Bila kupoteza muda niende direct kwenye Mada mwaka jana ulikuwa mwaka wa changamoto sana kwenye maisha yangu hii yote ni kwa sababu ya kukosa uaminifu kwenye mambo madogo madogo.
Kuna bro ni rafiki yangu lakini kwa sasa ni kama ndugu yangu tupo kwenye urafiki zaidi ya miaka kumi tulisha...
Wakuu naandika kwa masikitiko makubwa sana kwa kinachoendelea kwenye biashara nchini Tanzania. Huu uzi ni maalum wa kujisema na kujitaka kujisahihisha. Wengi wa wafanyabiashara kuanzia wadogo, wa kati na wakubwa wana uhaba mkubwa wa uaminifu na kuishia kuwa watu wa dhuluma. Hii ni tabia ya hovyo...
Ukiangalia Israel ni kama ilikuwa inatafuta sababu iwachape wabaya wake popote walipo. Maana imewachapia Iran, Yemen, Syria, Qatar na sehemu mbali mbali. Yaani ukiwaangalia Hamas na Hezbollah hawana hamu.
Iran wameuawa viongozi mle ndani ya nchi yao kama wanavyouawa tu watu wengine sehemu...
Mwanaume ni kiumbe muaminifu mnoo, na Wanawake wanatujua na kutuamini kwa uaminifu na uadilifu wetu.😇
Imagine, Mtu unaachiwa kuanzia kiuno kushuka chini, halafu mwenye navyo kalalia zake mto na kakuamini kabisaa kukuachia huko nyuma ujisevie mwenyewe, yaan tumeachiwa mashimo yote mawili...
Pamoja na mapungufu yao. Hawa vijana wa kaskazini kanda za Arusha, Moshi, kilimanjaro n.k ni waaminifu kwenye biashara.
Ukipata Mwanamke kutoka huko ukamkabidhi biashara mfano Duka, Pub, Mghahawa wanajua kupambania biashara kwa bidii. Pia hawana kona kona za leo hivi kesho vile ulilinganisha na...
Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni...
hakika
hawapendi
hii
kaka
kauli
kiumbe
kumsaliti
mchezaji
mke
mume
mume wake
mwanamke
sababu
sababu za
sana
soma
tofauti
wa zamani
waaminifu
wake
wanaume
wanawake
wapole
zamani
Wakuu habari.
Mimi kwa sasa , ninafanya kazi Kama Diaspora Messenger.
Kazi ninazofanya ni Kama kuwawakilisha watanzania wote waliopo nje ya nchi kwa kufanya Kazi zao mbali mbali.
Ikiwa wewe ni Diaspora unahitaji MTU mwaminifu utakayekuwa unamtuma kufatilia Kazi zako , naomba tuwasiliane...
Sitaki kuachia kazi inayonipa mitaji ya kufungua biashara hapa mtaani Lakin changamoto inakuja jinsi ya kuwapata vijana wa kukufanyia kazi.
Kama kuna mtu humu jukwaani mmewahi pitia hii kadhia ama hitaji naomba experience, kwa sasa nina kijana lakini anatarajia kwenda shule amefaulu kidato cha...
Habari mdau..Je na wewe umewahi kupitia kazia hii ya kupata fundi (Ujenzi) asiye na uaminifu yani mdokozi...??
Bila shaka zipo sababu 2 ambazo mimi binafsi naona ndio chanzo cha Mafundi wenzangu kukengeukiwa kwa mabosi zao:-
1) MAKUBALIANO/MAPATANO YA KAZI...hili ndio chanzo kikubwa cha...
Nakumbuka 2018 nilikuwa na pikipiki Tatu. Mbili Boxer Moja Haugue, nikatafuta Vijana Watatu.
Vijana wawili waliochukua Pikipiki za Boxer nikawaambia badala wanipe elfu 10 Kwa Siku kama bodaboda Wengine wafanyavyo Kwa maboss zao Mimi nikawaambia wanipe elfu 8. Kwa wiki wantumie elfu hamsini...
Habarini Wadau?
Nina semi-trailers 2 moja inabeba mizigo Tani 31 na nyingine Tani 32. Natafuta Mdau/Wadau wenye mizigo ya uhakika ya kusafirisha ndani na nje ya Nchi jirani. Awe tayari tuingie Mikataba ya Kisheria ili tuweze kufanya kazi kwa uhakika zaidi.
Aliye tayari tuwasiliane inbox.
Ukiangalia "efficiency" ya Jean Baleke alipoingia Simba kwa maana ya matumizi sahihi ya nafasi za kufunga magoli, utakubaliana na mimi kuwa jamaa alikuwa suluhisho la matatizo ya ufungaji yaliyokuwa yanaikabili Simba. Jamaa alipokuja alikuwa anafunga magoli magumu sana bila kutumia nguvu...
Huu mkasa ulitokea kama miaka miwili imepita, dogo wangu alivyomaliza chuo akapata kazi shirika Moja binafsi, akafanya huko kama miaka minne akaanza mazoea ya kunipiga vizinga Tabia ambayo alikua Hana, nikapigwa vizinga weeee mpaka nikachoka, mawazo yakanijia huyu dogo kaajiriwa na Kuna kipindi...
Kuna baadhi ya madili hufichuliwa na kutangazwa kwenye runinga. Mfano, mafuta kwenye bandari bubu nk. Je, wahusika hukosa posho ya kuwapa polisi au Kuna baadhi ya polisi hawapendi posho.
Mimi nimeona madili mengi polisi wakipozwa. Kwanini baadhi ya madili unaitiwa mpaka waandishi wa habari...
Inategemeana na unavyoyatumia!
Yanaweza kukufanikisha!
Yanaweza kukukwamisha!
Yanaweza kukutajitisha!
Yanaweza kukufukarisha!
Leo yako ni matokeo ya maneno ya Jana. Kesho yako haitakuwa tofauti na maneno yako ya leo. Kama hujajizoesha, bora uanze sasa. Tumia kinywa chako kwa makini sana...
Abdulrahman Kinana amesema Uchaguzi ujao utakuwa wa haki kwani wasimamizi watakuwa Waadilifu na Waaminifu.
"Bunge limekubali (Bunge la Tanzania) limesema wasimamizi wa uchaguzi watakuwa watumishi wa umma waandamizi. Mtu atateuliwa kwa sifa; sifa za uadilifu, uhodari wa kazi na uaminifu...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE: WATU WASIO WAAMINIFU, WALIOAMINIWA WANAJIFICHA KWENYE DHAMANA WALIZOPEWA KUUMIZA WATANZANIA WENZAO
"Nampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyofanya kazi vizuri. Anapambana na kuhakikisha hata Wabunge tunaotojea Majimbo ya Vijijini tunapata fedha kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.