waandishi wa habari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TCRA yawataka Waandishi wa Habari kukemea vurugu Uchaguzi Mkuu 2025

    Meneja wa Huduma za Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Mhandisi Andrew Kisaka, amewataka waandishi wa habari kuwa mstari wa mbele kukemea vurugu na migogoro yoyote itakayojitokeza wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 badala ya kushiriki kwa njia ya kuripoti au kuchochea...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kikao Cha Serikali na Waandishi habari, Kumbe wanataka Waandishi habari warushe Matukio ya Vituo vya WanaCCM Mamluki wakipiga kura

    CCM hii ya mbumbumbu wakidhani wanahadaa Umma na Jumuiya za Kimataifa. Wanaendesha Kampeni chini chini na Waandishi wa Habari wa Main Media na Hawa Akina Jambo TV ,MillardAyo ,n.k Mpango upo hivi .. Wapiga kura wanaojulikana ni Wanaccm , walipangwa kusombwa na MaBus na Malori kutoka Kituo A...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kabudi: Waandishi wa habari jiepusheni na habari za uchochezi, na upendeleo kipindi cha uchaguzi mkuu

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akifungua Mafunzo ya Waandishi wa Habari na Utangazaji Kanda ya Nyanda za Juu Kusini kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 tarehe 18 Agosti 2025 katika Ukumbi wa City Garden, jijini Mbeya
  4. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Natafuta waandishi wa habari au watangazaji wawili wenye Diploma

    ENEO LA KAZI MBEYA KAZI KUTAFUTA NA KUANDAA HABARI VOICE OVER,NK MSHAHARA MAKUBALIANO YETU tUma cv yako pamoja na vyeti vya taaluma josefevafeva@gmail.com Nimongeza Muda wa Kuomba tena, Hata kama Upo kwenye Chombo kingine ila uko mbeya unaweza kuwa Reporter tuma maombi yako chap wanahitajika...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Afromedia yalaani mauaji ya waandishi wa habari Ukanda wa Gaza, yataka hatua za haraka za UN

    Mpango wa Afrika wa Uandishi wa Habari na Vyombo vya Habari “Afromedia” umekosoa madai ya ukatili unaodaiwa kufanywa na Jeshi la Israeli dhidi ya waandishi wa habari na waandishi wa ripoti katika Ukanda wa Gaza tangu Oktoba 7, 2023, ukisisitiza kuwa kinachoendelea ni ukiukaji wazi wa sheria zote...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mshana: Waandishi wa Habari wanaandika habari kwaajili ya kupata nafasi za uteuzi

    Katibu wa Chama Cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara Braison Mshana amewaasa waandishi wa habari kuacha kuandika habari kwa kuangalia maslahi yao binafsi na badala yake waandike kwa kufuata maslahi ya taifa. Rai hiyo imetolewa leo August 11,2025 kwenye mafunzo yaliyowakutanisha waandishi wa...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wanahabari watano wa Al Jazeera wauawa katika shambulio la Israel huko Gaza

    Shirika la habari la Al Jazeera limesema kuwa waandishi wake watano wameuawa katika shambulio la Israeli karibu na Hospitali ya Al-Shifa mjini Gaza Miongoni mwa waliouawa ni waandishi Anas al-Sharif na Mohammed Qreiqeh, pamoja na wapiga kamera Ibrahim Zaher, Mohammed Noufal na Moamen Aliwa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wanapitia mengi. Kiongozi agoma kabisa kuhojiwa

    Miongoni ya kazi ngumu na inahitaji uvumilivu ni kazi ya Uandishi wa Habari Moja ya kiongozi wa CCM amegoma kujibu maswali ya waandishi wa Habari kuhusu mchakato wa kura za maoni CCM. Mwishowe alisikika akisema leteni maturubahi hapa!
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Je, Waandishi wa Habari Wako Tayari Kukabiliana na Upotoshaji?

    Mwezi Disemba, 2024 ulichapishwa utafiti katika jarida la communication studies in Africa, uliohusu waandishi wa habari wa Tanzania katika kupambana na taarifa Potofu. Katika waandishi wa habari 306 walioshiriki katika utafiti huo 51% ya waandishi walisema hawajawahi kupatiwa mafunzo rasmi ya...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Waandishi wa Habari wakamatwa na Polisi wakifuatilia matokeo ya Kura za Maoni Manyara

    Waandishi wa habari Watatu akiwemo Julius Msagati wa EATV wamekamatwa na maafisa wa Jeshi la Polisi leo wakiwa katika majukumu yao ya kikazi wakifuatilia na kuripoti matokeo ya kura za maoni kwa nafasi ya Udiwani katika Kata ya Naisinyai, Mirerani, mkoani Manyara. Kwa mujibu wa mashuhuda...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kailima asema INEC itafanya kazi kwa karibu na Waandishi wa Habari kipindi chote cha Uchaguzi Mkuu 2025

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima akizungumza katika Mkutano wa Tume, Wahariri na Waandishi wa Habari, uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam, Agosti 4, 2025 ambapo amewahakikishia washiriki hao kuwa, ofisi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mafunzo Kwa Wahariri na Waandishi wa Habari Kuhusu Uchaguzi Mkuu 2025, leo Agosti 4, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=9D6yvt12c8o Updates Ramadhan Kailima: Vyombo vya habari visipendelee chama cha siasa kuelekea Uchaguzi Akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa wanahabari wa vyombo mbalimbali vya habari leo Agosti 4, 2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkurugenzi wa Uchaguzi Kailima Ramadhani: Waandishi wa Habari tendeni haki wakati wa uchaguzi

    Mkurugenzi wa Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhani amewakumbusha wanahabari wajibu wao wa kuhakikisha vyama vya siasa na wagombea wanapata nafasi ya kufikisha ujumbe wao kwa wapiga kura katika kipindi cha kampeni. Aidha, Bw. Kailima amewataka wanahabari kutoa taarifa sahihi kwa umma na kuepuka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania CCM haina uwezo wa kusema ukweli hata kwa jambo dogo kama hili la kukutana na waandishi wa habari

    Huyu kichwa mviringo Makalla alisoma chuo gani time management? Kama kikao tu cha kuchuja majina kinakaa wiki nzima bila muafaka je vikao vya kujenga bwawa na umeme na Sgr vingechukua muda gani? Je madudu waliyokuwa wanayatetea kwenye mkataba wa Dp world vipi? Alafu wahuni kama hawa...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania CCM kuwaweka waandishi wa habari ukumbini kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku sio uungwana, waombe radhi

    Kitendo cha CCM kuwaita waandishi wa habari katika press conference iliyotarajiwa kufanyika jijini Dodoma Julai 28, kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 usiku si cha kiungwana. Ilitarajiwa kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM, Amos Makalla angetoa taarifa ya watia nia ya ubunge na...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi wa habari wazuri sana, vyeti sio tatizo

    Nimeona baadhi ya watu wakishangalia baada ya tetesi kwamba waandishi wa habari kadhaa wamepukutishwa kutoka vyombo kadhaa vya habari kwa madai ya kukosa vyeti vya taaluma, washangiliaji wanaowana waandishi wa habari wengi wa bongo kama machawa zaidi na watu wasio na weledi, hili jambo ni ujinga...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Usawa kwa Waandishi wa Habari: Wabunge Wanahitaji Elimu ya Msingi Tu, Lakini Waandishi taaluma Certificate etc.? Hii Sio Haki! Uchaguzi 2025

    Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya changamoto kubwa inayopaswa kushughulikiwa kwa dharura ni tofauti kubwa ya viwango vya elimu vinavyohitajika...
  18. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Sekta ya habari imevamiwa, ni aibu. Mwenezi wa CCM Taifa ameongea na mwandishi wa habari na kukaribisha maswali. Hakuna swali lolote kuhusu Polepole

    Nimeangalia mwanzo mwisho wa Press conference ya Katibu mwenezi wa CCM TAIFA na WAANDISHI wa HABARI. Alipomaliza kutoa taarifa yake alikaribisha maswali kutoka kwa WAANDISHI wa HABARI. Kilichonishtua ni kwamba hakuna swali LOLOTE kuhusu Pole pole kujiuzulu. Wala hakuna swali kuhusu Chadema...
  19. Powell Gonzalez

    JamiiForums Tanzania Naipongeza mamlaka kwa kuwafungia waandishi wa habari waliokuwa wakimhoji dogo pateni

    Kiukweli ukiangalia wale waandishi wa habari unaona kama sasa industry ya habari nchini imevamiwa, moja wanaonyesha hasira za wazi baada ya dogo pateni kuonyesha wazi kujali privacy zake. Jinsi wanavyoongea na maneno yao yanaonyesha kabisa hawatumii professional yao vilivyo. Mimi naunga mkono...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polepole asogeza mbele Mkutano na Vyombo vya Habari hadi Julai 18, 2025

    Wakuu! Humphrey Polepole ametangaza kusogeza mbele mkutano wake na waandishi wa habari uliokuwa umepangwa kufanyika Julai 17 hadi Ijumaa, tarehe 18 Julai 2025 saa 5:00 asubuhi, ili kupisha uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050. Soma> Polepole kuzungumza na Vyombo vya Habari Julai 17...
Back
Top Bottom