamatwa kwa Kuendesha Online TV Zisizosajiliwa

    Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusiana na Waandishi wa Habari wawili waliokamatwa na kushikiliwa kwa mahojiano na kukamilisha ukusanyaji wa vielelezo ambavyo vilikuwa vimesha kusanywa toka walipoanza kufuatilia kutokana na tuhuma zinazowakabili. Waandishi hao ni Baraka Lucas...
Back
Top Bottom