Wakuu,
Kupitia ukurasa wake wa instagram Askofu Gwajima ameandika kuzungumza na vyombo vya habari leo Julai 16, 2025 saa saba mchana
Je leo atatoa povu gani kwa umma?
https://www.youtube.com/live/jINnZ9eLnwE?
si=gFkBJUPxNlpuD-gR
Ni muhimu sana wakuu wa vyombo vya dola wawe na...
Sisi wazee wa zamani tulioshuhudia kalamu Bora za waandishi wa habari tukiwaona Hawa wa kisasa tunachanganyikiwa!! Taaluma ya habari imenajisiwa vibaya mno ,waandishi karibia wote ni wanasiasa na wapambe na nimakuwadi wa chama Fulani ? Watawezaje kubalance habari? Leo hard news zinazohusu nchi...
Tarehe 5 July 1994, Tupac aliwatemea mate waandishi wa habari walikuwa wakisubiri kumuhoji baada ya kutoka katika mahakama ya state Supreme mjini New York.
Alikuwa akikabiliwa na shtaka la unyanyasaji wa kingono uliompelekea kufungwa kwa miezi 9.
Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari imewaagiza Waajiri wa Vyombo vya Habari kuhakikisha kuwa Waandishi wa Habari wanaogombea nafasi za kisiasa wanasitisha utekelezaji wa majukumu yao ya kihabari kwa kipindi chote cha mchakato wa uchaguzi.
Taarifa iliyotolewa leo June 21,2025 na Kaimu...
Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha Waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni baadhi ya Wahariri.
Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu kwa Wagombea wao, Ubunge, Udiwani na Rais.
Cha ajabu Waandishi wa Habari tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa kwa ajili ya...
Huu ni udharirishaji mkubwa, watu ambao wanasababisha waandishi wa Habari waishi maisha magumu ni wahariri.
Leo CCM wamefungua dirisha la kuchukua fomu Kwa wagombea wao, ubunge, udiwani na Rais.
Cha ajabu Waandishi wa Habari Leo tumeshinda kwenye Ofisi za CCM Wilaya na mikoa Kwa ajili ya...
Zanzibar
Na, Zurima Ramadhan
Waandishi wa habari wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika kutetea haki za wanawake wanaowania nafasi za kisiasa kwa kuhakikisha kuwa vitendo vya ukatili dhidi yao vinatolewa taarifa na kushughulikiwa ipasavyo.
Ameyasema hayo, mkurugenzi wa chama cha wandishi wa...
Inashangaza jinsi waandishi wa habari wa BBC na CNN waliweza kumpata Osama kwa mahojiano lakini serikali ya Marekani haikuweza kumpata kwa miaka mingi
Sasa najiuliza walikuwa wanawaelekezaje njia hadi wanamkuta maeneo hayo au walikuwa wanafungwa vitambaa machoni wasijue njia inayoelekea osama...
Huyu bwana wakati wa Mchengerwa aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, wengi wakaona kwa sababu amecheza mpira basi ataimudu nafasi hiyo, lakini cha kushangaza muda sio mrefu tangu apewe cheo hicho kikubwa wizarani inaonekana ameondolewa, sasa kama...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa...
Kuna taarifa kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema John Heche atazungumza na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam.
Chadema imeamua kufanya mkutano huo kwa siri, usiri huo utawaponza hasa...
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia...
Waandishi wa habari nao wamejitosa kwenye Kampeni ya kumtetea Rais Samia,
Ina maana utekaji, mauaji ya watanzania na unyanyasaji unaoendelea nchini hawauoni? hawausikii? Ama wameamua kushupaza shingo?. Simpangii mtu cha kusema lakini kwanini basi watu kama hawa ambao wananchi wanawategemea...
WOW 💥 Katibu wa Vyombo vya Habari wa Ikulu ya White House, Karoline Leavitt anavitaka vyombo vya habari vya kawaida kuripoti madai ya Hamas bila kuyathibitisha kwanza, kama wanahabari wa kweli wanavyopaswa kufanya siyo kueneza habari za uongo na upotoshaji!!
Wasalaam
Sio nia yangu kuwadharau lakini ukweli ukinambia umesomea mambo au Taaluma ya uandishi wa habari hasa hapa kwetu nakudharau sana
Ndio maana ni kitu kila mtu anaweza kufanya...wengi wanafanya kazi halafu ndio wanaenda kusoma...haya naongelea kwa muktadha wa nchini kwetu
Ni tofauti na...
Zama zinabadilika kwa kasi. Enzi zetu tulikuwa tunalala na magazeti kichwani yaliyojaa makala za kibabe, nzito na zenye maslahi kwa taifa!
Umewahi kusoma makala alizokuwa anaandika Mabere Marando kila wiki kwenye gazeti la Mwanahalisi na Mawio? Umewahi kusoma makala za ndugu Samsoni Mwigamba na...
Kwa mtazamo wangu, wakati wanaangalia au wanajipanga namna ya ku'-deal na Gwajima, siku chache zijazo, anaweza kutokea kiongozi mwingine au mtu mwingine mstaafu ndani ya CCM, ambae nae atapita mule mule alikopita Gwajima
Hata hivyo, mtu huyo anaweza kuja na hoja nyingine za ziada lengo likiwa...
Wakuu,
Ndio maana uchawa umeongezeka kwenye vyombo vya habari sababu wameahidiwa viti vitaoatikana kwa udi na uvumba?
Maana Baba Levo kwenda kuwania ubunge kwenye jimbo analohombea Zitto its insane! Kwa kujipima hawezi kwenda kule kama hajaambiwa ama apeleke shida tu kuna kitu wanatengeneza...
https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE
Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
Ni wazi waandishi wa habari hivi sasa hawaandiki habari wanazozipata kutoka upande wa uongozi wa CHADEMA ikiwemo mikutano ya No Reform No Election, wao habari kuu pekee wanayoiandika, ni kuhusu wanaohama Chadema kumfurahisha aliyewamwagia maburungutu ya pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.